Oppo A17k
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 997
- 3,019
Kwanini umewachukia mkuuNimejikuta nikimuonea huruma Zelensky/Ukraine na kuwachukia NATO
Kwanini umewachukia mkuuNimejikuta nikimuonea huruma Zelensky/Ukraine na kuwachukia NATO
Zelensky changes position on ceasefire terms.. kwa habari zilizopo tayari....
Kabisa ujanja ujanja hatuutaki put in aendelee kuwasagwa hawa wanazi wauajiZelensky changes position on ceasefire terms
The Ukrainian leader said that Kiev could sign a truce without recapturing territory from Russia
===
Hakuna janja janja... malengo ya SMO lazima yatimie
Elensky sio wakuonewa huruma hata na mjusi ni wakuswagwa swagwa tu yule kengeNimejikuta nikimuonea huruma Zelensky/Ukraine na kuwachukia NATO
Naona kama vile hawana huruma na maisha ya wananchi wa Ukraine. Fikiria jinsi walivyopoteza maisha kwa idadi kubwa sana lakini bado wanaendelea kumshurutisha kupigana. Ninachofikiri kwa mtu mwenye kujali uhai wa mwingine walipoona adui nguvu yake ni kubwa zaidi na anazidi kuwateketeza wangetafuta njia nyingine mbadala hasa ya majadiliano. Lakini kwasababu DAMU YA UKRAINE HAINA THAMANI KWA WEST NA MAREKANI NDIO MAANA WANAONA NI SAWA AENDELEE KUPAMBANAKwanini umewachukia mkuu
Umejibu swali kwa kukurupuka, kwahyo Finland imejiunga NATO 1939?Finland alishadundwa mwaka 1939
Matokeo ya Vita ni Soviet union kushinda na kujinyakulia maeneo.
Tuliongeza eneo kule St Petersburg Ili pawe salama.
Kama ulikuwa hujui, fahamu hilo
USA ndie anaefahamu namna atavyorudisha gharama zake kwakuwa yeye ndie mtoaji na Wala jibu lako haliusiani na swali nililouliza, kwamba ikiwa Urusi imevamia Ukraine kwa kisingizio Cha Ukraine kutaka kujiunga NATO, kwanini hakuivamia Finland walipojiunga kwenye umoja huo na ni nchi majirani kama ilivyo kwa Ukraine..Ushawahi kujiuliza US anatafuta nn ndani ya Ukraine Mpaka anakubali kuwekeza Billion dollars kwenye vita? Ushawahi kujiuliza anafaidika vipi na hiyo vita? Ushawahi kujiuliza atarudisha vipi gharama za walipa kodi wake?
Ukraine ni nchi huru, huwezi kuichagulia marafiki, kubali tu Urusi katumia ubabeFInland hakuwa NATO.,kaomba kujiunga 2023 baad ya ushakunaku wa UK.Ila sasa hivi anajutia maana kikiwaka yeye ndio kawa chambo.RUSSIA hakuwahi kuelekeza makombora ya NUKLIA kwa FINLAND.Hakuwa hostile neighbor kwake.Ila alipoamua tu kujiunga na mashoga,hali yake imebadilika.Kwa sasa kuna makombora yanamuangalia yenye uwezo wa kuifanya nchi yake majivu within minutes.Sasa jiulize wewe hali ipi ilikuwa bora ile ya kuwa neutral au hii ya sasa?
Tulisha mpiga ndonga hivyo hana maajabu.Umejibu swali kwa kukurupuka, kwahyo Finland imejiunga NATO 1939?
Hata Cuba ni Taifa huru, mbona USA ameiwekea vikwazo?Ukraine ni nchi huru, huwezi kuichagulia marafiki, kubali tu Urusi katumia ubabe
Uhuru gani unaongelea huo?Ukraine ni nchi huru, huwezi kuichagulia marafiki, kubali tu Urusi katumia ubabe
FINLAND kajiunga NATO 2023Umejibu swali kwa kukurupuka, kwahyo Finland imejiunga NATO 1939?
Ama kweli nyani haoni kundule!What hypocrisy of dictators...
Assad flew to Moscow to beg for military aid...
The Russian Defense Minister flew to Pyongyang to ask for military help...🏃🏃🏃🏃
Ndio maana hata tajiri, au wataalamu wa uchumi wanashauri ukope kufanyia mradi au project badala ya akiba zakoWhat hypocrisy of dictators...
Assad flew to Moscow to beg for military aid...
The Russian Defense Minister flew to Pyongyang to ask for military help...🏃🏃🏃🏃