kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
If North Korea joins the war, there will be no new restrictions on Ukraine's use of American weapons, — Reuters with reference to the Pentagon.
Wasijisahaulishe taarifa ya Steve Rosenberg wa BBC aliyowapa mwezi jana juu ya madhara ya uamuzi watakofanya.If North Korea joins the war, there will be no new restrictions on Ukraine's use of American weapons, — Reuters with reference to the Pentagon
Mmoja wa wale waliomuachia mzigo Kipanya aangaike nao. Siyo, wazuri ninyi!Mengine yabakie ushabiki tu, lakini Russia haitashinda hii vita na wao wameshaliona hilo.
Au tukuwekee video ya Mbunge huyu?Propaganda!
Marekani na wafaransa alichwapwa mbaya na wavietinam waliokuwa awajawai kupigana vita vyovyote kwa wakati huo tena kumbuka wakati huo wamarekani walikuwa na uzoefu na wafaransa wa vita vya pili vya dunia ...walipigika vibaya sanaKatika modern warfare ni vita ipi ambayo N.korea amepigana
Inawezekana generation yote ya askari alionao kukawa hakuna alipigana vita, sababu mara ya mwisho ni mwaka 1960 ambayo ilikuwa small scale ukiachana na vya 1950s
Mdogomdogo tutafika, taratibu ndiyo mwendo!
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1851236822258532775
Uzuri ni wanajeshi wa Ukraine ndio wanaokufa pekee, warusi wao ni maroboti hawafiUnataka kuniangusha waache wafe si wametaka wenyewe
Mrussi 1 kwa waukrai na NATO 14 hadi 18Uzuri ni wanajeshi wa Ukraine ndio wanaokufa pekee, warusi wao ni maroboti hawafi
Ahsante kwa taarifa kutokea huko front lineMrussi 1 kwa waukrai na NATO 14 hadi 18
Marginal maana yake bado haijakamilika,kuna maana nyingine kama mbili hapo umezikosa hazijaandikwa.