LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Na hilo kapu anatembea nalo hadi kwenye vilabu vya pombe..... Hakuna wa kuruka
 
Wasabatho Kwa kutunga story hamjambo!!
 
Daniel alitoa unabii huo maelfu ya miaka kabla ya Kristo
Je haujatuma unabii huo
umesubiri vita ywa Karne hii
Je unabii huo kama haujatuma ni unabii wa kweli
Yawezekana ulishatimia kusema haujatuma ni kutaka kuonesha kua ilikua unabii wa kujikinai (uongo)
Soma kumb 18:21-22
 
Military operation in Ukraine
12 Dec, 08:40
Russian forces occupy several high-rise buildings in Donbass region's Kurakhovo — official
"There is fighting near the town hall building but Ukrainian forces still control it," the official said
MELITOPOL, December 12. /TASS/. Russian troops have improved their frontline positions in the town of Kurakhovo in the Donetsk People’s Republic (DPR) as they occupied several high-rise buildings during the fighting there, Chairman of the Civic Chamber Commission on Sovereignty, Patriotic Projects, and Support of Veterans Vladimir Rogov told TASS.

"Russian troops have improved their positions and advanced in Kurakhovo as they occupied several high-rise buildings there. There is fighting near the town hall building but Ukrainian forces still control it," the official
 
Acha tuendelee na igizo lao!Si unajua linakaribia mwisho!

Russian forces continue to make tactical gains south of Pokrovsk as they attack into Ukrainian weak points and attempt to conduct a turning maneuver to directly assault Pokrovsk from the south.

December 11, 2024, 5:30pm ET


 
Tunaendelea na igizo letu!

US intelligence had warned that Russia may fire a second "Oreshnik" ballistic missile at Ukraine in the near future, likely in a continued effort to dissuade the West from providing further military assistance to Ukraine.

December 11, 2024, 5:30pm ET


 
Mwisho wa Hili igizo ni nini? Maana naona no kama Vile Mambo ya missile kuongea zenyewe yameishia hewani ghafla sana...

Syria ndio ilikua habari sasa inapoa
 
Mwisho wa Hili igizo ni nini?
Ni wote kupata wanachokitaka (win win situation).
Ukweli vita vyote vimejikita zaidi katika kuboresha uchumi.

Huko mashariki ya Ukraine kuna hazina kubwa sana ya rasilimali ambayo iligunduliwa miaka ya hivi karibuni. Hiki ndiyo kiini cha mgogoro huu coz West walikuwa wanaitaka na Urusi naye alikuwa anaitaka.

Tukumbuke uchumi wa Ulaya hasa magharibi ulitegemea zaidi nishati kutoka Urusi kwa bei rahisi.

Mara baada ya ugunduzi huu huko mashariki ya Ukraine, Ulaya magharibi waliamini wataachana na Urusi kwenye hii sekta ya nishati.

Urusi alijua uchumi unaenda kuanguka, katika kulinda soko akaamua kukamata maeneo yote yenye rasilimali hizi ambayo yako huko Mashariki mwa Ukraine.

Kama unafuatilia utagundua wamagharibi huko mashariki waliwekeza kwenye ulinzi wa kutisha, usione mpaka leo Urusi anapata tabu kuyakamata haya maeneo.

Mashariki ya kati kunajulikana kwa rasilimali zake za mafuta plus ilivyokaa kimkakati kisiasa.

Haya mataifa siku zote hutaka kumiliki nishati coz wanaamini ukimiliki nishati umekamata uchumi.Hivyo
Urusi kuwepo hapo ilikuwa kikwazo kwa namna moja ama nyingine hasa kimkakati.

Huko nyuma ya pazia wakubwa hawa walikaa coz zimeanza kuvuja na wamekubaliana kila mtu apate maslahi yake!






Nb:Ni mtazamo wangu coz nimejaribu kuunganisha nukta kulingana na mtiririko wa matukio!
 
Walokole mna ujinga mwingi Sana🤔
 

Mikhail Shatsky, a Russian expert involved in modernizing missiles launched against Ukraine, was shot dead near Moscow, a Defense Forces source told the Kyiv Independent on Dec. 12.

His death was likely orchestrated by Ukraine's military intelligence agency (HUR), the source claimed.
 
Kazi ya vijana wakakamavu wa rais zelensinky ni kuendelea kuwachinja tu warusi,hii ni Jana, zaidi ya elf Moja na miatatu walilambishwa mchanga 🥱 🥱 🥱 🥱 View attachment 3175282
Kule Povosk mapigano yapo kwenye viunga vya huo mji. Mji ambao una kiwanda kikubwa cha kuzalisha chuma na makaa ya mawe katika Ulaya Mashariki. Huenda mji huo ukaangukia mikononi mwa Majeshi ya Urusi wiki ijayo. Hii ni kwa mujibu wa Gazeti la Kyiv Independent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…