Hawawezi, maana hata EU wana asset Russia na pia legal terms haziruhusu ndio maana waishia ku freeze sio ku confiscate
The meeting in Belarus was also used to exchange the remains of fallen soldiers. Russia received 37 bodies, while handing Ukraine 563. Among the remains handed over to Ukraine were the bodies of 62 POWs killed in January this year, when a Russian Il-76 transport airplane was shot down over Belgorod Region by Ukraine’s US-supplied Patriot missiles.bado wanazidi
Kwan hujui Kenya imekua mshirika wa marekani nje ya NATO? Asa kukiwa na base ya US Kenya unazan East Africa yote kenya c ataona iko chini yakeNifafanulie hii mkuu🤔
Nimeipitia kwa haraka
Hata ni wakati tuikaribishe URUSI ijenge base TanzaniaKwan hujui Kenya imekua mshirika wa marekani nje ya NATO? Asa kukiwa na base ya US Kenya unazan East Africa yote kenya c ataona iko chini yake
Tazama matukio kutoka kwa wadau wa Frontline. Ni mwendo wa Ukweli!!! Ni tit for tat, Mkuu....casualties in Ukraine between February 24, 2022 and November 9, 2024,
Mnamuamini sana DT eeenh ngoja tuone lknTrump kwenye kampeni zake alishaweka wazi yeye atashughulika na mambo ya marekani tu. Migogoro inayohusisha watu wengine nje ya marekani waitatue wao kimpango wao. So ukraine asitegemee tena hela za bure na silaha za bure "there's no free lunch for trump".
Kviv wao Hawana hii tarifa, tarifa iliyopo ni kupokea miili ya waUkraine na NATO 567Tusichoke kuwaombea warusi ndugu zangu, wanachinjwa mno 🥱🥱🥱🥱View attachment 3147776
Kilichotokea Kursk, Shuhuda wanaelezaTusichoke
Zele ni mtu mpuuzi sana yaani hana hela hana silaha lakini anataka kupigana aue watu nchi nzima waishe anapigwa kila leo maeneo yanaenda🇺🇸🇺🇦⚡- "I appreciate President Trump's commitment to the approach of achieving peace through the use of force in world affairs," - Volodymyr Zelenskyi, President of Ukraine.