Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Estonia pana vikosi na mitambo ya NATO. Ndo maana huongea ongea sana.Eti Estonia. Yaani Kuna vinchi vingine ni vya ovyoo!
Usitujazie server Kwa kurudia rudia postKamata mwizi 🤩 🤩 😍 🤩 😍
![]()
US requests European countries to draft proposals outlining post-war security assurances for Ukraine, FT reports
The U.S. has asked European countries to outline their potential security and peacekeeping contributions to Ukraine as part of any future peace negotiations with Russia, the Financial Times reported on Feb. 15, citing undisclosed sources.kyivindependent.com
Sidhani kama hii ni haki hata kidogo. Sisemi Zelensky kualikwa, bali wajumbe wa Ukreni ndio walipaswa kuwepo.Viongozi wa urusi wameingia Riyadh kukutana na Marekani Kwa mazungumzo ya kimaliza vita Ukraine,zelensky hajaalikwa🤣🤣🤣
Sasa wewe ndio unataka kutuambia nini, kama wanauwezo vita iendelee, fullstop. Lakini kumbuka warusi na waukrain ni jamii moja sema wameingiliwa na wajinga wa west. Wanainchi wa kawaida wanajua wanateseka bure kwa faida ya marekani na dada zakeBibie Enzo, Trump kweli angekuwa na Nia ya kweli kumsaidia Putin angeshamwondolea vikwazo vyote na kuzuia mtiririko wote wa silaha kutoka Washington kuelekea Kyiv.,
Au hauna habari kwamba silaha za marekani bado zinaendelea kumiminika Ukraine??
Unadhani trump Hana uwezo wa kuzizuia silaha za marekani zisiendelee kumiminika Ukraine?
Una habari kwamba Putin alimwomba Trump azuie kwanza usafirishaji wa silaha kuelekea Kyiv Jana, lakini aligomewa?!
Unadhani trump Hana uwezo wa kuiondolea vikwazo vikali urusi!? Anasubir nini?
Unadhani kwa nini trump hajapiga marufuku Ukraine kutumia silaha za marekani kushambulia Moscow?
Akili kumkichwa dada yangu 🏃🏃🏃
Hivi unajua hata unachoongea?Lakini mwaka huo 2022 Ukrain asilimia kubwa ilitwaliwa mpaka na mji wao mkuu ulikaliwa viongozi akiwemo na zele walikua katika mpango maana yake kama wangekubali kusinge kua na haja ya mazungumzo Kwa kua Kyiv angekuwepo pro Russia
Maamuzi waliyochuku hao nchi ndogo kupigana na dude
naweza kusema uamizi wao umewainua kama wameweza kukomboa miji iliyo chukuliwa na mji wao wa serikali kuna kila sababu ya kuwapongeza mi niseme Russia kashindwa malengo
Kwani kuna kikwazo gani yawajaweka? Kenge sana hawa🚨🇺🇸 JD VANCE WARNS PUTIN: ‘SANCTIONS OR MILITARY ACTION’ IF UKRAINE WAR CONTINUES
@JDVance issued a stark warning to Putin, stating that the U.S. will escalate economic sanctions and potentially deploy military force if Russia refuses to negotiate an end to the Ukraine war.
VP Vance:
“There are economic tools of leverage, there are of course military tools of leverage,”
Vance made it clear that all options, including troop deployment, are on the table if Moscow doesn’t act in good faith.
With the war nearing three years, Washington appears ready to tighten the screws on Putin.
Source: NY Post