Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
Hili nalo neno maana kimsingi hao ndo ndg na ugomvi wa ndg unapaswa kuamuliwa na ndg wenyewe.Ndiyo maana Lukashenko anasema, majadiliano ya Amani yafanywe na nchi Tatu tu! Ukraine, Belarus na Russia...hawa wa Magharibi wameishapoteza umuhimu!!!
Mkuu naamini umeshaona majibu ya Putin at least kwa Sasa. Ila naamini vita inaelekea mwisho.Lakini tukumbuke Mkuu James Comey, wamagharibi si watu wa kujali mikataba wanayoingia na imedhihirika hii!
Tu assume amani ikapatikana kipindi cha Trump! Ila vipi muhula wa Trump ukiisha?
West wamevunja agreements ya 1992 ya kutosegeza hata inch kuelekea Russia.
West wamevunja mikataba tofauti waliwekeana na Russia jinsi ya udhibiti wa silaha.
West wamevunja mikataba ya Minsk.
Anamsubiri Trump, then vipi baada ya Trump?
Sijui umenipata Mkuu? Yaani najaribu kufikiria kiraia ile dhana ya security kwa nchi yako itakuwaje?!
Ninachofikiri kwenye hili sakata, Putin kwa security ya Russia waitafute wa Russia wenyewe kwa sababu West imeshadhihirika hawaaminiki.
Inabidi Russia wafanye maamuzi magumu dhidi ya Ukraine na washirika wake wa Nato ili awarudishe kwenye mstari tena kabla ya kufanya chochote kuhusu Russia basi wakumbuke tukio flani.
Yaani ni kama sasa hivi Iran ilivyomfanya Israel kabla ya kufanya tukio lolote baya dhidi ya Iran basi anakumbuka kuwa dakika 8nza Iran zinatosha kuishambulia nchi yangu.
Au kuna mahali napokosa? Kama napakosa karibu Mkuu nifahamishe tafadhali!
Hilo eneo Kulikua na Wamarekani wengi wamemalizikia huko huko chini woteInaonekana Ukraine na west waliamini hakuna silaha inaweza kuleta madhara kwenye hicho kiwanda cha makombora na jet engine sababu kipo chini underground na ni concrete heavy, ni cha tangu era ya usovieti
Chuma imeenda hukohuko mantra ingawa na kuleta uharubifu mkubwa.
Lile eneo ni highly restricted ndio maana picha hazionekani sana
Orban alisema ASILIMIA 80 ya maongezi ya Nato ni usanii na uongo!!! Akiwambia kabisa msilete mchezo chukueni haya maonyo ya Urusi seriously sio utani utani jamaa ataachia dude kweli itakua shida...Nadhani tarehe 26 Nov kuna kikao cha NATO, ngoja tusubiri kitakacho jadiliwa, ila pia itakuwa kupunguza Ukraine strike inside Russia
Unaambiwa kutoka Russia mpaka uingereza oreshnik linatumia dakika 17 Tu 🤣 🤣Bado wanajiuliza kuhusu Oreshnik! Angalia huo umbali halafu angalia hizo dakika! Sisi acha tuendelee kujenga vyoo!
Russian missile reached speed of more than 8,000 miles per hour, Ukraine says
KYIV, Nov 22 (Reuters) - The Russian missile that struck the Ukrainian city of Dnipro on Thursday reached a top speed of more than 13,000 kph (8,000 mph) and took about 15 minutes to reach its target from its launch, Ukraine said on Friday in its first public assessment of the new weapon.
November 22, 20245:33 PM GMT+3
![]()
Reuters | Breaking International News & Views
Find latest news from every corner of the globe at Reuters.com, your online source for breaking international news coverage.www.reuters.com
Oreshnik ni jiniBado wanajiuliza kuhusu Oreshnik! Angalia huo umbali halafu angalia hizo dakika! Sisi acha tuendelee kujenga vyoo!
Russian missile reached speed of more than 8,000 miles per hour, Ukraine says
KYIV, Nov 22 (Reuters) - The Russian missile that struck the Ukrainian city of Dnipro on Thursday reached a top speed of more than 13,000 kph (8,000 mph) and took about 15 minutes to reach its target from its launch, Ukraine said on Friday in its first public assessment of the new weapon.
November 22, 20245:33 PM GMT+3
![]()
Reuters | Breaking International News & Views
Find latest news from every corner of the globe at Reuters.com, your online source for breaking international news coverage.www.reuters.com
It is indeed.This war is a money-making scam.
Unaambiwa kutoka Russia mpaka uingereza oreshnik linatumia dakika 17 Tu 🤣 🤣
Bado wanajiuliza kuhusu Oreshnik! Angalia huo umbali halafu angalia hizo dakika! Sisi acha tuendelee kujenga vyoo!
Russian missile reached speed of more than 8,000 miles per hour, Ukraine says
KYIV, Nov 22 (Reuters) - The Russian missile that struck the Ukrainian city of Dnipro on Thursday reached a top speed of more than 13,000 kph (8,000 mph) and took about 15 minutes to reach its target from its launch, Ukraine said on Friday in its first public assessment of the new weapon.
November 22, 20245:33 PM GMT+3
![]()
Reuters | Breaking International News & Views
Find latest news from every corner of the globe at Reuters.com, your online source for breaking international news coverage.www.reuters.com
Admiral
Mbaya zaidi inaonekana trump ameanza kugeukia upande mwingine 🏃🏃🏃🏃Warusi tambeni muda huu na kibalistic missile chenu ila hatma yenu inakuja ngojeni NATO wakae tarehe 26. Baada ya kikao anguko la Russian Federation 🇷🇺 linakuja. Save this post
Saved postWarusi tambeni muda huu na kibalistic missile chenu ila hatma yenu inakuja ngojeni NATO wakae tarehe 26. Baada ya kikao anguko la Russian Federation 🇷🇺 linakuja. Save this post
🤣🤣🤣 InatishaQmmk