Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Lee Van Cleef,Putin alivyo muoga kajificha kwenye mahandaki tena chooni
Hao wa kumgombania Urusi kama mpira wa Kona ni akina nani?wanatokea Sayari Gani?Putin anasubiriwa afanye kama anajikuna Ili wamgonbanie kama mpira wa kona
Halafu hata tovuti ya wizara ya ulinzi ya Russia π·πΊ yaani hata habari ya shambulio hili hawajaiweka wala hawataki kuzungumzia chochoze zaidi ya mambo wanayoyaelezea kila siku.West bado hawaelewi ni nini kile maana akijakaa kama ICBM ,iskandar wala kinzhal
Kim na Ayatollah wamsikiliza Russia. Umeona Israeli alishambulia tena Iran?Kuongoza mataifa makubwa sio kitu chepesi kama watu wanavyo fikiri.
Maamuzi ya North Korea na Iran hayawezi kuwa sawa na maamuzi ya China na Russia.
Hata kwa nafasi walizonazo Kim na Ayatollah wangekuwa nazo China na Russia wasingefanya maamuzi wanayofanya.
Hawa jamaa washangaza sana walimwengu, kwani wao wamemruhusu Zelensky atumie makombora yao na Russia kabeep tu wao mara wajawa na hofu.Mtasema wenyewe!
===
Kyiv says Russia has launched an intercontinental ballistic missile at Ukraine - it would mark the first attack from such a weapon in almost three years of war
BBC.
Marekani gani marekani haijawahi kujutia kuuaSafi kabisa na ni ukweli Kwa asilimia mia moja.
Nadhani katika kitu wamarekani wanajuta ni Hiroshima na Nagasaki.
Sio vizuri kiongozi Bora kabisa hapa chini ya jua Bwana Putin kuvutwa kirahisi katika kuiingiza Dunia katika janga kubwa .
Hao wa kumgombania Urusi kama mpira wa Kona ni akina nani?wanatokea Sayari Gani?
Maana kama ni Hawa mnaowasubiri naona wao ndio wamechelewa kwa sababu mgogora wa Ukraine na Urusi unafanana kabisa na mgogoro wa Iraq,Yugoslavia na Libya ambapo hao unaowaamini wala hawakuitwa walienda wenyewe,Sasa huku Ukraine kawaita wee ili wapeleke jeshi lao, wamegoma kwenda,mwisho kakata tamaa.
Kawaomba waweke No fly zone wee wakamkatalia,
lakini juzi TU hapa walienda kumsaidia Israel kujaribu kuangusha makombora ya Iran yaliyokua yanaelekezwa Israel.
Kitu pekee wanachofanya ni kupigana wakiwa nyuma ya mgongo wa Ukraine.
Lakini kibaya zaidi hata huko Afghanistan wote walikimbizwa.
Kama hutaki shauri Yako.
Wanajuta sio Kwa sababu wamekua ,Bali wanajuta kwa sababu walionekana kuzidiwa nguvu na Japan ikiwa peke yake ikapelekea kutumia nyukilia.Marekani gani marekani haijawahi kujutia kuua
Uko sahihi.Marekani gani marekani haijawahi kujutia kuua
Ndo vita ilivyo Putin yupo apata kahawa akicheza Chess.Halafu hata tovuti ya wizara ya ulinzi ya Russia π·πΊ yaani hata habari ya shambulio hili hawajaiweka wala hawataki kuzungumzia chochoze zaidi ya mambo wanayoyaelezea kila siku.
Putin aongoza moja ya taifa kubwa duniani ni lazima aonyeshe ile yaitwa "responsible leader".Kama Putin ana hizo nguvu mnazo claim hapa anashindwa nini kuimaliza Ukraine na kuiondoa kwenye uso wa dunia??
West bado hawaelewi ni nini kile maana akijakaa kama ICBM ,iskandar wala kinzhal
Kwanza mwambie Netanyau akomboe magaidi wake wanaoshikiliwa na hamasKama Putin ana hizo nguvu mnazo claim hapa anashindwa nini kuimaliza Ukraine na kuiondoa kwenye uso wa dunia??
π€£π€£π€£ Cinema zime mdanganyaNamjua sana ila Wacha nimuelimishe pengine naweza nikamkomboa.
Unajua Kuna wengine wameharibiwa na movie za akina Schwarzenegger, Johnny Rambo,Chuck Norris,Van Damme na akina Rolf Randegrean.
Unajichekesha kinafiki huku ukiwa na uchungu moyoni, Russia kawaaibisha sanaππππ€£π€£ Wana wachokoza wenyewe lakini Acha yawakute
Yapata mwaka nowKwanza mwambie Netanyau akomboe magaidi wake wanaoshikiliwa na hamas