Labda wawe wamepanga kugawana ukrain yote ndiyo wagawame siyo maeneo ambayo mrussi kachukua⚡As part of a peace deal, Russia may grant U.S. companies rights to mineral deposits in occupied Ukrainian territories.
Hii aione Proved na genge lakeNATO wameishiwa silaha 🤣🤣🇷🇺🇷🇺
View: https://x.com/NOELreports/status/1892578958547263943?t=XriNlDb9IN8akhYqG6SW0g&s=19
Kuna vijimtu humu vilikua vinajitia vijuaji mno Kila tukiviambia kua Urusi inapigana na all collective west vikawa vinakataa eti Ukraine peke yake inaitoa jasho urusi.mavi.
Putin ni kichwa ndugu yangu,utakuja kuniqmbia,hakuna kitakachoharibika.Naona mtuhani umetoka kwa zelensik hadi kwa Putin sasa,hatima ya BRICS na Iran ipo mikononi mwa Putin.
Akiamua kuwaumini hao makahaba USA atakuwa ameturudisha nyuma hatua 1000.
Ni wakati wa kufukua makaburi Sasa,Una endeleaje uko ulipo
🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣😄😄😃😀😁😆😅😂Kipanya kishaanza kuadimika humu, itakuwa anajiandaa kuhamia Israel kwa Netapusi!
Nadhani hii niliiandika asubuhi, Ukraine hana bargaining chip, na Trump amewapa Ulaya wiki tatu kumlazimisha Zelensky akubali yaishe.
Kasanda 🤣🤣📌Ukrainian Security Service (SBU) drones successfully halted an oil pumping station in Krasnodar Krai in Russia
📌On February 20, the drones hit a power substation that supplied electricity to the pump, causing the Novovelichkovskaya oil pumping station to be blacked out.
📌The station is a key node in Russia's oil transport system. It supplies the Afipka and Ilsky oil refineries.
Yes,Rais wa Poland ameungana na Trump,mda SI mrefu Poland itaivamia Ukraine mpakani na kuchukuwa jimbo lake.Nadhani hii niliiandika asubuhi, Ukraine hana bargaining chip, na Trump amewapa Ulaya wiki tatu kumlazimisha Zelensky akubali yaishe.
Wakubwa wameamua waigawane vipande vipande.
Ulaya itawauma maana watakuwa wamekosa kitu na wataendelea kuwa watumwa wa U.S