James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,291
Aisee huyu Mzee hana mbambamba Zele boy atamuita Biden Sasa kwamba Mzee ile ela ulituma kwa namba gani?⚡Trump:
Ukraine will have to pay, or find out where the money went
Aisee huyu Mzee hana mbambamba Zele boy atamuita Biden Sasa kwamba Mzee ile ela ulituma kwa namba gani?⚡Trump:
Ukraine will have to pay, or find out where the money went
Yaani tazama hiyo statement ilivyokaa kimchongo. Hahaaa⚡Poland will not send its troops to Ukraine but will support countries that do, says Polish Prime Minister.
"A long and intense day with the senior leadership of Ukraine. Extensive and positive discussions with President Zelensky, the embattled and courageous leader of a nation at war and his talented national security team," — Keith KelloggNaona mzee sasa anawapiga mkwara U.K na France maana wanajifanya wanataka kutanua misuli.
France naona karudi nyuma, kuwa sio kwamba wanapeleka askari kwenda frontlune, ila ni baada ya vita kyisha ka.a seheme ya walinda amani
Na mbwa ameshatafutiwa jina baya, aidha atie wito makubaliano ya 500 billion U.S ya rasilimali au apate ajali
Ukraine wants to maximize profits from rare earth minerals in deal with USNaona mzee sasa anawapiga mkwara U.K na France maana wanajifanya wanataka kutanua misuli.
France naona karudi nyuma, kuwa sio kwamba wanapeleka askari kwenda frontlune, ila ni baada ya vita kyisha ka.a seheme ya walinda amani
Na mbwa ameshatafutiwa jina baya, aidha atie wito makubaliano ya 500 billion U.S ya rasilimali au apate ajali
Kuna mtu anatunga hizi sentensi nzuri!"A long and intense day with the senior leadership of Ukraine. Extensive and positive discussions with President Zelensky, the embattled and courageous leader of a nation at war and his talented national security team," — Keith Kellogg
Huyo ni mshauri, ila mwenye maamuzi ameshaamua, kwenye hiyo statement haijaonyesha muendelezo wa U.S kutoa support"A long and intense day with the senior leadership of Ukraine. Extensive and positive discussions with President Zelensky, the embattled and courageous leader of a nation at war and his talented national security team," — Keith Kellogg
Sijajua kama haulewi au lah,Ukraine wants to maximize profits from rare earth minerals in deal with US
▪️In addition to previous demands for security guarantees, Ukraine proposes that the agreement with the US on the use of natural resources include conditions for sharing profits from mineral exploitation, as well as securing foreign investment, said Mykhailo Podoljak, an advisor to Zelensky's chief of staff.
www.buymeacoffee.com