LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ile mikwala ya Dmitry Medvedev mbona haisikiki siku hizi,au Kuna mtu kampiga konzi na kumwambia aache kuropoka🏃🏃🏃


24 Nov, 04:20
T-90M tank shows itself as best in the world in real fight — Medvedev

DUBAI, November 24. The Russian T-90M Proryv tank has proved itself to be the world’s best in the real combat environment, Deputy Chairman of the Security Council Dmitry Medvedev said in an interview with Al Arabiya television recorded during the visit to the Uralvagonzavod plant.

"The operation of probably our best tank T-90M Proryv has just been demonstrated to us. Many experts, I am not talking about the military proper, believe this is the best tank of our time, compared to Western counterparts in particular," Medvedev said. "Any performance
 
Russia inaishi 5 years ahead of NATO in terms of military technology
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Anajua basii 😁

Hajui kuwa vita huwa inalengo la kuteka Ardhi ya nchi husika na kuchukua rasilimali za Hiyo nchi na katika hizo Rasilimali watu pia ni Rasilimali kuu Maana baada ya hapo lazima uwatawale sasa kama nchi haina watu utamtawala Nani Mapato yanayo tokana na Kodi utayapata wapi !! Yote hayo hawayajui , shame
Sasa akiamua kuipiga Nuke si atakosa kila kitu
 
Inavyoshuka ni km mwanga wa Radi au imetoka sayar nyingine kupiga duniani
 
Ni mwendo wa kusonga mbele! Hii ni jana!

Russian advances in the Pokrovsk, Kurakhove, Vuhledar, and Velyka Novosilka directions present the Russian military command with several courses of action (COAs) that the Russian command may attempt in the coming weeks and months.

November 24, 2024, 8:45 pm ET


 
Ukrainian soldiers in Kursk. Probably won't be buried or returned to Ukraine.
 

Attachments

  • 18917969_rdt202411240602329122323147041427533_jpegf86d972723f96af04500749110f31891.jpeg
    161 KB · Views: 2
  • 18917968_rdt202411240602252551413632176144726_jpegcba1ebf8c4292d8cb4a19211efd70f0b.jpeg
    145.3 KB · Views: 3
⚡German Defense Minister Boris Pistorius:

Russia produces as many weapons and as much ammunition in three months as the entire European Union does in a year.
 

Attachments

  • 18918310_gdiivz9wmaaf55_jpeg_jpegd69fafaa3f99dbb19143040d831b42aa.jpeg
    16.8 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…