29Oct2025
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,975
- 8,270
Bado mpaka akili ziwakae sawaHongereni sana. Naona mmeshinda vita
Bado mpaka akili ziwakae sawaHongereni sana. Naona mmeshinda vita
FafanuaRussia imeshambuliwa vibaya sana
Makombora yalioshanbulia bado hayajajulikana ni aina gani.
Sio kwamba inapigika kirahisi(Kirahisi) tu hata mkitaka kipapa, kibunge , kisheikh nyie wapigeni tu ...lakini Cha kushangaza vilio vinatokea Kwa mpigaji badala ya mpigwaji ....nasemajeeeeee MKUKI HAUPIGWI KONZI ...... yaani anapigwa Urusi Kilimo Cha maiti na kilio kinatokea Ukraine na wewe unakuja kutamba hapa ...... Haya mmerudisha km ngapi!??....Warusi wa Kibada tukiwaambia Urusi inapigika kirahisi wanakasirika na kutukana.
Russia will fall
Yaani Wewe Unaeishi Kisangwe huko mashenzini una kabando ka jero unatupiga fix hapa si ulete ushahidi ndg zele!! Vita ni ngumu ukitaka kuona ugumu wa Vita muulize Netenyau alisema ataimaliza Hamas na Hizbollah na mateka atawaleta kamuulize mateka wako wapi???Warusi wa Kibada tukiwaambia Urusi inapigika kirahisi wanakasirika na kutukana.
Russia will fall
Huyu German akilijenga jeshi kubwa lazima aje alipe kisasi Cha WW2German Defense Minister Boris Pistorius stated that Putin’s invasion of Ukraine has escalated beyond a regional war.
Pistorius believes Putin sees himself as victorious in the war and aims to continue fighting to establish a new world order. He noted that Russia has “completely mobilized its economy for war,” producing as much weaponry and ammunition in three months as the entire EU does in a year, Spiegel reports.
Given the persistent threat from Moscow, Pistorius emphasized the need for significant investments in Germany’s military readiness.
“Our security is a fragile commodity,”he warnedView attachment 3161335
Nilete ushahidi upi tena wakati vyombo vyote vimeripoti kuwa mifumo ghali kabisa ya ulinzi ya Russia- S 400 imepigwa kipigo cha Mbwa koko.Yaani Wewe Unaeishi Kisangwe huko mashenzini una kabando ka jero unatupiga fix hapa si ulete ushahidi ndg zele!! Vita ni ngumu ukitaka kuona ugumu wa Vita muulize Netenyau alisema ataimaliza Hamas na Hizbollah na mateka atawaleta kamuulize mateka wako wapi???
muulize pia hamas imeisha na hizbollah imeisha,?? njoo utujibu..Kama Ulaya nzima inakodi na majeshi mengine imeweka pale dhidi ya nchi moja tu na bado wamepigwa mpaka wanachanganyikiwa sasa nawashangaa mnaosema tofauti..
Unajisikiaje kuwaita wazazi wako NZI.Sio kwamba inapigika kirahisi(Kirahisi) tu hata mkitaka kipapa, kibunge , kisheikh nyie wapigeni tu ...lakini Cha kushangaza vilio vinatokea Kwa mpigaji badala ya mpigwaji ....nasemajeeeeee MKUKI HAUPIGWI KONZI ...... yaani anapigwa Urusi Kilimo Cha maiti na kilio kinatokea Ukraine na wewe unakuja kutamba hapa ...... Haya mmerudisha km ngapi!??....
Laana anazo mamaako....Unajisikiaje kuwaita wazazi wako NZI.
Mshamba una laana wewe
Unawakasirisha watu humu ujueHuyu fala Putin vita ilishamshinda.
Hivi Mama yako akiona unajiita Mtoto wa NZI unafikiri atajisikiaje.Laana anazo mamaako....
Huyo ni occupied chini ya USA ndio maana Kambi za jeshi la Marekani zipo pale.Huyu German akilijenga jeshi kubwa lazima aje alipe kisasi Cha WW2
Safi sana, ngoja aipatepate!Russia imeshambuliwa vibaya sana
Makombora yalioshanbulia bado hayajajulikana ni aina gani.
Jamaa hawaamini macho Yao🤩😍🤩Nilete ushahidi upi tena wakati vyombo vyote vimeripoti kuwa mifumo ghali kabisa ya ulinzi ya Russia- S 400 imepigwa kipigo cha Mbwa koko.
Najua taarifa hizi zinawaumiza sana KUMOYO
Russia is falling
Ukweli mchungu huu,jamaa anajaribu kujimwambafy lakini ameshavuliwa nguo🏃🏃🏃Huyu fala Putin vita ilishamshinda.