Kuna Airdefence kibao hazijafanya kazi bado ikiwemo za China.Kaka Israel Bado ina silaha nzito kuizidi hiyo Hezbollah, kuna silaha kama Jericho III, F35, nyambizi, nuclear, huwezi pima mzani kwa kulinganisha Israel na Hezbollah,
Alafu nitajie AD yenye performance nzuri duniani kuizidi iron dome
Mbona unahamisha hamisha magoli sasa hapa si tulikuwa tunalinganisha Israel na Hezbollah? Umesharukia kwa Iran. Nikakwambia nitajie AD yenye ufanisi kuizidi iron dome unakwepa kwepa tu..Hizbollah anapokea silaha kutoka Iran.
Ukija upande wa makombora Iran ina sophisticated missiles kuliko Israel.
Pia Iran anao uwezo wa kumpa ADS Hizbollah,japo bado hajampa.
Sasa, unalinganishaje kitu kinachofanya kazi na ambacho haijawahi kufanya kazi, hizo za china uliona wapi zikifanya kaziKuna Airdefence kibao hazijafanya kazi bado ikiwemo za China.
Je uliona ufanisi wake?
Kati ya Iron dome na Khordak bora nichague Khordak ya Iran ambayo imewahi kuonesha ufanisi mkubwa mara kibao tu kwa kudetect drone za USA.
Sijakwepa kitu bro.Mbona unahamisha hamisha magoli sasa hapa si tulikuwa tunalinganisha Israel na Hezbollah? Umesharukia kwa Iran. Nikakwambia nitajie AD yenye ufanisi kuizidi iron dome unakwepa kwepa tu..
Specifications zake uliziona!??Sasa, unalinganishaje kitu kinachofanya kazi na ambacho haijawahi kufanya kazi, hizo za china uliona wapi zikifanya kazi
Ufanisi unaonekana zikishaingia vitani, wazipeleke Lebanon kwa Hezbollah zikishambuliwa kwa makombora mfululizo ndio tutaweza kupima ufanisi wake dhidi ya iron dome, lakini kwa kudungua vidrone kadhaa tu Kisha unarudishwa ndani hapo unapimaje ufanisi? Kitu hadi kipitie changamoto nyingi ndio unaweza kukipa credit.Specifications zake uliziona!??
Basi sawa tuitoe za China.
Uliwahi kuona ufanisi wa Khordak ADS ya Iran??
Jamaa anajikakamua kuandika weeee! Lakini ukisoma anachokiandika ni blabla tu, mawazo yake binafsi yanayomwingia kichwani baada ya kuburudika na mke wake ndio anayaweka hapa akitegemea tumuone kama great thinker 😅Unapenda sana kujisifu kuwa mtu mwenye umri mkubwa, elimu mkubwa na mtambuzi wa mambo mengi kumbe uelewa wako ni wastani kabisa.
Usipende kujipa assurance kwa vitu ambavyo wewe ujausika navyo utajipotisha.
Kwani Kipanya 44 anasemaje kuhusu ilo🤣🤣.Watu waliozungukwa wanapitia wapi kutokea Kursk? Propaganda nyingi sana kwa upande wa Russia.
😂Ja
Jamaa anajikakamua kuandika weeee! Lakini ukisoma anachokiandika ni blabla tu, mawazo yake binafsi yanayomwingia kichwani baada ya kuburudika na mke wake ndio anayaweka hapa akitegemea tumuone kama great thinker 😅
Sijakudharau hata kidogo.Unapenda sana kujisifu kuwa mtu mwenye umri mkubwa, elimu mkubwa na mtambuzi wa mambo mengi kumbe uelewa wako ni wastani kabisa.
Usipende kujipa assurance kwa vitu ambavyo wewe ujausika navyo utajipotisha.
Mkuu Uko sawa kuhusu idadi ya wanajeshi wa Ukraine walioingia kursk.Mkuu umeelezea vizuri sana hongera.
Inawezekana ikawa hivyo ila bado ni dhana tu hazina uthibitisho wowote.
Niliposema humu kuna chai sikumaanisha habari hii peke yake. mfano kulikuwa na taarifa kutoka upande wa Russia kwamba wanajeshi waliovuka Kursk ni takribani 10k na sasa habari zinaletwa kuwa wameuwawa takribani 14K hii ni controversy.
Ukiachana na hapo kuna taarifa zinaletwa na Upande wa Ukraine akichukua maeneo zaidi wakati Pro Russia news zinasema wamezungukwa.😄
Kwahiyo hii ina sum up kwamba humu chai ni nyingi inahitaji kujiridhisha zaidi ili kupata atleast hali halisi.
Sasa kama mambo mengi ya jeshi ni siri maana yake mengi hayajulikaniMkuu Uko sawa kuhusu idadi ya wanajeshi wa Ukraine walioingia kursk.
Hata Mimi nililiona jambo hilo la idadi ya walioingia kursk.
Lakini kitu nilichogundua sio Urusi wanaodanganya wala watu wengine,Bali ni kua idadi halisi ya askari wa Ukraine walioingia inabali kua ni Siri ya jeshi la ukraine,hata Urusi hawana idadi kamili.
Hiyo nadhani ni utaratibu wa majeshi kuweka Siri katika mambo Yao ili kutompa adui taarifa nyeti.
Isipokua Urusi yeye anachoweza ni kutangaza idadi ya aliowaua hiyo ndio ana uhakika nayo
Uko sahihi kabisa Mkuu,Sasa kama mambo mengi ya jeshi ni siri maana yake mengi hayajulikani
Tunarudi palepale habari nyingi humu ni za kubumba tu, ukweli unafichwa/haujulikani.
Duh! 🤷GDP ya Russia ni ya nne baada ya USA, China na India. I'll, German, France uchumi umeporomoka sana. Angalia data za bank ya Dunia na IMF
😂😂😂😂😂Bro unajitahidi kuitetea sana hiyo Iron dome ila ni paper tiger.Ufanisi unaonekana zikishaingia vitani, wazipeleke Lebanon kwa Hezbollah zikishambuliwa kwa makombora mfululizo ndio tutaweza kupima ufanisi wake dhidi ya iron dome, lakini kwa kudungua vidrone kadhaa tu Kisha unarudishwa ndani hapo unapimaje ufanisi? Kitu hadi kipitie changamoto nyingi ndio unaweza kukipa credit.