Eu si wana block yao .. na pesa yao ilikuwaje wakawa wategemezi kiais hicho kwa usa mpaka wanaendeshwa hivyo⚡Olaf Scholz to Bloomberg:
“It will not be possible to reach a solution at the expense of Ukrainians.”
“All those who want Europe to be part of peace must discuss this and involve European leaders in the decision-making process.”
“Europe spends more on Ukraine than Washington, everyone should take us into account.”
“The EU is strong enough to counter any US tariff threat.”
Eu si wana block yao .. na pesa yao ilikuwaje wakawa wategemezi kiais hicho kwa usa mpaka wanaendeshwa hivyoKwa kifupi ni kwamba EU wamechanganyikiwa.
Lakini kiuhalisia hii ndo New World Order in process.
Sasa Macron kaamua kujipa jukumu la kuongoza kikao cha dharura kinofanyika kesho jumatatu kama kiongozi wa muda au twasema “de facto leader”.
Tusubiri matokeo ya kikao hicho jijini Paris.
Ila bara la Ulaya limetikiswa kwa sasa.
Hawana hela yote wamewalipa wenye viwanda vya silaha.Eu si wana block yao .. na pesa yao ilikuwaje wakawa wategemezi kiais hicho kwa usa mpaka wanaendeshwa hivyo
I don't think so, there is a clear sense of reality that rules-based order is not sustainable.Why do I get the impression that these guys are simply politicking having already decided everything they actually want?
Naona bado unaota bado upo kwenye porojoUkrainian forces have liberated Pishchane in Donetsk Oblast following successful counterattacks in the Pokrovsk sector, Hortytsia Group spokesperson Viktor Tregubov announced on Feb. 16.
Anayeota ni yule aliyetangaza operation maalum ya saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo 🏃🏃Naona bado unaota bado upo kwenye porojo
Come on,bring it on son! 🤣🤣The United Kingdom is “ready and willing” to deploy its troops to Ukraine if necessary as part of security guarantees.-keir stamer
Kaangalie tena ground, Russia ameshachukua tena, hii ni ya last week, uko outdatedThe Ukrainian Armed Forces have liberated the village of Pishchane, located about 5 kilometers south of Pokrovsk in the Donetsk region.
This was achieved through a series of successful counterattacks in the Pokrovsk sector, during which Russian forces were also pushed back from other nearby settlements.
Viktor Tregubov, the spokesman for the Khortytsia operational and strategic group, noted that a turning point has occurred on this front, and Russian troops have suffered significant losses.
The assault on Pishchane lasted from February 2 to February 6. During the operation, more than 80 Russian occupiers from the 74th Motor Rifle Brigade of the Russian Armed Forces were eliminated. Ukrainian forces also suffered casualties, but they were significantly fewer than those of the enemy.
The success was made possible by the effective coordination between Ukrainian strike drone units and assault groups. This achievement marks a shift in the situation in the Pokrovsk sector in favor of UkrainianView attachment 3237959 forces.
Na yeye asipowelekea LNG ambayo bado ni Expensive watakufa,⚡REPORTER: "The European Union is talking about banning food imports from the U.S."
TRUMP: "I don't mind, let them do it...We're having reciprocal tariffs. Whatever they charge, we charge. It's very simple."
Utoto Raha sana unaongea chochote na unasamehewaKuna namna nyingine West wanataka ku deal na Russia. Kumaliza vita na amani iwepo halafu kumuaminisha Putin kuwa mambo yamekaa sawa ikiwa ni pamoja na kutembeleana. Baadae tutasikia Putin anaumwa na kuanza kuipambania Afya yake kwa muda tu na itafikia kipindi hataweza kumudu shughuli za kuendesha serikali, kazi zitafanywa na waziri mkuu. Baadae Taifa litatangaziwa kuwa jamaa Mwendo kaumaliza. Russia 🇷🇺 itaingozwa na mtawala mwingine atakayekuwa na msimamo wa wastani.
WAYAHUDI NDIO WANAOIONGOZA MAREKANI NA MYAHUDI HAJAWAHI KUSHINDWA.