Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
MBONA alivyonitukana Mimi hauku muonya !?.....Jamani msiende mbali Sisi na Ukraine hatuna undugu wowote ni ushabiki tu wa mtandaoni
MBONA alivyonitukana Mimi hauku muonya !?.....Jamani msiende mbali Sisi na Ukraine hatuna undugu wowote ni ushabiki tu wa mtandaoni
Mama Zenu hawamo kwenye vita za Ukraine tulieni waacheni wamama wa watu kama vipi tuwakutanishe mpiganeMBONA alivyonitukana Mimi hauku muonya !?.....
Ni kweli wamekiri na wamesema wanaandaa majibu. Ila kusiwe na malalamiko.Jeshi la urusi limejitokeza na kukiri kupokea kipondo Cha atacims 🔥 🔥 🔥
Russia's Defense Ministry admitted on Nov. 26 that Ukraine had targeted Russian S-400 air defense systems and an airfield in embattled Kursk Oblast with U.S.-made long-range ATACMS missiles over the past three days.
Endelea kuota ndoto. Huu ubishi na hauna taarifa huwa mnautoa wapi?Acha uongo.Hakuna ATACAM wala STORM SHADOW nyingine yeyote iliyotumika tena baada ya ile ya majuzi.Athatri za ORISHNIK ni kubwa sana kuliko unavyofikiria,Achana na fake news sitarajii kama UKRAINE atatamani tea lile bomu litumwe kwake.SI umesikia Keith Starmer baada ya lile bomu kajiwahi kwamba wao hawako vitani na RUSSIA.
Joe anaondoka anataka aondoke Milele na wamarekani wenzake .....Mzee vile kuwa na roho mbaya Ile si uungwana.
Kikao cha NATO walichokaa wameazimia nini?Sijui Russia wata respond kiasi gani ila natarajia surprises, hasa baada ya resolution ya kikao cha NATO,
Russian response this time itaamua mengi na kutoa picha ya hii vita kabla ya january
Wamesema tu " YANGA BINGWA" basiKikao cha NATO walichokaa wameazimia nini?
“Buzz off!” he told RT’s Chay Bowes, who asked him about the espionage scandal.![]()
Russian Defense Ministry admits that Ukraine hit airbase in Kursk Oblast with ATACMS
The Russian Defense Ministry's statement is the first public confirmation of the attacks by Moscow, following multiple reports of strikes after Washington permitted Ukraine to use its ATACMS missiles to strike against targets on Russian soil.kyivindependent.com
Huwezi ona warusi humu wakiongelea Hilo jambo, wao kazi yao ni kusifu na kuabuduJeshi la urusi limejitokeza na kukiri kupokea kipondo Cha atacims 🔥 🔥 🔥
Russia's Defense Ministry admitted on Nov. 26 that Ukraine had targeted Russian S-400 air defense systems and an airfield in embattled Kursk Oblast with U.S.-made long-range ATACMS missiles over the past three days.
Unaandika kwamba ni Russia pekee ndie mwenye silaha za maangamizi, ingekuwa ni hivyo basi Putin angeshamaliza vita muda sana,NATO wanategemea hekima ya PUTIN kutokutumia silaha hatari akishambuliwa.Bomu la juzi ni njia ya kuwakumbusha kuwa if RUSSIA is not feeling safe so is all NATO countries no matter the distance.
Acha wafe tu hakuna namna19 more Russian officers were successfully demobilized in Ukraine and returned in black bags, congratulations Putin:
- captain Trankovsky Valery;
- Major Albert Petrov;
- Lieutenant Magnitov Alnur;
- Lieutenant Igor Kinzybeev;
- Lieutenant Krylov Alexei;
- Lieutenant Bondarenko Alexei;
- lieutenant colonel Musor Nikolay Armeev;
- captain Ibubekirov Ildar;
- captain Mikhail Samarov;
- Lieutenant Kirillov Alexander;
- Lieutenant Alexander Voloshenko;
- lieutenant Ivanov Daniil;
- battalion commander, lieutenant colonel mobik Zimenko Vyacheslav;
- Major Pechenin Mikhail;
- senior lieutenant Khokhlov Ivan;
- senior lieutenant Sagitov Ainur;
- Lieutenant Bulkov Alexander;
- Jr. Lieutenant Okovita Ivan;
- Jr. Lieutenant Viktor Plotnikov; GLORY TO THE HERO PView attachment 3159734EOPLE OF UKRAINE...
Urusi iiangushe marekani wakati Jimbo moja tu la Texas linaizidi Urusi kwa kila kituWenye shaka shaka na put in musiwe na shaka Americant anataka kuanguka na mwenziwe hivyo anamkurupua Russia akurupuke ila put in hakurupuki Safi sana oreshnik
Tuambie wewe Urusi kabakiza maili ngapi kuichukuwa KievDuh! Jana ulisema NATO aguswe kwa kushiriki kuivamia Kursk na Vyombo vyake na watu wake, Leo unasema, Kanchi kadogo Jirani....! NATO imekuwa Kanchi kadogo tena?
===
Tuletee update za Frontline, NATO wamebakiza maili ngapi kufika Moscow? Vipi kuhusu Crimea...! Mnaichukua mwaka huu au mmeahirisha?