and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,999
Urusi ingekuwa inashambulia kama Israel inavyofanya Gaza, sasa hivi Zelensky angekuwa ni mkimbizi wa kisiasa anaishi USA.Siokwamba kaishiwa wanajeshi tofauti kabisa na Urusi ya sasa inatia aibu mpaka basii, hata wale walikuwa wakimtegemea kama Belarus sikuhizi raisi wao habwatuki hovyo Tena maana kaona aliekuwa anamtegemea yupo chali
Amini kwamba Russia ina silaha za kuigeuza Ukraine kuwa kama zaidi ya Gaza ya sasa mara 10, yaani inapigwa inakuwa Gaza halafu inarudishwa ilivyokuwa inapigwa tena inakuwa zaidi ya Gaza halafu inarudishwa hadi mara 10...
NATO imepeleka askari, intel, washauri, silaha n.k yeye kwanini mshirika wake NK asiingie kusaidia?
Ina maana unataka kutuaminisha US 2003 alikuwa hana uwezo kupambana na Iraq hadi kuingia na jamaa zake UK, Australia n.k?