Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Medved alishatoa huo ushauri kwa Poland kwamba Rusia ipo tayari kugawanya ukraine na Poland. Maana kiasili western Ukraine ni sehemu ya ardhi mama ya Poland kama ambavyo estern Ukraine ilivyokuwa sehemu ya ardhi mama ya Rusia.Huyo poland hana akili kabisa ...anajitia mwenyewe mtegoni hiyo ni habari njema kwa putin ndiyo maana putin yupo kimya kuhusu hiyo mipango ya poland...ni kete ambayo urussi anatamani sana poland ajichanganye kwa kuisukuma
Kwa hiyo nato nao wanataka kuvamia ukrain au huyo Poland naye atapigwa na nato na waukrain ?maana wakifanya hivyo Poland wanakuwa wamefanya kama urussi inavyo fanya sasaMedved alishatoa huo ushauri kwa Poland kwamba Rusia ipo tayari kugawanya ukraine na Poland. Maana kiasili western Ukraine ni sehemu ya ardhi mama ya Poland kama ambavyo estern Ukraine ilivyokuwa sehemu ya ardhi mama ya Rusia.
... as long as alichofanya NATO ni kunoa tu ukali wa panga la Urusi, mengineyo watajua wenyewe!Kwa hiyo nato nao wanataka kuvamia ukrain au huyo Poland naye atapigwa na nato na waukrain ?maana wakifanya hivyo Poland wanakuwa wamefanya kama urussi inavyo Fanya sasa
Poland wataingia wao kama wao. kama siyo kuwa ndani ya NATO Poland wangeshaivamia Ukraine siku mingi sana maana Ukraine ya asili ardhi yao ni eneo dogo tui la kyiv. Enzi za USSR Ukraine waliongezewa ardhi kubwa tu kutoka kwa majirani zake maana wakati ule Utawala wa serikali kuu ulikuwa moja. Hivyo, Poland ana hamu ya kurudisha ardhi yake.Kwa hiyo nato nao wanataka kuvamia ukrain au huyo Poland naye atapigwa na nato na waukrain ?maana wakifanya hivyo Poland wanakuwa wamefanya kama urussi inavyo fanya sasa
,👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💯✔️👍huyu bwana kipara inaonekana naye ana vurugu, pengine siku moja atakuwa waziri wa mambo ya Nje.
nafikiri Sergei lavrov hana muda ataachia ngazi kwa sababu ya umri
==================
Nebenzya — about North Korean troops:
I want to ask one very simple question: even if we imagine that everything our Western colleagues claim about military cooperation between Russia and the DPRK suddenly turned out to be true, why are the US and its allies trying to impose on the whole world the rotten logic that they have the right to help the Zelensky regime, mobilizing for this purpose the entire military and intelligence potential of NATO, while Russia's allies do not have the right to do this?
Where, ladies and gentlemen, do you get this neocolonial sense of your own exceptionalism and impunity and the unfounded belief that what you can do, others cannot?
View attachment 3140009
Obvious, US hawezi kukubali, maana A.D zitakazotumika ni za kwake, ikitokea zika fail kuhit hizo missile reputation na market ya patriot itazidi kuharibika kama ilivyotokea kwa drones za mturuki⚡Zelensky on Poland:
We asked Poland to protect at least Stryi (Lviv region) to protect the gas storage. Are the Poles shooting down missiles? No.
We also really wanted to get MiGs from Poland, but we were refused because they had "not enough" of them.
And without providing them to us, the Poles did not even dare to shoot down the missiles themselves.
Tangu alivoyachakaza majeshi ya Putin na kuyafukuza kutoka Kyiv kama mbwamwitu alianza kubadilisha nguo mkuu!Wakati vita vinaanza zelensky alijidai yuko serious sana na vita hadi akawa habadilishi nguo vipi siku hizi baada ya kichapo bado habadilishi nguo?