Huku kursk naona shughuri inaenda kuisha wiki ijayo kwa kama hakutakuwa na mabadiliko.
Maana Russia badala ya kupambana kupambana uso kwa uso aliamua kutokea kwa nyuma na kudhibiti zile za supply road hivyo kuwa ngumu kwa Ukraine kutoa back-up waliopo mbele.
Ishu ya Peace agreement ina changamoto moja, ya askari almost lami nane (800,000), baada ya cease fire wataenda wapi, maana terms moja wapo Urusi aliyoitoa ni ku disarm Ukraine Army, Europe na west hawezi kukubali askari wenye uzoefu wa battle kua chini ya Urusi, na Urusi pia hawezi kukubali wawe chini ya Europe