Nickson francis
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 700
- 1,306
Urusi iiangushe marekani wakati Jimbo moja tu la Texas linaizidi Urusi kwa kila kituWenye shaka shaka na put in musiwe na shaka Americant anataka kuanguka na mwenziwe hivyo anamkurupua Russia akurupuke ila put in hakurupuki Safi sana oreshnik
Tuambie wewe Urusi kabakiza maili ngapi kuichukuwa KievDuh! Jana ulisema NATO aguswe kwa kushiriki kuivamia Kursk na Vyombo vyake na watu wake, Leo unasema, Kanchi kadogo Jirani....! NATO imekuwa Kanchi kadogo tena?
===
Tuletee update za Frontline, NATO wamebakiza maili ngapi kufika Moscow? Vipi kuhusu Crimea...! Mnaichukua mwaka huu au mmeahirisha?
Nadhani chako kitakuwa sawa kuzidi chakeHivi huyu jamaa kichwa chake kiko sawa kweli??
5 years ahead of NATO kwa kusaidiwa hadi na magaidi wa houthi, Belarus, Iran, north Korea? yani umeandika ugoro mtupuRussia inaishi 5 years ahead of NATO in terms of military technology
Hawa mashetani Wameshapigwa Yeye 2025 haimhusu akafie mbele huko Trump linakuja🇺🇸 U.S. Secretary of State Antony Blinken stated that the United States will provide Ukraine with everything necessary to “fight through 2025.”
According to Blinken, the G7 and its partners are “determined” to ensure that Ukraine has the funds, ammunition, and forces needed to fight effectively in 2025 or negotiate peace from a position of strength. The diplomat emphasized that the U.S. continues to increase security assistance to strengthen Ukraine’s defenses in the east.
Negotiate peace from a position of strength with increased territory loss?🇺🇸 U.S. Secretary of State Antony Blinken stated that the United States will provide Ukraine with everything necessary to “fight through 2025.”
According to Blinken, the G7 and its partners are “determined” to ensure that Ukraine has the funds, ammunition, and forces needed to fight effectively in 2025 or negotiate peace from a position of strength. The diplomat emphasized that the U.S. continues to increase security assistance to strengthen Ukraine’s defenses in the east.
Hivi Pale Ukraine hamna watu wenye akili hawa watu wapuuzi wanaharibu nchi yao wanakubaliNegotiate peace from a position of strength with increased territory loss?
Jibu swali kwanza mkuu usijizime dataTuambie wewe Urusi kabakiza maili ngapi kuichukuwa Kiev
Basi nakujibu, Urusi tayar kashaichukuwa Kiev na kwasasa ipo chini ya vikosi vya UrusiJibu swali kwanza mkuu usijizime data
Be serious mkuuBasi nakujibu, Urusi tayar kashaichukuwa Kiev na kwasasa ipo chini ya vikosi vya Urusi
Lini Russia ilisema inaichukua Kiev? Hata hivyo, walishaingia Kiev muda mfupi tu walipoanzisha SMO, lakini wakaondoa askari wao na mizinga kwa good Faith ili kupisha mazungumzo ya amani yaliyokuwa yanaendelea Uturuki!!! Bahati mbaya mazungumzo yalivunjika wakati wameisha ondia vikosi vyao vyote!Tuambie wewe Urusi kabakiza maili ngapi kuichukuwa Kiev
Toka Bibi Nulad awanyweshe sumu ya demokrasia ya kughushi ( kwenye katiba ya Marekani hakuna mahali pameandikwa demokrasia, kama Kuna mahali pameandikwa demokrasia kwenye katiba Yao nielezwe mapema nifute kauli hii), wa Ukraine walipotea mazima!!!Hivi Pale Ukraine hamna watu wenye akili hawa watu wapuuzi wanaharibu nchi yao wanakubali
Responsible leader hawezi kuanzisha vita na jirani yake Ili kujitanua zaidi na kumega ardhi yake.Putin aongoza moja ya taifa kubwa duniani ni lazima aonyeshe ile yaitwa "responsible leader".
Putin na Russia wana nchi marafiki na kubwa duniani China, India, Mexico na Afrika Kusini wapo kuunda BRICS hivyo hawataki hitilafu.
Russia haikuanzisha vita sababu ya kujitanua na kuchukua ardhi bali kuzuia Ukraine kujiunga na NATOResponsible leader hawezi kuanzisha vita na jirani yake Ili kujitanua zaidi na kumega ardhi yake.
Siyo Kiev tu, Russia anaitaka Ukraine yote. Ni resistance ya wa Ukraine ndo imefanya hali iwe hivi ilivyo.Lini Russia ilisema inaichukua Kiev? Hata hivyo, walishaingia Kiev muda mfupi tu walipoanzisha SMO, lakini wakaondoa askari wao na mizinga kwa good Faith ili kupisha mazungumzo ya amani yaliyokuwa yanaendelea Uturuki!!! Bahati mbaya mazungumzo yalivunjika wakati wameisha ondia vikosi vyao vyote!
Tuulizane kwanza. Ulianza kufuatilia kwa umakini habari za SMO Toka lini?
Hapo ungeweza kuongeza nyama kidogo kulingana na uhalisia.Siyo Kiev tu, Russia anaitaka Ukraine yote. Ni resistance ya wa Ukraine ndo imefanya hali iwe hivi ilivyo.