Jamaa hawaamini macho yao, ila ndio mwanzo huo hadi waite maji mma
Binafsi, sioni mabadiliko...kwa sera ya nje ya US chini ya TrumpHuu mgogoro unaenda kuchukua sura mpya baada ya ushindi wa Trump stay tuned
Trump sera zake ni America for American Sasa hii vita inaigharimu America kiasi kikubwa Cha fedha lazima ataachana nayoBinafsi, sioni mabadiliko...kwa sera ya nje ya US chini ya Trump
Nkuba the war in Ukraine and elsewhere is about human organs,blood and hormones.Blood,Hormones and extreme fear are mainly for demonic consumption.Hormones like Adrenochrome from intensevely tortured children for example is used on a wide scale by Hollywood celebrities.Niujinga kudhani kwamba vita vinasababishwa na mataifa kuchokozana kama watoto,wars are planned for a specific purpose.
Anyway Nkuba usichokijia ni usiku wa giza,kwa hiyo tuwasamehe bure.Ila ni ujinga mtu kubishia kitu asichokijua.Usichokijua haina maana kwamba hakipo,people must wake up.Lazima siku zote tuwe tayari kujifunza,and JF is one of the places where we can learn new things.
Vyovyoye atakavyofanya Trump Hana Cha kuitisha Urusi.Binafsi, sioni mabadiliko...kwa sera ya nje ya US chini ya Trump
Fedha anazotoa US zinarudi...pia US anawanyonya EU kwa kuwauzia nishati mara sita ya bei za awali kabla ya vita. Makampuni ya Silaha ya US yametengeneza faida sana....!Trump sera zake ni America for American Sasa hii vita inaigharimu America kiasi kikubwa Cha fedha lazima ataachana nayo
Meltdown ni kubwa EuropeUkraine nahisi watakuwa psychological defeat baada ya matokeo ya Uraisi,
Huyo amesahau 2016 waasi wa Syria walivyolia baada ya mgombea wao Hillary Clinton kupigwa na Trump make walishajua jamaa anaenda kuwafungia misaada na ndo alichofanya na mpaka leo uasi Syria umebaki historia.Vyovyoye atakavyofanya Trump Hana Cha kuitisha Urusi.
Kama ni vikwazo Urusi keshavizoea,
Kama ni vita Urusi Iko tayari Kwa hilo .
Akitaka kuingia vitani na Urusi ajiandae Kwa vita vya nukes.
Alishindwa kumpiga kiduku atamweza Putin?
Hata hivyo Trump sio mpenda mavita .
Trump ni mpenzi wa maswala ya kiuchumi hapendi vitaVyovyoye atakavyofanya Trump Hana Cha kuitisha Urusi.
Kama ni vikwazo Urusi keshavizoea,
Kama ni vita Urusi Iko tayari Kwa hilo .
Akitaka kuingia vitani na Urusi ajiandae Kwa vita vya nukes.
Alishindwa kumpiga kiduku atamweza Putin?
Hata hivyo Trump sio mpenda mavita .
Warusi ni ndugu zetu kabisaa wajeeee tutawapokea kwa mikono miwili .Majirani hapa mchangamkie fursa msiwe kama wa huku kwetu at ni rafiki wa NATO
🇷🇺🌍 On the Prospects of Russia Establishing Logistics Bases in Africa
A representative of the Ministry of Industry and Trade, Roman Chekushev, that Russia is considering creating ports in African countries to "organize the flow of domestic goods". Options in Algeria, Senegal, Egypt, and Tanzania are being considered.
▪️In North Africa, the most promising partner is Algeria, and discussions about such projects are ongoing. As early as February, about creating a free trade zone in an Algerian port.
Military cooperation with Algeria is extensive, including arms supplies and joint naval exercises. The port could enable the deployment of an "African Corps" on Algerian territory.
▪️A potential candidate is Senegal, where left-populists recently came to power. For President Bassiru Faye, cooperation with Russia could help negotiate more favorable terms for resource extraction, especially against the backdrop of relevant agreements.
▪️For Egypt, this could continue the Russian industrial zone in the Suez area. Developing relations with Egypt is promising, but no further military infrastructure is planned yet.
▪️Tanzania's multi-vector policy is conducive to such projects. Against the backdrop of difficulties in and , Dodoma could become an important logistics partner.
🔻Such statements confirm Russia's intentions to strengthen trade cooperation with Africa, with business as the locomotive for promoting interests where military solutions are not required. Military-technical cooperation can then be strengthened on this foundation.
@Rybar
|