Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Hawana pa kutoka Kwa sababu kazingirwa tayari. Chanzo BBCMtu kakimbizwa huko Kursk 🤣🤣🤣🇷🇺🇷🇺
View attachment 3263017
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana pa kutoka Kwa sababu kazingirwa tayari. Chanzo BBCMtu kakimbizwa huko Kursk 🤣🤣🤣🇷🇺🇷🇺
View attachment 3263017
Russia ana huruma sijui kama atawakaanga woteTaarifa zinasema kuna mamia ya mamluki toka nchi za magharibi kati ya hawa wa-Ukraine wanaoshushiwa moto Kursk. Nasubiri kuona reaction ya mataifa hayo baada ya raia wao kuchomwa.
Duuh hadi BBC wamesema, bac hali ni mbaya sanaHsna pa kutoka Kwa sababu kazingirwa tayari. Chanzo BBC
Warusi shikamoo 🙌🏿🙌🏿🙌🏿View attachment 3264199
Zelensky ni jasusi la kremlin, alizuia usafirishaji wa gesi ili iwe fursa kwa warusi kupita kwenye bomba la gesi.
Mimi ni mchambuzi wa vita kutoka micheweni Pemba

Anakula Panadol kama kìchaa.Hii nimeenda sijui k rat yupo kwenye hali gani.
Hii niliisoma mahali nikabaki nacheka.Warussia ni balaa nyingine kabisa.Zelensky ni jasusi la kremlin, alizuia usafirishaji wa gesi ili iwe fursa kwa warusi kupita kwenye bomba la gesi.
Mimi ni mchambuzi wa vita kutoka micheweni Pemba
View: https://x.com/GeromanAT/status/1898135468811993304 WASHAZINGIRWA hukooooo....... HIVI KWANINI HAWAJIFUNZI TU?