LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Screenshot_20240923-132843.png
 
NI TYPING TUU ,MKUU KAPITIE MADESA KIDOGO RUSSIA HAJACHUKUA 18% YA ARDHI YA UKRAINE KWA VITA HIVI VYA MIAKA 2.5.KACHEK VIZURI FILE ZAKO.
MKUU KUSHINDWA KIMKAKATI MAANA YAKE NI KUSHINDWA KURECOGNIZE RISK ,COSTS,NA UKUBWA WA OPERATION(HAPA IKIWEPO MDA).
RUSSIA GHARAMA ANAZOINGIA NI KUBWA MNO ,KULINGANISHA NA ALICHOPATA MIAKA HII 2.5,PIA RISK NI KUBWA SANA KWA TAIFA HILO KUYUMBA KIUCHUMI,VITA KUPANUKA ZAIDI,VITA KUCHUKUA MDA MWINGI.
Nilikuwa nasoma makala fulani kuhusu Eastern Ukraine. Yaani wanaseme hilo ndilo eneo lenye rutuba kwa uzalishaji katika masuala ya kilimo, lina madini yenye thamani na limejengwa viwanda vingi. Nadhani ndio maana Russia anang'ang'ania kuteka maeneo ya mashariki ingwa pia huko mashariki kuna watu wengi wenye asili ya Urusi.
 
NI TYPING TUU ,MKUU KAPITIE MADESA KIDOGO RUSSIA HAJACHUKUA 18% YA ARDHI YA UKRAINE KWA VITA HIVI VYA MIAKA 2.5.KACHEK VIZURI FILE ZAKO.
MKUU KUSHINDWA KIMKAKATI MAANA YAKE NI KUSHINDWA KURECOGNIZE RISK ,COSTS,NA UKUBWA WA OPERATION(HAPA IKIWEPO MDA).
RUSSIA GHARAMA ANAZOINGIA NI KUBWA MNO ,KULINGANISHA NA ALICHOPATA MIAKA HII 2.5,PIA RISK NI KUBWA SANA KWA TAIFA HILO KUYUMBA KIUCHUMI,VITA KUPANUKA ZAIDI,VITA KUCHUKUA MDA MWINGI.
Yote hayo yametokea baada ya NATO kuingilia kati Ukraine.
Kama sio NATO na EU kumuwekea vikwazo vya kiuchumi Russia basi yote hayo yasingetokea.
Licha ya yote hayo Russia imeendelea kusimama kwa usaidizi wa China kiuchumi.
Hiyo asilimia 18 ngojea nije kuileta hapa.
 
sawa msemaji wa jeshi la urusi ukiwa katika nchi maskini
FACTBOX: Breakthrough attempts repulsed: situation in Kursk Region

The Russian military repelled two enemy attempts to break through the border towards Novy Put

MOSCOW, September 23. /TASS/. Ukraine lost more than 340 troops in the Kursk Region over the day, the Russian Defense Ministry has reported.

In total, the enemy has lost over 16,400 servicemen since fighting began in the region.
 
Russia says its Iskander missile destroys US-made HIMARS in Sumy Region

The crew of an Iskander tactical missile system of the Russian Armed Forces carried out a missile strike on the position of an M142 HIMARS of Ukrainian forces in the settlement of Shaposhnikovo
Himars ina bei ghali sana ikichomwa moto mashoga hutamani kulia
 
Nasikia Kuna mashetani (Satan) yamelipuliwa huko kwa supapawa tunaomba taarifa kwa kina mlio karibu na eneo la tukio.
Hii failure test ya sarmat bila nuclear warhead, yenye nuclear warhead walifanya 2023, ambayo ilikuwa successful
Nadhani hii wanataka iwe na non nuclear with powerful kinetic energy Ili waitumie Ukraine kama West wakiruhisu deep strike ndani ya Urusi
 
NI TYPING TUU ,MKUU KAPITIE MADESA KIDOGO RUSSIA HAJACHUKUA 18% YA ARDHI YA UKRAINE KWA VITA HIVI VYA MIAKA 2.5.KACHEK VIZURI FILE ZAKO.
MKUU KUSHINDWA KIMKAKATI MAANA YAKE NI KUSHINDWA KURECOGNIZE RISK ,COSTS,NA UKUBWA WA OPERATION(HAPA IKIWEPO MDA).
RUSSIA GHARAMA ANAZOINGIA NI KUBWA MNO ,KULINGANISHA NA ALICHOPATA MIAKA HII 2.5,PIA RISK NI KUBWA SANA KWA TAIFA HILO KUYUMBA KIUCHUMI,VITA KUPANUKA ZAIDI,VITA KUCHUKUA MDA MWINGI.

Naona bado ujajua vizuri hayo maeneo yaliyochukuliwa na Urusi yana utajiri gani.fatilia kwanza alafu urudi tena humu
 
Back
Top Bottom