Hahaha, inafurahisha sana,President Volodymyr Zelensky announced on Jan. 25 that Ukraine is ready to facilitate the transit of gas from Azerbaijan to Europe. Zelensky explained that he discussed this potential arrangement with Azerbaijan's President Ilham Aliyev during their recent meeting.
Zelensky alimua kufanya gamble ya kukata gas kwenda ulaya, kwa aim mbili,
- Kupunguza mapato ya Urusi
- Mrusi akubali ku compromise kwenye hii vita, kwenye negotiation table
- E.U wakikosa gas mutoka kwao, gharama za uzalishaji zitakuwa zitaongezeka na kufanya bei ya bidhaa kuwa kuwa juu kulinganisha na washindani, hasa kutoka Asia, hali ambayo itakayopelekea inflation na uchumi kuyumba
- Mbili E.U watumie Turkish pioeline, ambayo Ukraine itakosa transit fee.