LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wataendelea na operesheni mpaka watakapokubaliana kuanza hii ceasefire.
Russian forces continue to make confirmed advances in Kursk Oblast and have likely begun attacking Sudzha.

March 11, 2025, 6:00 pm ET

 
Kama bakhmut tu
 
Hii ishu ya Kursk kama kuna something fishy,
Aidha U.S alijua mapema kuwa Urusi wamedhamiria kurudisha eneo lao kwa gharama yoyote na hakuna namna ya kuzuia, ili kuficha aibu wakapata njia ya kuweka masharti magumu kwenye resource deal akateae alafu wakae pembeni hadi Urusi atakapomaliza operation yake

U.S walijua Ukraine atakataa masharti ya rasilimali, ila atakimbilia Ulaya, sasa wakaamua wamuonyeshe bila wao Ulaya hawana uwezo wa kumsaidia
Tatu ni kuwa labda U.S na Urusi walishakubaliana nyuma ya pazia.
Maana siku mbili tatu hizi ni kama Ulaya wamepiga kimya
 
Tumekusikia mchambuzi wetu kutoka namtumboπŸƒπŸƒ
 
Putin huwa simuelewi, anaweza akakubali hii ceasefire.
Hapa Ukraine kacheza karata muhimu.., Ukraine anajua kabisa urusi hawezi kukubali ceasefire wakati bado ardhi yake inaendelea kukaliwa kimabavu.., urusi akikataa ceasefire Ina maana uhusiano wa Ukraine na USA utazidi kuimarika mara dufu..,hapo tutarajie vikwazo zaidi kuwekwa dhidi ya urusi
 
Tusubiri kwanza dawa iwaingie kisha mambo mengine yataendelea.
 
Kama bakhmut tu
Mikakati ya Urusi akitaka akumalize ni mibaya sana kwa adui. Anaanza kwanza kwa kukata supply route ya mahitaji muhimu ya adui yake. Then, baada ya hapo anakuweka mtu kati. Kwa mfano Wanajeshi wa Ukraine walioko Kursk hawawezi kutoka huko na kurudi Ukraine maana madaraja yote yamebomolewa. Kuna waliotaka kutoroka siku ya jana (Jumanne) kwa kutumia barabara walipofika darajani wakakuta hakuna daraja na wakakabiliana na kichapo.
 
Kwa lugha rahisi ni kwamba wamefanywa kitoweo.Zelensk anashindwa kuelewa kuwa vita ni wanajeshi na sio Silaha.kama hakuna wanajeshi basi Silaha ni kazi bure.wanajeshi waliokufa Kurks wangeweza kukomboa hata mkoa mmoja ndani ya Ukraine
 
Warusi wanazidi kuchinjwa tu πŸ₯± πŸ₯± 😒 πŸ€” 😒 😒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…