LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
🇷🇺🇺🇦⚡- Putin: "Russia will respond decisively and in kind to escalation."


🇷🇺🇺🇦⚡- Putin: "The use of the ICBM was a response to US plans to produce and deploy medium and short-range missiles."


🇷🇺🇺🇦⚡- Putin: "Existing missile defense systems, including American elements in Europe, will not be able to intercept missiles like yesterday's ICBM."


🇷🇺🇺🇦⚡- Putin: "The latest Russian missiles attack targets at a speed of 2-3 km per second, existing enemy missile defense systems can not intercept them."


🇷🇺🇺🇦⚡- Putin: "Russia will warn Ukrainian civilians in advance to leave the danger zone if such missiles are used in the future."

End of speech.
 
🇷🇺🇺🇦⚡- "Today there was a new Russian rocket. All characteristics - speed, altitude - intercontinental ballistic. Examinations are now underway. It is obvious that Putin is using Ukraine as a testing ground," - Volodymyr Zelenskyi, President of Ukraine
Zelensky alijinasibu kua makombora yataongea yenyewe.
Ni kweli yameanza kuongea.
Ila nadhani hakujua kama Urusi pia Ina makombora yanayoongea.
 
Sasa Una kuta kuna mbongo yupo maji matitu anayejifanya anajua siasa za kimataifa kuliko huyu Raisi , huyo mtu wa maji matitu Anakuambia Russia hawana uwezo wowote , Yaani huyo mtu anamshinda mpaka huyu Raisi wakati mwenzie ana Taasisi kibao za kijasusi zinazo mpatia data , Bongo sihami
Hawa wabongo ubishi mwingi ffu uwa wakitokezea road wanalia na mji unakuwa mweupe leo vinashuka vinu uko Ukraine na kuacha watu kilometa 1000 ni viziwi awasikii leo wako hapa wanajifanya kuchambua siasa za Asia
 
👇👇
 

Attachments

  • Screenshot_2024-11-22-20-28-21-557_com.twitter.android-edit.jpg
    Screenshot_2024-11-22-20-28-21-557_com.twitter.android-edit.jpg
    584.9 KB · Views: 3
Kwa hiyo zile intercontinental missiles bado hazijamzuia Ukraine kurusha makombora nyumbani kwa super power 🏃🏃🏃
Ile ya jana iloluwa kama onyo, raye ya kurusha au target kwa Ukraine lazima ibadilike,
Sehemu iliyopigwa jana ilikuwa ni muhimu, sababu ni very strategic (kiwanda cha rocket and jet engine na pia ilikiwa ina serve kama bunker.
 
Naona hawaruhusu kabisa kupiga picha mahali kitu kilidondoshwa Jana!!!
Inaonekana Ukraine na west waliamini hakuna silaha inaweza kuleta madhara kwenye hicho kiwanda cha makombora na jet engine sababu kipo chini underground na ni concrete heavy, ni cha tangu era ya usovieti
Chuma imeenda hukohuko mantra ingawa na kuleta uharubifu mkubwa.
Lile eneo ni highly restricted ndio maana picha hazionekani sana
 
.. kurusha makombora nyumbani....
 
Back
Top Bottom