LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Keep on considering wakati vita vinamalizwa Leo huko Riyadh🤣🤣🇷🇺
WP: Europe considers sending up to 30,000 troops to Ukraine as a deterrent force.

The deterrent force would consist of several brigades with a total strength of 25,000 to 30,000 troops. France’s contribution could be around 10,000 soldiers.

European troops would not be stationed along the front line but would be “ready to demonstrate strength” if Russia launches another offensive. If necessary, these units could receive reinforcements and strengthen defenses.
P o
 
Mgogoro unaendeleaje?
Mpango wa mgogoro uko hivi Mjomba🤣🤣🤣🇷🇺🇷🇺

20250217_142718.png
 
Watazungumziaje kumaliza vita bila kumshirikisha Zelenskyy?

That’s some madness…..but what do I know? Maybe there’s some method to the madness.

We shall see.
Kuna njia nyingi za kumaliza vita na kupata ushindi. Nadhani west wanataka kumvuta Putin wampe ugonjwa . Ipo siku tutatangaziwa kuwa Putin ni mgonjwa mahututi. Ni suala la muda tu.
 
WP: Europe considers sending up to 30,000 troops to Ukraine as a deterrent force.

The deterrent force would consist of several brigades with a total strength of 25,000 to 30,000 troops. France’s contribution could be around 10,000 soldiers.

European troops would not be stationed along the front line but would be “ready to demonstrate strength” if Russia launches another offensive. If necessary, these units could receive reinforcements and strengthen defenses.
Hii ni scum, ni sawa na askari wa UN Congo, kwamba watakuwa Ukraine ila sio uwanja wa mapambano, wako kama show off, wanaenda kufanya nini zaidi ya kuchukua rasilimali?!
Duniani hakuna free ride
 
Kuna njia nyingi za kumaliza vita na kupata ushindi. Nadhani west wanataka kumvuta Putin wampe ugonjwa . Ipo siku tutatangaziwa kuwa Putin ni mgonjwa mahututi. Ni suala la muda tu.
Mtu wa zaidi ya umri wa miaka 70 akiugua si jambo la ajabu.

Binadamu yeyote yule akiugua na kuwa mahututi si jambo la ajabu.

Je, ikitokea Trump ndo anaugua na kuwa mahututi kabla ya Putin, utasemaje hapo?
 
Mkutano umechukua saa nne na sasa ni lunch time.

Mmoja wa wajumbe upande wa Russia amesema ni mapema mno kuzungumzia kukutana kwa maraisi Donald Trump na Vladimir Putin.

Sehemu hii ya kwanza au “introduction” ni kuandaa mazungumzo yenyewe rasmi ambayo kila upande umebeba makabrasha yenye ajenda zote.

Mjumbe huyo kasema raisi Putin ndie atakaetoa “go-ahead” ya kusukuma ajenda za pande zote mbili.

Wakati huohuo msemaji wa Kremlin bwana Peskov, amesisitiza kwamba Ukraine ina haki zote za kujiunga na EU lakini sio NATO.
 
🇫🇷 France’s Foreign Minister Barrot says the issue of sending Western troops to Ukraine will be considered only after a peace agreement is reached. He also confirmed that the EU is preparing its 16th package of sanctions targeting Russia’s energy sector.
 
US and Russia 'agree to appoint teams to work on path to end war'​

The State Department says US secretary of state Marco Rubio agreed with Russian officials to establish a "consultation mechanism to address irritants to the US-Russia relationship".

Tuesday 18 February 2025 12:52, UK

Mtu wa zaidi ya umri wa miaka 70 akiugua si jambo la ajabu.

Binadamu yeyote yule akiugua na kuwa mahututi si jambo la ajabu.

Je, ikitokea Trump ndo anaugua na kuwa mahututi kabla ya Putin, utasemaje hapo?
Putin ni kikwazo kikubwa sana kwa ustawi wa NATO na influence ya Marekani Duniani. Hivyo akiondoka itakuwa ni faida kubwa kwao. Ila uwepo wa Trump hauna tishio lolote kwa ustawi wa Russia 🇷🇺.

Unapojibu usiongozwe na mihemko ya kiimani na itikadi maana naujua upande wako na huwa unajibu kwa hasira
 
🇫🇷 France’s Foreign Minister Barrot says the issue of sending Western troops to Ukraine will be considered only after a peace agreement is reached. He also confirmed that the EU is preparing its 16th package of sanctions targeting Russia’s energy sector.
Do you send troops during peace time,or war time dude!
 
