D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Washington Post waliripoti majuzi kuwa dunia imekaribia kwenye WW III, na wagombea uraisi wa US hawajuiHii vita ilipofika ni hatari! Unajua ni ni kwa nini??
1) Mataifa yanajifunza mbinu za kivita za kisasa huko Ukraine na siyo mazoezi tena.
2) Mataifa yanajifunza sayansi na teknolojia ya silaha!
Utata na hatari:
Ule ujuzi ukiongeza pamoja na uzoefu utakaopatikana huko Ukraine, hawa watakuwa na nguvu mara dufu! Huioni hatari kubwa hapo mbele? Sasa hivi kila mtu anapeleka watu wake Ukraine!
Europe Must Reconsider Macron's Idea of Sending EU Troops to Ukraine, Says Lithuanian FM
Europe Must Reconsider Macron's Idea of Sending EU Troops to Ukraine, Says Lithuanian FM
Lithuania's FM urges Europe to reconsider Macron's proposal for EU troops in Ukraine amid concerns over North Korean soldiers joining Russian forces.united24media.com
North Korea sent 3,000 troops to Russia for Ukraine war, South says
Reuters | Breaking International News & Views
Find latest news from every corner of the globe at Reuters.com, your online source for breaking international news coverage.www.reuters.com
South Korea Could Send Advisors, Weapons To Ukraine Over North Korean Troop Movements
South Korea Could Send Advisors, Weapons To Ukraine Over North Korean Troop Movements
The first North Korean troops are expected to arrive in Russia's Kursk region tomorrow, Ukraine's Defense Intelligence Director told us.www.twz.com
Muda utaamua!
Hadi aibu aisee, nchi tulioaminishwa ina jeshi kubwa zaidi ndio hii inapewa wanajeshi kutoka Korea? Alafu wafuasi wake humu wanamsifia kila kukicha wakidhani Urusi ndio dunia" Urusi anapigana peke yake na collective west na bado anawamudu"
Alisikika mywagongo Mmoja kutoka gongolamboto!View attachment 3128639
Hata marekani pamoja kuwa na jeshi kubwa lakini huwa anapewa wanajeshi Hadi na KenyaHadi aibu aisee, nchi tulioaminishwa ina jeshi kubwa zaidi ndio hii inapewa wanajeshi kutoka Korea? Alafu wafuasi wake humu wanamsifia kila kukicha wakidhani Urusi ndio dunia
Uliona vita gani marekani inapigana hadi kuishiwa wanajeshi?Hata marekani pamoja kuwa na jeshi kubwa lakini huwa anapewa wanajeshi Hadi na Kenya
u.s.a tu vita saiv hawezi anachoweza ni kuchambana tu maana akitaka kuvamia sehemu mpaka awaite na mashost zake wa west wakiwa wamevalia bikini pampers na vijora vya jeshi.Hadi aibu aisee, nchi tulioaminishwa ina jeshi kubwa zaidi ndio hii inapewa wanajeshi kutoka Korea? Alafu wafuasi wake humu wanamsifia kila kukicha wakidhani Urusi ndio dunia
Uliona wapi marekani kaenda front pekeake vitani?Uliona vita gani marekani inapigana hadi kuishiwa wanajeshi?
Sasa kama mnashindwa kuwapiga mashoga nyinyi si mtakuwa zaidi ya mashoga kabisa, red sea bado marekani yupo mbona au unasemea red sea ipi wakati meli zake zimezagaa kuleu.s.a tu vita saiv hawezi anachoweza ni kuchambana tu maana akitaka kuvamia sehemu mpaka awaite na mashost zake wa west wakiwa wamevalia bikini pampers na vijora vya jeshi.
Kama huamin waulize kilicho wakuta red sea
Siokwamba kaishiwa wanajeshi tofauti kabisa na Urusi ya sasa inatia aibu mpaka basii, hata wale walikuwa wakimtegemea kama Belarus sikuhizi raisi wao habwatuki hovyo Tena maana kaona aliekuwa anamtegemea yupo chaliUliona wapi marekani kaenda front pekeake vitani?
cha kushangaza wanawagwaya migambo au na hao houth wamejificha nyuma ya raia hapo red sea maana mmeshindwa kutoboa kwa sungusungu wa yemenSasa kama mnashindwa kuwapiga mashoga nyinyi si mtakuwa zaidi ya mashoga kabisa, red sea bado marekani yupo mbona au unasemea red sea ipi wakati meli zake zimezagaa kule
wambie nato russia kaishiwa na wanajeshi hakuna shida watie mguuSiokwamba kaishiwa wanajeshi tofauti kabisa na Urusi ya sasa inatia aibu mpaka basii, hata wale walikuwa wakimtegemea kama Belarus sikuhizi raisi wao habwatuki hovyo Tena maana kaona aliekuwa anamtegemea yupo chali
Aircraft carrier za marekani na UK zipo hapo miezi na miezi mbona wameshindwa kuzizamisha,cha kushangaza wanawagwaya migambo au na hao houth wamejificha nyuma ya raia hapo red sea maana mmeshindwa kutoboa kwa sungusungu wa yemen
Mpaka kufikia kuomba wanajeshi N Korea ujue hali ni tete, wanajeshi wake wengi wamelambishwa mchanga, mobilization hakuna anaetaka tena hapo bado NATO haijaingia mazimawambie nato russia kaishiwa na wanajeshi hakuna shida watie mguu