kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Duh! Jamaa wanazidi kuchinjwa tu š„± š„± š„± š„±
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamuoni aibu!!! North Korea nchi mliyosema masikini wa kutupwa ndiyo wanawatia kiwewe kweli?North Korean-made missiles are already striking Ukraine, and they are openly acknowledging it.
Angeona aibu urusi kwanza anayepigishwa danadana na kanchi kadogo Jirani hambao hakafiki hata size ya mkoa wakeHamuoni aibu!!! North Korea nchi mliyosema masikini wa kutupwa ndiyo wanawatia kiwewe kweli?
Hivi NATO na vassal countries wake wakiishambulia Russia siyo WW3 bali Russia kutumia zana za kivita kutoka kwa marafiki zake ndiyo WW3!!! Kwa hiyo, super power wa Mchongo, ndiye anawakimbiza muanze kutangaza WW3, kweli!!!? Ha hahahaha haaa rudini kwenye drawing board!!
Mmepindisha sana ukweli lakini Sasa nikama you are running out of tricks!
1. Speed ya chuma ku hit target ni noma.Mpaka sasa nashindwa kuelewa kwanini Oreshnik imetingisha vichwa vya habari hivi Dunian?, maana Russia imeshawah kutumia hypersonic missiles sijui Iskander etc, kwann hili limetingisha Dunia? Kuna nn kimetokea uko Ukrain? Au ni sehemu iliyopiga ndo imekuwa gumzo? Maana hypersonic missiles imekuwa ikifyatuliwa na Russia na hakuna air defense yyte iliyokuwa inaweza kuzuia, nini asa cha upekee wa Oreshnik mpaka Dunia imekuwa gumzo, mwenye taarifa, aelezee kwa undani.
Hawa vibaka wana hasira baada ya kufurushwa toka Niger ,Mali na Bukinafasso na mrusiš·šŗšŗš¦š«š·ā”- "We should not have any red lines when it comes to support for Ukraine," - Jean-Noel Barrot, French Foreign Minister.
š·šŗšŗš¦š«š·ā”- "We do not discard any option, including sending troops in combat," Jean-Noel Barrot, French Foreign Minister.
Duh! Jana ulisema NATO aguswe kwa kushiriki kuivamia Kursk na Vyombo vyake na watu wake, Leo unasema, Kanchi kadogo Jirani....! NATO imekuwa Kanchi kadogo tena?Angeona aibu urusi kwanza anayepigishwa danadana na kanchi kadogo Jirani hambao hakafiki hata size ya mkoa wake
Maria Zakharova on Sunday urged Kiev authorities, who deny the existence of the Oreshnik missile systems, to find out whether the Yuzhmash plant exists.....aache...
Mwamba putiAsymmetrical retaliation!!!
Na hii ya kusema Ufaransa na wenzake wameruhusu nao makombora Yao kupiga ndani zaidi mwa Russia ni kujibaraguza tu, hawana lolote.
Halafu Putin anavyowachanganya ..anasema kwa Sasa hakuna wa kuzuia labda baada ya miaka kama miwili mitatu wanaweza....yaani anajua uwezo wao! Au ndiyo anawataka watafute mtambo wa kuzuia hili bomb kwa pupa wapoteze muda zaidi?Ha ha haaa
Hawa Pro UkraiNATO ni viumbe wa ajabu sana.Duh! Jana ulisema NATO aguswe kwa kushiriki kuivamia Kursk na Vyombo vyake na watu wake, Leo unasema, Kanchi kadogo Jirani....! NATO imekuwa Kanchi kadogo tena?
===
Tuletee update za Frontline, NATO wamebakiza maili ngapi kufika Moscow? Vipi kuhusu Crimea...! Mnaichukua mwaka huu au mmeahirisha?
Sasa akiamua kuipiga Nuke si atakosa kila kitu.Kama Putin ana hizo nguvu mnazo claim hapa anashindwa nini kuimaliza Ukraine na kuiondoa kwenye uso wa dunia??
Wewe mbona unatumia silaha na wanajeshi toka nato?Ukraineās Ambassador to the United Kingdom and former Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine, Valerii Zaluzhnyi, stated that the direct involvement of Russiaās autocratic allies in the war against Ukraine, it can now be considered the beginning of World War III.
āI believe that in 2024, we can definitively state that World War III has begun.
Because in 2024, Ukraine is no longer facing just Russia. Ukraine is confronting soldiers from North Korea. Letās be honest. Iranian Shahed drones are openly and unapologetically killing civilians in Ukraine.
North Korean-made missiles are already striking Ukraine, and they are openly acknowledging it. Ukrainian territory is being hit by Chinese shells, and Chinese components are used in Russian missiles,ā Zaluzhnyi declared.