LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
NATO wanategemea hekima ya PUTIN kutokutumia silaha hatari akishambuliwa.Bomu la juzi ni njia ya kuwakumbusha kuwa if RUSSIA is not feeling safe so is all NATO countries no matter the distance.
 
Hiyo mikono kaikaza kwa makusudi maana kitufe kipo karibu yake maana kwa hasira alizonazo hakupenda kukibonyeza kwa bahati mbaya
Wanamuombea adedi kwa ugonjwa🀠🀠🀠....baada wamuombee aendelee kuwepo maana jamaa ana ustaarabu mwingi sana....siku akikaa kichaa mwingine kwny kile kiti halafu aone mabatani ya makombora yamemzunguka na subira awe Hana watajua hawajui
 
Jamaa wanazidi kupelekwa jongomeo πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±
 
Ni kweli kabisa ,yaani Sasa Dunia imeshuhudia na ameshapata sababu ya kufanya maangamizi makubwa ambayo hakutakua na lawama kwake.
Ukweli nimeona hata Marekani kwenyewe Kuna watu wamekerwa sana na kitendo Cha kufanya jambo ambalo linaweza kusababisha vita ya nyukilia.
 
Unachosema ni sahihi kwamba hajafanya jambo la kutosha sana,lkn Mimi naamini kama vile vijamaa vikijifanya vijeuri kuendelea kurusha vikombora vyao Urusi nakuhakikishia haya unayoyasema yatatokea.
Ila Mimi siombei mambo yafike huko,naomba Trump aje aepushe umwagikaji wa damu.
Amin nakuambia hata huko Ukraine Kuna waukraine wengi TU hawapendi jinsi USA inavyoitumia nchi Yao kwa ajili ya kuendeleza ubeberu wao.
 
Waliwahi pia kuapa hawawezi ku negotiate na wanaoitwa magaidi ila mwisho wa siku kila mtu aliona wali negotiate na Taliban kule UAE na Taliban kuachiwa nchi. Usimuamini mmarekani.
 
Timu Rusia kazi hiyo hapo
πŸ–‹ ✈️ Contract in the Airborne Forces of the SVO, fighters, drivers with categories C, D, E, as well as medical personnel (only men!) are needed!
βœ… 2 million 500 thousand rubles payment upon signing (via Tula), distribution to the elite of the Russian army - Airborne troops. For those who wish to other units (mainly motorized rifle), you can sign up in Belgorod (3 million), Nizhny Novgorod (3 million), Leningrad region (2.1 million, for those who go in relation to a specific unit), the curator will tell you the difference and features in private messages. The offer applies to citizens of the Russian Federation (any region), as well as citizens of the CIS.
🚝✈️ A ticket is purchased from anywhere in the Russian Federation, accommodation and meals are organized for the duration of the contract (2-3 days).
🧠 A team of specialists provides supervision, consulting and legal assistance regarding military service and receiving payments.
πŸ“„ The curator helps with distribution to the Airborne Forces, or you can go on a general basis to other troops (requirements below). Particular interest is shown to specialists (drivers of heavy and cargo equipment, repairmen, etc., but confirmation of qualification is required), distribution by specialty is possible. The contract is signed quickly, 2-3 days.

πŸ“Œ Requirements:
  • age from 18 to 63 years, male;
  • having a Russian passport (if not, restore it);
-CIS is also being considered;
  • absence of serious chronic diseases (please indicate if there are any, we will discuss);
  • absence of disability;
  • no criminal record for terrorism or violation of sexual integrity;
  • absence of dispensary registration (psycho-narcotic dispensaries)
  • absence of drug addiction.

Please do not contact and do not waste your time:
- active contract soldiers and mobilized soldiers (I would be glad to, but no way);
-for girls;
- those who do not meet the requirements.

Those interested should contact the following numbers: +79299877531, +79913574583, (Whatsapp, Telegram), if you do not receive a response to one number, write to the second one, you are guaranteed to receive a response
 
Wanajiandaa kufanya majaribio mengine!

Russia may additionally conduct test launches of the same or similar ballistic missiles in the coming days to accomplish the same rhetorical effect.

Russian sources claimed that Russia will close part of its airspace on November 23 to 24 for a missile test.

November 22, 2024, 6:50pm ET


 
Mmmh nawahurumia wa Ukraine vinu vingine kwa mpigo this is not good at all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…