LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
⚡Europe Divided Over Sending Troops to Ukraine.

At a Paris meeting, European leaders debated deploying troops to Ukraine amid Trump’s peace talks with Russia.

🇫🇷 France: Macron proposed a “reassurance force” behind a future ceasefire line, avoiding direct frontline engagement.

🇬🇧 UK: PM Starmer declared Britain is “ready and willing” to send troops if needed.

🇵🇱 Poland: PM Tusk ruled out sending troops but pledged continued logistical and military aid.

🇪🇸 Spain: FM Albares rejected the idea, calling peace “far away” due to Putin.
 
Nakazia hapo kwa mzee Lavrov kuhusu NATO kupeleka majeshi Ukraine.

Lavrov akiongea na waandishi wa habari mjini Riyadh baada ya sehemu ya kwanza ya mazungumzo kumalizika, aliulizwa kuhusu NATO kupeleka majeshi yake nchini Ukraine.

Akiendelea kujibu suali Lavrov asema " tumeona tokea mwanzo raisi Trump akiwa kiongozi wa kwanza wa nchi za magharibi akisema kwamba kuiingiza Ukraine kwenye NATO ndio moja ya sababu kuu ya yanotokea leo na moja ya makosa makubwa ya Joe Biden. kama Trump angekuwa raisi mwaka 2022 basi kusingetokea haya ya leo.

Raisi Putin amesisitiza zaidi ya mara moja kwamba kupanuka kwa NATO na kuiingiza Ukraine NATO ni tishio la moja kwa moja kwa Russia na uhuru wake.

Na tumesema leo kwamba kuwepo kwa majeshi yoyote Ukraine kutoka nchi za NATO iwe ni kwa bendera ya NATO au bendera ya EU au bendera yoyote ile hakutabadilisha chochote.

Na bila shaka haikubaliki."-
Mwisho wa kunukuu.

Hii si ishara nzuri kwa Zelensky na EU.
 
Russian forces are suffering heavier losses near Pokrovsk than the Soviet Union did during its entire war in Afghanistan.
 
Russian forces are suffering heavier losses near Pokrovsk than the Soviet Union did during its entire war in Afghanistan.
 
U.S. Secretary of State Marco Rubio stated that all sides involved in negotiations to end the war between Ukraine and Russia will have to agree to the terms of any settlement and that "there has to be concessions made by all sides."
 

Russia won't accept Nato troops in Ukraine as part of any peace deal, says Lavrov​



Tuesday 18 February 2025 16:34, UK

 
⚡Russia and the United States are proposing a three-stage peace plan to end the war in Ukraine:

1- Ceasefire
2- Elections in Ukraine
3- Signing a final agreement
Hapo kwenye election in Ukraine 🤭🤭🤭pana siri kubwa sana ....Russia kashinda vita tayari kama uchaguzi ukifanyika Ukraine ndiyo mwisho wa WEST kutumikisha Ukraine kama msukule wao ...waukrain asilimia zaidi ya 70 wametambua ushenzi wa NATO kuwatumia wao kama chambo.
 
kwahiyo ombi la Zele la kupeleka askari kama sehemu ya guarantee ya peace agreement katoswa
 
Kinachonishangaza sana ni jinsi EU na Ukraine walivyokuwa na matambo hapo nyuma na walikataa kabisa suluhu na Russia wakipiga vijembe vingi kwenye media na kupeleka misaada kama yote

All of a sudden mpira umegeuka wametupwa nje na sasa wanaomba wahusishwe kwenye ile negotiation waliyoikataa kwa kejeli

Shikamoo Trump.
 
Ukiona mbwa anabweka sana ujue yupo kwao au yupo na bwana wake.... Sasa pale anapogundua bwana wake kakaa na mabwana wenzake lazima awe mpole
 
🇪🇺💰 The EU is preparing a new military aid package for Ukraine worth 6 billion euros, Politico reports.

📌 According to the publication, the package will include a wide range of weapons – from artillery shells to air defense systems.

📌The new assistance is expected to be announced on the eve of the third anniversary of Russia's full-scale invasion.

📌European diplomatic sources note that 6 billion euros is only an initial amount that could potentially grow to 10 billion euros or even more.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…