Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Mimi Sina elimu ndio maana siwezi kubeza muungano mkubwa kama wa BRICS.Hebu wewe onyesha elimu Yako kumaliza tatizo la sukari hapa nchini.. kuegemea upande mmoja haitakusaidia chochote, hao India na China Wana migogoro ya kimipaka, china na Urusi pia hivyo hivyo unategemea huo umoja utadumu vipi? Ndiomaana nikaita kikoba,alafu mimi ni mmachame usiniite majina ya kiduanzi
Sasa wewe unaebeza onesha uwezo wako kwa vitendo.
Ndio ni kweiKuna nchi ndani ya BRICS zina migogoro je BRICS Haipo?
Au nani kawawekea bunduki vichwani ili wakubali kukaa pamoja ndani ya BRICS?
Ukiona wamo ujue wameona faida yake.
Wewe ni nani hata uwapangie kuwemo licha ya tofauti zao?
Eti muungano wa BRICS hautadumu,yaani umekaa kiutabiritabiri TU.
Leo hii BRICS Ina miaka zaidi ya 20 na Kila siku Kuna nchi zinaomba kujiunga
Bongo noma sana.
⬇️
When was BRICS formed and why?
Economist Jim O'Neill created the term BRIC in 2001 (for Brazil, Russia, India, and China) with the belief that these economies would dominate global growth by 2050. The BRICS nations offered a source of foreign expansion for firms and strong returns for institutional investors.