LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hebu wewe onyesha elimu Yako kumaliza tatizo la sukari hapa nchini.. kuegemea upande mmoja haitakusaidia chochote, hao India na China Wana migogoro ya kimipaka, china na Urusi pia hivyo hivyo unategemea huo umoja utadumu vipi? Ndiomaana nikaita kikoba,alafu mimi ni mmachame usiniite majina ya kiduanzi
Mimi Sina elimu ndio maana siwezi kubeza muungano mkubwa kama wa BRICS.
Sasa wewe unaebeza onesha uwezo wako kwa vitendo.
Ndio ni kweiKuna nchi ndani ya BRICS zina migogoro je BRICS Haipo?
Au nani kawawekea bunduki vichwani ili wakubali kukaa pamoja ndani ya BRICS?
Ukiona wamo ujue wameona faida yake.
Wewe ni nani hata uwapangie kuwemo licha ya tofauti zao?
Eti muungano wa BRICS hautadumu,yaani umekaa kiutabiritabiri TU.
Leo hii BRICS Ina miaka zaidi ya 20 na Kila siku Kuna nchi zinaomba kujiunga
Bongo noma sana.
⬇️

When was BRICS formed and why?

Economist Jim O'Neill created the term BRIC in 2001 (for Brazil, Russia, India, and China) with the belief that these economies would dominate global growth by 2050. The BRICS nations offered a source of foreign expansion for firms and strong returns for institutional investors.
 
Hebu wewe onyesha elimu Yako kumaliza tatizo la sukari hapa nchini.. kuegemea upande mmoja haitakusaidia chochote, hao India na China Wana migogoro ya kimipaka, china na Urusi pia hivyo hivyo unategemea huo umoja utadumu vipi? Ndiomaana nikaita kikoba,alafu mimi ni mmachame usiniite majina ya kiduanzi
Wewe Mtanzania wa Mwandiga unaona BRICS ni Kikoba wakati Marais,mawaziri wa nje,mawaziri wa Fedha na wachumi wa nchi hizi wanatamani kujiunga.
Ama kweli bongo Ina wataaalam wasioonekana kwa macho ya kawaida.
⬇️
WHICH NATIONS WANT TO JOIN BRICS AND WHY?
Over 40 countries, including Iran, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Argentina, Algeria, Bolivia, Indonesia, Egypt, Ethiopia, Cuba, Democratic Republic of Congo, Comoros, Gabon, and Kazakhstan have expressed interest in joining the forum, according to 2023 summit chair South Africa.
They view BRICS as an alternative to global bodies viewed as dominated by the traditional Western powers and hope membership will unlock benefits including development finance, and increased trade and investment.
 
Mimi Sina elimu ndio maana siwezi kubeza muungano mkubwa kama wa BRICS.
Sasa wewe unaebeza onesha uwezo wako kwa vitendo.
Ndio ni kweiKuna nchi ndani ya BRICS zina migogoro je BRICS Haipo?
Au nani kawawekea silaha vichwani ili wakubali kukaa pamoja ndani ya BRICS?
Ukiona wamo ujue wameona faida yake.
Wewe ni nani hata uwapangie kuwemo licha ya tofauti zao?
Eti muungano wa BRICS hautadumu,yaani umekaa kiutabiritabiri TU.
Leo hii BRICS Ina miaka zaidi ya 20 na Kila siku Kuna nchi zinaomba kujiunga
Bongo noma sana.
⬇️

When was BRICS formed and why?

Economist Jim O'Neill created the term BRIC in 2001 (for Brazil, Russia, India, and China) with the belief that these economies would dominate global growth by 2050. The BRICS nations offered a source of foreign expansion for firms and strong returns for institutional investors.
Bricks iliundwa ili kutafuta njia ya kuleta mageuzi katika taasisi za kifedha za kimataifa kama IMF na WB kwa nchi zinazoibukia kiuchumi, bahati mbaya sana imefeli hasa kwa nchi za Africa % kubwa zinategemea IMF na WB
 
Hawa pia ni wachambuzi nguli wa magharibi bibie..,alafu wanakuja wanywa gongo wanakwambia urusi anapigana peke yake bila msaada wowote.., kumbe Kuna askari wa north Korea on a ground!

