NATO , EUROPE , BIDEN ADMIN . WATAKUMBUKWA KWA HILI.
So far kuna interview kafanya Tucker Carlson na Jeffrey Sach , Jeffrey Sach anasema hii ilikua mipango ya marekani toka miaka ya tisini kwenda East kupitia Nato mpaka kuwafikia Warusi na lilikua suala la muda tu kubackfire - Na anaamini Trump anaweza weka mambo sawa kama ana nia ya kuweka mambo sawa, ila aliwaonya sana europe kua kumfata usa kwenye jambo hili litawacost hawakusikia, anaenda mbali na kusema yeye binafsi alimpigia kura Biden, ila alivoingia madarakani kwenye foreign policy , akaona dhahiri Biden hajazinduka kwani hizi mbinu haziwezi fanya kazi