Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwanini umewachukia mkuu
Naona kama vile hawana huruma na maisha ya wananchi wa Ukraine. Fikiria jinsi walivyopoteza maisha kwa idadi kubwa sana lakini bado wanaendelea kumshurutisha kupigana. Ninachofikiri kwa mtu mwenye kujali uhai wa mwingine walipoona adui nguvu yake ni kubwa zaidi na anazidi kuwateketeza wangetafuta njia nyingine mbadala hasa ya majadiliano. Lakini kwasababu DAMU YA UKRAINE HAINA THAMANI KWA WEST NA MAREKANI NDIO MAANA WANAONA NI SAWA AENDELEE KUPAMBANA
 
Ushawahi kujiuliza US anatafuta nn ndani ya Ukraine Mpaka anakubali kuwekeza Billion dollars kwenye vita? Ushawahi kujiuliza anafaidika vipi na hiyo vita? Ushawahi kujiuliza atarudisha vipi gharama za walipa kodi wake?
USA ndie anaefahamu namna atavyorudisha gharama zake kwakuwa yeye ndie mtoaji na Wala jibu lako haliusiani na swali nililouliza, kwamba ikiwa Urusi imevamia Ukraine kwa kisingizio Cha Ukraine kutaka kujiunga NATO, kwanini hakuivamia Finland walipojiunga kwenye umoja huo na ni nchi majirani kama ilivyo kwa Ukraine..
 
Ukraine ni nchi huru, huwezi kuichagulia marafiki, kubali tu Urusi katumia ubabe
 
Ukraine ni nchi huru, huwezi kuichagulia marafiki, kubali tu Urusi katumia ubabe
Hata Cuba ni Taifa huru, mbona USA ameiwekea vikwazo?

Venezuela ni Taifa huru, mbona mnalazimisha ya kwenu kule?

Panama ni Taifa huru, mbona mlikivamia na kumpindua Raisi wake na kumfunga kule Marekani?

Yugoslavia lilikuwa huru, mbona mlikivamia na kuligawanya?

Huo uhuru wenu kwa mataifa unaanzia wapi na kuishia wapi?
 
What hypocrisy of dictators...
Assad flew to Moscow to beg for military aid...
The Russian Defense Minister flew to Pyongyang to ask for military help...πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
What hypocrisy of dictators...
Assad flew to Moscow to beg for military aid...
The Russian Defense Minister flew to Pyongyang to ask for military help...πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Ndio maana hata tajiri, au wataalamu wa uchumi wanashauri ukope kufanyia mradi au project badala ya akiba zako
 
Huu mgogoro umejaa sana propaganda nyingi Ukiangalia takwimu za kp kipanya44 unaweza kusema wanajeshi wameisha!

Russian opposition outlets Mediazona and BBC Russian Service reported that they have confirmed that at least 80,937 Russian soldiers have died in Ukraine since the start of Russia's full-scale invasion in February 2022.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…