Hivi huyu trump anaishi ndani ya sera za mambo ya nje za marekani au anaendesha nchi kivyake vyake kama ligi ya mpira wa miguu ya tanzania?⚡Trump:
The European Union was formed in order to screw the United States, that's the purpose of it.
They've done a good job of it. But now I'm president.
Fafanua,au toa maelezo zaidindani ya wiki mbili hizi, baadhi ya Pro Ukraine na Pro Russia kwa pamoja wamedandia gari wasiojua muelekeo wake.
Hii Ukraine imekuwa shamba la Bibi kama Congo DRWatu wanataka mali!
France joins US in seeking access to Ukraine's minerals
Like the US, France is also seeking access to Ukraine's deposits of critical minerals, and negotiations have been under way for months, France's defence minister says.
Thursday 27 February 2025 11:40, UK
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Kilichompeleka Macron na Starmer, ni kutaka U.S awape guarantee askari wa U.K na France kuwa watapewa back up na U.S wakiwa Ukraine, ila Trump kasema no, ishu inaonekana bila support wa U.S sidhani kama Europe watapeleka askari.Kujitegemea muhimu!
Europe should provide security guarantees for Ukraine, Trump says ahead of Starmer talks
Europe should provide security guarantees for Ukraine, Trump says ahead of Starmer talks - follow live
The war in Ukraine will be a focal point of the meeting between the US president and UK prime minister in Washington later.www.bbc.com
Tumia jicho la tatu: Wameenda kugawana madini adimu so wanamwambia mzee mbona umechukua peke yako?? Tunaomba utupe na sisi kidogo!Kilichompeleka Macron na Starmer
Naskia warusi wameamua kumkimbiza mtoto Kutoka nyuma na kutoka mbeleHuku kursk naona shughuri inaenda kuisha wiki ijayo kwa kama hakutakuwa na mabadiliko.
Maana Russia badala ya kupambana kupambana uso kwa uso aliamua kutokea kwa nyuma na kudhibiti zile za supply road hivyo kuwa ngumu kwa Ukraine kutoa back-up waliopo mbele.
Ishu ya Peace agreement ina changamoto moja, ya askari almost lami nane (800,000), baada ya cease fire wataenda wapi, maana terms moja wapo Urusi aliyoitoa ni ku disarm Ukraine Army, Europe na west hawezi kukubali askari wenye uzoefu wa battle kua chini ya Urusi, na Urusi pia hawezi kukubali wawe chini ya Europe
ndani ya wiki mbili hizi, baadhi ya Pro Ukraine na Pro Russia kwa pamoja wamedandia gari wasiojua muelekeo wake.
Kumbe ndo maana Zele kaomba amfuate Trump moja kwa moja White house wakaongee vizuriKilichompeleka Macron na Starmer, ni kutaka U.S awape guarantee askari wa U.K na France kuwa watapewa back up na U.S wakiwa Ukraine, ila Trump kasema no, ishu inaonekana bila support wa U.S sidhani kama Europe watapeleka askari.
Kingine Zelensky anataka kwanza wapelekwe askari wa Ulaya ndio kuwepo na cease fire na peace agreement, Ulaya nao wanasrma kuleleka askari ni hadi vita itakapoisha, hii maana maana yake Zelensky guarantee anayoitafuta ni hatma yake baaada ya vita asije akafunguliwa kesi na supreme pamoja na constitution court ambayo Judge mmoja yuko mahubusu sababu ya kutofautiana na Zele na mwingine amekimbia nchi.
Trump kasema No kwasababu Putin kasema No kupeleka vikosi vya NATO Ukraine.Kilichompeleka Macron na Starmer, ni kutaka U.S awape guarantee askari wa U.K na France kuwa watapewa back up na U.S wakiwa Ukraine, ila Trump kasema no, ishu inaonekana bila support wa U.S sidhani kama Europe watapeleka askari.
Kingine Zelensky anataka kwanza wapelekwe askari wa Ulaya ndio kuwepo na cease fire na peace agreement, Ulaya nao wanasrma kuleleka askari ni hadi vita itakapoisha, hii maana maana yake Zelensky guarantee anayoitafuta ni hatma yake baaada ya vita asije akafunguliwa kesi na supreme pamoja na constitution court ambayo Judge mmoja yuko mahubusu sababu ya kutofautiana na Zele na mwingine amekimbia nchi.
Na huko Kursk Ukraine IMEANZA kurudisha jeshi nyuma,wameanza kuzidiwa nguvumaana yake hii vita bado tunayo, mwenye nguvu ndiye atakayeibuka kidedea, anayesubiria meza ya mazungumzo ndio imuokoe kazi kwake
Putin📢📢: "I don't want to offend anyone, God forbid, but when I ask: What is Europe lacking today?Ni kweli Russia ina nguvu kubwa mno za kijeshi, lakini nakuhakikishia kuwa Russia haitashinda hii vita mwisho wa siku nyuklia ndo litakuwa jawabu