Sasa tuangalie yepi yamezungumzwa kwa saa nne.

1. Russia na Marekani kuzifufua njia za mawasiliano ya kidiplomasia ambazo zilikuwa zimefungwa.

2. Kurudisha mawasiliano ya mashirikiano kwa kurudisha shughuli za kidiplomasia kati ya nchi hizo. Ikumbukwe kwamba nchi hizi mbili zlitimuliana maofisa wa kibalozi wakiwemo majasusi wa pande zote mbili wakati wa utawala wa Joe Biden.

3. Makubaliano kwamba nchi hizi mbili sasa zitateua maofisa waandamizi ambao watafanya mazungumzo rasmi ya kumaliza mgogoro wa Ukraine na kuhakikisha suluhisho litalotokea litaridhisha pande zote mbili..

4. Nchi hizi mbili kuanzisha tena ushirikiano wa kibiashara na wa kuzingatia jiografia ya eneo (geopolitical interest), historia yake na pia fursa za uwekezaji. Hapa yawezekana Russia amaanisha kurudishiwa "Market Share" yake ya biashara ya mafuta na gesi barani Ulaya na pia bomba la gesi la Noird Streem liliharibiwa na watu wasojulikana.

Pia Russia itasisistiza kuwa majimbo matano likiwemo jimbo la Crimea yote ni yake na hayatarudi.

Kwa kuwa raisi Trump ni "transactional president" yaani mtu wa biashara hii ajenda ataipa uzito wake.

Kumalizia hayo ya hapo juu ni kwamba nchi hizi mbili zaongelea kuondoa vishawasha (irritants) vinoharibu mahusiano yao ya miaka nenda rudi.

Hiyo ndo khasa sehemu hii ya kwanza imehusu mambo hayo.
 
Sidhani kama hii ni haki hata kidogo. Sisemi Zelensky kualikwa, bali wajumbe wa Ukreni ndio walipaswa kuwepo.

Bila shaka mkutano huo ni batili. Marekani is such a bully!

The Berlin Conference of 1884-1885: Scramble for Africa

The Riyadh Conference of 2025: Scramble for Ukrainian resources
Mambo hua yanazunguka,Kuna wakati wa west walikua wanajidadi kuzungumzia amani ya Ukraine bila Urusi kuwepo.
Sasa ni zamu ya mazungumzo ya amani ya Ukraine bila Ukraine kuwepo😄😄😄😃😃😃
 
Watazungumziaje kumaliza vita bila kumshirikisha Zelenskyy?

That’s some madness…..but what do I know? Maybe there’s some method to the madness.

We shall see.
Hapo ndipo wanapodhihirisha aliyekuwa anpigana vita ni nani. hivyo huyo mnaetaka awe kwenye mazungumzo alikuwa anatumika tu. Tulikuwa tukisema hii vita ni mmarekani anapigana kwa kuwatoa kafara ukraine mlikuwa hamuelewi. sasa nadhani mtaelewa.
 
Watazungumziaje kumaliza vita bila kumshirikisha Zelenskyy?

That’s some madness…..but what do I know? Maybe there’s some method to the madness.

We shall see.
Nae zelensky atafanya Nini bila USA?
Hata Leo Yuko hai ni Kwa sababu ya USA.
Vita imechukua miaka mitatu sababu ya USA,bila USA vita ingeisha mapema mno.
Zelensky akigoma kuyatambua mazungumzo, vipi USA ikisema inasitisha misaada yote ya fedha na ya kivita,wataalamu wa kijeshi na washaurii kwa Ukraine na kusitisha Kila aina usaidizi,je Ukraine itatoboa?
 
Sergei Lavrov amaliza mkutano wake na waandishi wa habari mjini Riyadh.

Asema ujumbe wa Marekani umeambiwa kuwa Kupanuka kwa NATO nchini Ukraine ni tishio la moja kwa moja kwa Russia.

Hapo kabla waziri wa mambo ya nje wa Marekani bwana Marco Rubio alikanusha kuwa EU imetupwa nje ya basi na kwamba huko mbele katika hatua zingine za mazungumzo EU itahusishwa.

Pia Rubio akasema kuwa Russia yataka vikwazo vyote vya kiuchumi vilivyowekwa na EU viondolewe.
 
Back
Top Bottom