Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
Mchaw lughaThe UK and the US will be no more kwa kuwa Urusi haita vumilia zaidi,so a nuclear annihilation is what is coming.Without them knowing the Devil is gathering them for just that.They will utterly destroy each other never to rise again.
Kaka ulipotea sana!Mchaw lugha
Dah mchawi lugha karibu tena bwashee ile picha ya anko magu ya taftahi umeipotezea wapi nayo.Mchaw lugha
Magodoro ni legitimate target ya kipanyaSasa Kipanya hutaki hata ajali za moto zitokee Urusi magodoro yakiungua ni shida?
Mimi niko kundi la Urusi lakini nasema ukweli kwa sisi Warusi wa Kilanje lanje tulitakiwa kupiga kimaa moja kwa moja na kumaliza kazi mapema....Mkuu,tunashindwa tukuweke kundi gani,uko kama Erdogan,rais wa uturukiView attachment 3101092
Ungekuwa front line tungekuamini, ila kama upo tz ni udaku tuSasa tuambie unaposikia NATO wanasema mashine ya (kusagia nyama )wewe zuzu huwa unaelewa nini ? Kwanini ukreni inaishiwa wanajeshi kila kukicha hadi wanakamata watu mitaani kwa nguvu ? Askari 1 wa urussi ufa kwa ratio ya Askari 8 kwa 14 wa ukrain maana yake kama mrusi kapoteza askari 20000 basi ukrain inakuwa imepoteza 160000 hadi 280000
You want to mean that israel is greater than Russia en US?https://halturnerradioshow.com/inde...ntering-ukraine-war-missile-defenses-in-kiev#
More escalation:Israel is entering the Ukraine war and the Gog-Magog war now being openly discussed.The Iron Dome Missile Defenses in Kiev ! ! !
September 20, 2024
Israel is becoming a "party" to the Ukraine war.
Intelligence Community information indicates Israel is setting-up "Iron Dome" missile defenses in and around Kiev and Nikolaev, to fight-off Russian Missiles. Here's the rub: The systems WILL BE CONTROLLED EXCLUSIVELY BY ISRAEL.
Furthermore, Israel will be implementing "mobile radar installations" in support of these missile defenses, and their (very quietly kept) intention is to "gather as much data as possible on Russian missiles because they expect Iran to have such technology soon, if not already."
Within Israel, there is also the utterly Stunning discussion taking place about gaining such information about Russian military hardware for ready for this " There are Biblical implications for this." They are actually discussing the Biblical "Gog/Magog war" in Israel ! ! ! ! !
I kid you not!
With Israel entering the Ukraine war, one can argue this is now a two front war for Russia, but the big question is, now that Israel is a party to the conflict.Will Israel (the country itself) be hit by Russian retaliation???????
This whole situation is spinning out of control faster and worse than I ever imagined possible.
More as I get it.
UPDATE
I just got hold of Zelensky's Briefing to be given to Joe Biden when Zelensky visits next: Catastrophe in the making.
Mkuu, ukimsikiliza Major General Apty Aladinov (Kamanda Mkuu wa Vikosi vya Wachechinia vilivyoko Kursk yaani Vikosi vya Akhmat) utaelewa kwa nini Urusi hataki kumaliza mchezo mapema. General anakwambia walijua tu kuwa Waukraine kwa kusaidiwa na NATO wangeingia Kursk. Hivyo, anasema waliwaacha waingie na silaha zote nzito za kimkakati halafu ndio waanze kuwamaliza na kuzimaliza silaha zao. Anasema kwake yeye kusurrender ni msamiati. Hivyo, amewataka Waipiganaji wake kutosurrender bali wapigane hadi tone la mwisho la damu, ikishindikana wajiue kuliko kuchukuliwa mateka. Anasema kuchukuliwa mateka ni upumbavu wa kiwango kikubwa. General anasema kwa sasa wanawamaliza Wapiganaji wa Ukraine kwa kiasi cha kutisha. Mwisho amewaonesha mateka kibao (Waukraine) kwenye TV wakieleza namna walivyoingizwa jeshini na mbinu wanazotumia kupigana.Mimi niko kundi la Urusi lakini nasema ukweli kwa sisi Warusi wa Kilanje lanje tulitakiwa kupiga kimaa moja kwa moja na kumaliza kazi mapema....
Hilo halimanishi nimehamia kwenu kipanya.
Jamaa muongo kinoma, serekali za nchi zote Urusi na Ukraine zinaficha idadi ya wanajeshi wao wanaokufa kila siku alafu mtu yupo tz anakwambia ratio ni 1 kwa 8Kwa mujibu wa Lwiva
You want to mean that israel is greater than Russia en US?
Hata Ukraine pia hawezi ku- surrender kama ilivyo Urusi, na mlisema wanajeshi wa Ukraine walioingia Kursk wamezungukwa tayar kwamaana hawawezi kusonga mbele Wala kurudi walipotoka, sasa kwamuda wote waliomudu mapigano mpaka sasa hizo silaha walioingia nazo inamaana haziishi? Na kama Ukraine bado yupo Kursk silaha zao zinapitia wapi ili kuwafikia?Mkuu, ukimsikiliza Major General Apty Aladinov (Kamanda Mkuu wa Vikosi vya Wachechinia vilivyoko Kursk yaani Vikosi vya Akhmat) utaelewa kwa nini Urusi hataki kumaliza mchezo mapema. General anakwambia walijua tu kuwa Waukraine kwa kusaidiwa na NATO wangeingia Kursk. Hivyo, anasema waliwaacha waingie na silaha zote nzito za kimkakati halafu ndio waanze kuwamaliza na kuzimaliza silaha zao. Anasema kwake yeye kusurrender ni msamiati. Hivyo, amewataka Waipiganaji wake kutosurrender bali wapigane hadi tone la mwisho la damu, ikishindikana wajiue kuliko kuchukuliwa mateka. Anasema kuchukuliwa mateka ni upumbavu wa kiwango kikubwa. General anasema kwa sasa wanawamaliza Wapiganaji wa Ukraine kwa kiasi cha kutisha. Mwisho amewaonesha mateka kibao (Waukraine) kwenye TV wakieleza namna walivyoingizwa jeshini na mbinu wanazotumia kupigana.
Nowhere have I said Russia is greater than the US or Russia,after all that is not the theme of my post.Read the post again and try to understand it properly,do not rush.You want to mean that israel is greater than Russia en US?
You did not articulate my comment fully, you rushed i never meant thatNowhere have I said Russia is greater than the US or Russia,after all that is not the theme of my post.Read the post again and try to understand it properly,do not rush.
Kwa kingereza hiki na place juu ni dhahiir umecopy na kupaste ila ngeli bado shughuli kwakoNowhere have I said Russia is greater than the US or Russia,after all that is not the theme of my post.Read the post again and try to understand it properly,do not rush.