Urussi kashavuliwa nguo..ila hataki kuchutama
 
U
Ndio bado nasema sisi Watanzania Kwa ujuaji hakuna anaetufikia hapa duniani,lkn bahati mbaya tuko nyuma kwa mambo mengi licha ya kua tuna rasilimalibza Kila aina.
Hivi wewe Mtanzania wa kutokea kishumundu ni nani aliekuambia nchi zikiwa na migogoro haziwezi kuunda umoja wa kiuchumi?
Mfano nchi zinaweza kua na migogoro ya mipaka lakini zikawa na muungano wa kiuchumi kwa sababu hakuna namna lazima zishirikiane kiuchumi.
Muungano wa kiuchumi kati ya nchi zenye migogoro ndio inaweza ikawa tiba ya migogoro mingine kati ya nchi hizo.
Mfano mdogo ni nchi za EAC.
Kuna hotuba Mlm Nyerere anasema muungano wa EAC utazofanya baadhi ya nchi kusahau matatizo Yao ya ndani na kupambana kupigania maslahi Yao ya kiuchumi.
Hapa alikua akimaanisha nchi kama Rwanda,Uganda na Burundi.
Leo hii wewe Mtanzania unabeza umoja wa BRICS lakini hushangai umoja wa EAC upo kwa zaidi ya Mika 30.
BRICS IPO na inazidi kupata uungaji mkono.
Hizo nchi zote za BRICS na zile zinazotamani kujiunga zina wachumi na wanadiplomasia nguli.
Sasa wewe mkishumundu sijui unapata wapi ujasiri wa kiwadharau hao wanadiplomasia na wachumi wao.
Angalau angedharau Mjerumani,muingereza,,mfaransa muitaliano,mspaniola ,mjapani na Marekani.
Wewe mwenzangu una Nini Cha kiwazidi BRICS.
Haya tufanye ndani ya BRICS Kuna migogoro Sasa mbona wapo katika umoja Kwa zaidi ya miaka 20?
Watanzania wenzangu acheni dharau wakati nchi yetu bado inaagiza sukari licha ya kua tuna viwanda vya sukari.
Hebu onesha elimu Yako Kwa kumaliza tatizo la sukari wakati nchi yako Ina ardhi ya kuweza kulima chochote na kuuza nje.
Ujuaji na dharau ni mwingi mno wakati mbele Giza.
Umemjibu vizuri sana kwa Tanzania mtu akishaa jua ka theory cha demand and supply basi anajua kila kitu kwa maswala ya uchumi duniani hawezi kumwambia kitu kingien na kamwe hawezi kuamini kua dollar inaweza kuwa na mbadla yeye ni kupinga pinga tu
 
Bado hatuoni mbadala, hiyo bricks migogoro kibao ndio ije kutunishiana misuli na G7? upo curious kweli
 
Vladimir Putin submitted to the State Duma a bill on ratification of the treaty on comprehensive strategic partnership between the Russian Federation and the DPRK.
================

je saa mbovu imeanza kuongea ukweli?
 
Usione Ukraine na West wanaomba mazungumzo kimyakimya au nyuma ya pazia, wanaogopa huu mji ukianguka kitakachotokea ni...............

Ukraine Faces a Double Threat if Russia Takes Pokrovsk​

The eastern city is a key military hub, but it’s also critical to Ukraine’s steel industry.​

Nb: Hapa Urusi atapoteza sana wanajeshi plus vifaa though atashinda! West watakubali??
Urusi ikigundua kuwa sehemu ni muhimu na atapoteza wanajeshi wengi kuichukua basi anachofanya ni kutupia mabomu mazito mengi iwezekanavyo na kulitwaa eneo usika bila pingamizi
 
🇩🇪🇺🇦 BREAKING!!! Germany Ends All Military Aid, Ukraine Has Lost

"The German Ministry of Defense has lost faith in the ability of the Ukrainian Armed Forces to achieve success on the battlefield. Germany will no longer transfer heavy military equipment to Ukraine. Berlin does not believe that Ukraine will soon be able to carry out a counterattack."

Russia, World War Champions, 3-0.
Duh ! Hata kama propaganda,hii hapa imezidi
 
Duh! Putin sijui anataka kuwapeleka warusi machinjioni mpaka lini aisee 🥱🥱🥱🥱🥱
1728982937553.jpg
 
Urusi ikigundua kuwa sehemu ni muhimu na atapoteza wanajeshi wengi kuichukua basi anachofanya ni kutupia mabomu mazito mengi iwezekanavyo na kulitwaa eneo usika bila pingamizi
Urusi kwa sasa vita vya kumvizia kama kipindi kile ni ngumu kumpata.Sasa ivi Warusi wakifika karibu na mji wanaupiga sana mabomu alafu baada ya hapo drone zinachunguza kuona waliobaki watakuwa wamejificha wapi.
Wakiona kupo fresh wanatuma wanajeshi kazaa na kifaru.ukishambulia tu basi hapo ulipo tegemea kupokea kitu kizito.

Ndo maana Defence ya Uraine imekuwa dhaifu sana kuliko mwanzio wa vita kwa sababu Warusi wanatumia mbinu mpya na silaha za kisasa.mjji kama Ugledar umechukuliwa kiwepesi sana wakati mwanzo Warusi walipata hasara kubwa sana mpaka wakamua kuachana na habari ya kuuteka huo mji.
 
Back
Top Bottom