Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,658
- 6,700
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well analysis 🍷🍷Hapo juu umefafanua vizuri. Full scale war inahusisha madhara kwa Taifa lote wakati SMO inalenga malengo maalumu.
SMO ya Russia malengo yake ni maalumu ambayo ni Demilitarization and Denazification!!!
Demilitarization imeshafanikiwa pakubwa, elites military personnel wengi wa Ukraine walisha'lazwa'. Ndiyo maana sophisticated military hardware kwenye front line zinafanywa na So called mercenaries wakati ni askari wa NATO. Sweden watakupa udhibitisho wa hili.
Na hapa upo Sahihi, Russia anavikosi vingi vya kijeshi vikihusisha vikosi vya nyuklia na kadhalika. Kuonyesha hii si full scale war Russia haijatumia vikosi hivi vya nyuklia zaidi ya kuviweka tayari kama taratibu za kijeshi zilivyo si kwa Russia tu Hata nchi nyingine. Ndiyo maana NATO Kila Mwaka wanafanya mazoezi ya kijeshi pembezoni mwa Russia. Pia kuonyesha hii si full war, Askari wote wa Russia (rasilimali zote za Taifa) hawatumiki kwenye SMO hii.
Russia hajabadiri uongozi wa Ukraine, pia ameamu kudhibiti maeneo maalumu Donobasi, Crimea, na Yale majimbo mawili kulinda raia wenye asili ya Russia. Hii inadhibitisha ni SMO
Russia anaepuka kuumiza raia wa Ukraine ndiyo maana anapiga miundombinu ya kijeshi na Ile inayosaidia miundo mbinu ya kijeshi kama Umeme, na vituo vya reli nakadhalika. Hii yote inakupa ushahidi wa SMO
Hapa Sasa utatakiwa urudi kwenye drawing board utunge attributes mpya za Full scale war(FSW). FSW umesema kuondoa utawala, na kuchukua muda mrefu. Hivi kilichotokea Yugoslavia na Georgia ilikuwa SMO ama FSW?
Hivi lengo la Denazification (ideology) unaweza kulitimiza kwa muda mfupi chini ya mwaka?
Hapa sikubaliani na attributes hizi.
Hapa umesema vyema pia. SMO ndiyo iliopo kwenye viunga vya Ukraine kwa sababu hakuna uhusiano uliovunjika baina ya mataifa. Ndiyo maana Russia bado anamuuzia bidhaa US, ndiyo maana Russia bado anauza bidhaa Ulaya (Hungary nadhalika). Pia Ndiyo maana Balozi wa Russia bado wapo kwenye nchi za Magharibi na Balozi wa Magharibi bado wapo Russia!
Pia hakuna vita vya Kanda vilivyotangazwa bali ni vita vya kikundi cha nchi kama 30 hivi dhidi ya nchi moja (Russia) ingekuwa ni vita kati ya makundi mawili ya nchi zilizoungana ingekuwa vita ya kikanda. Hivyo, hakuna FSW bali SMO
Kwa maelezo hayo hapo juu niliyokupatia Russia bado anadunda na SMO yake.
Karibu
Kwahiyo unajitetea kwa kipanya? Hua anaelewa?Huwa natumia vyombo vya kimagharibi kuliko vya Urusi coz wamagharibi na warusi wote wanatumia propaganda ingawaje ukweli huwa hauangalii propaganda! Yaani ukweli huwa haujifichi!
Mfano kwa kinachoendelea huko mashariki mwa Ukraine huitaji tena propaganda! Hata huko Kursk huitaji tena propaganda! Ni kumeza tu hata kama chungu!
West rethinking stance on Ukraine – Le Figaro
Kiev’s setbacks on the frontline are causing Western backers to change their position on how the conflict between Russia and Ukraine should be resolved, Le Figaro has reported, citing multiple sources.
After 30 months of fighting, the idea of a negotiated settlement is being “discreetly” discussed in the US, EU and even in Ukraine, the French newspaper said in
Huyo Mapanya achana nae atakuandikia mavitu ya ajabu ajabu meengi hayana manaaKwahiyo unajitetea kwa kipanya? Hua anaelewa?
Timbwili kali linaendelea Mashoga wa Nato wanachezea kichapoWakuu kimya sana tupatieni kinachojiri huko.
Russia’s battlegroup Center repels 9 Ukrainian attacks, inflicts over 510 enemy casualtiesWakuu kimya sana tupatieni kinachojiri huko.
Wao Russia wamepoteza ngapi mkuuTally of destroyed equipment
Overall, since the beginning of the special military operation, Russian units have eliminated 646 aircraft, 283 helicopters, 31,765 drones, 579 anti-aircraft weapons systems, 18,167 tanks and other armored vehicles, 1,455 multiple launch rocket system vehicles, 14,813 field artillery guns and mortars as well as 26,203 units of specialized automotive equipment, the military agency said.
Kuna uwezekano wa Ukraine kukaa ndani ya Russia huko Kursk zaidi ya mwaka mzima.Ukraine Loses Over 14,950 Soldiers During Operation in Kursk Region - MoD
MOSCOW -The Russian armed forces have eliminated more than 14,950 Ukrainian servicepeople.
In total, during the military operations in the Kursk region, the Ukrainian forces lost more than 14,950 servicepeople, 122 tanks, 52 infantry fighting vehicles, 93 armored personnel carriers, 768 armored combat vehicles, 464 vehicles, the ministry said in a statement.
Over the past 24 hours, Kiev has lost more than 300 soldiers in battles in the Kursk Region, the ministry said.
The Russian troops have repelled counterattacks in the Kursk Region, the ministry said, adding that the Ukrainian forces lost up to 20 people.
1 kwa 14 ndiyo ratio ya chini ya vifo baina ya urusi na ukrain....mrusi mmoja waukrain 14Wao Russia wamepoteza ngapi mkuu