Watu waendelee na Kichapo wewe fikiria wametepeta namna hii halafu uwaachie wapumue??? Pelekaaa motoo hakuna Truce hapa...⚡Russian State Duma Deputy Sobolev:
The US will rearm Ukraine in 30 days of ceasefire and start the war anew - Russia will not go for it.
I think that this is completely unacceptable. Some kind of temporary ceasefire. A temporary truce, the president also spoke about this, is unacceptable.
Ukrainian military personnel in Russia’s Kursk region are carrying out their tasks, and the military command is doing everything possible to preserve the lives of Ukrainian soldiers.Mwache huyu jamaa anaweza kujinyonga
Ina maana ndani ya miezi minne wamekufa warusi laki mbili.Warusi wanazidi kuchinjwa tu 🥱 🥱 😢 🤔 😢 😢 View attachment 3267682
Elewa hiyo statement ya "the military command is doing everything possible to preserve the lives of Ukrainian soldiers ". Maana yake wanafanya juhudi za kuwaokoa wasifie huko Kursk.Ukrainian military personnel in Russia’s Kursk region are carrying out their tasks, and the military command is doing everything possible to preserve the lives of Ukrainian soldiers.
Kazi ya jeshi lolote vitani ni kuokoa au kupunguza upotevu wa askari wake.,ndio maana askari wanava armors za kutosha Ili kuokoa uhai wao..,acha kupindisha mambo 🏃🏃Elewa hiyo statement ya "the military command is doing everything possible to preserve the lives of Ukrainian soldiers ". Maana yake wanafanya juhudi za kuwaokoa wasifie huko Kursk.
Kwa hiyo wanakimbia uwanja wa mapambano sio!Kazi ya jeshi lolote vitani ni kuokoa au kupunguza upotevu wa askari wake.,ndio maana askari wanava armors za kutosha Ili kuokoa uhai wao..,acha kupindisha mambo 🏃🏃
Hakuna kuchinja mbuzi wala nini, Zele alipigwa zile za uso pale Oval Office ili kutikiswa na akakunjwa mkono unoomba misaada na akatimuliwa. Ulaya wakamwita na wakampa darasa la michezo ya kidiplomasia na akaelewa kisha akaandika barua ya kuomba radhi na Trump akakubali ndo waona yanoendelea.Hii ceasefire proposal ni kama Ukraine na USA wamechinja mbuzi,kisha baada ya kila Moja kuchukua nyama nzurinzuri na kubakiza sehemu za kichwa,miguu na mautumbo,Sasa wanamwita urusi nae aje kuchukua sehemu ya nyama yake kwenye huyo mbuzi aliyechinjwa.,Sasa urusi anaangaika kuangalia achukue sehemu gani kati ya kichwa, sehemu za miguuni na mautumbo yaliyobakizwa.. kumbuka kwa upande wake Ukraine ameshachukua Cha kwake,ukiwa ni pamoja na
1.kuendelea kupatiwa silaha kutoka USA.
2.msaada wa kiintelijensia pia amerejeshewa.
3.satelite images
Na kwa upande wake USA kajipatia Dili la madini..,
Hapa ukiangalia Ukraine na USA kila Moja kuchukua Cha kwake,Ina maana urusi akikubali au asipokubali ceasefire Haina maana sana. Sanasana asipokubali basi atakuwa anazidi kuudumisha urafik wa Ukraine na USA 🏃🏃
Kwa hiyo unawasifia waliochukua mbuzi 1 kwenye Zizi lenye mbuzi 100 kwasababu tu, wameshamchinja na kugawana nyama!?Hii ceasefire proposal ni kama Ukraine na USA wamechinja mbuzi,kisha baada ya kila Moja kuchukua nyama nzurinzuri na kubakiza sehemu za kichwa,miguu na mautumbo,Sasa wanamwita urusi nae aje kuchukua sehemu ya nyama yake kwenye huyo mbuzi aliyechinjwa.,Sasa urusi anaangaika kuangalia achukue sehemu gani kati ya kichwa, sehemu za miguuni na mautumbo yaliyobakizwa.. kumbuka kwa upande wake Ukraine ameshachukua Cha kwake,ukiwa ni pamoja na
1.kuendelea kupatiwa silaha kutoka USA.
2.msaada wa kiintelijensia pia amerejeshewa.
3.satelite images
Na kwa upande wake USA kajipatia Dili la madini..,
Hapa ukiangalia Ukraine na USA kila Moja kuchukua Cha kwake,Ina maana urusi akikubali au asipokubali ceasefire Haina maana sana. Sanasana asipokubali basi atakuwa anazidi kuudumisha urafik wa Ukraine na USA 🏃🏃
Ukraine ameshapata medali zake muhimu alizokuwa anafukuzia kwa udi na uvumbaRussia wameshasema maelewano yeuote ni katika Terms zao...imeishaaa
Ukraine ameshapata medali zake muhimu alizokuwa anafukuzia kwa udi na uvumbaKwa hiyo unawasifia waliochukua mbuzi 1 kwenye Zizi lenye mbuzi 100 kwasababu tu, wameshamchinja na kugawana nyama!?
Na unamponda alieligawa Zizi katikati nakuchukia nusu ya mbuzi waliomo kwasababu tu hajaanza kuwala nyama!?
Ukraine ameshapata medali zake muhimu alizokuwa anafukuzia kwa udi na uvumbaMuda wowote Kursk............................
Ukraine 'no longer in control of key town in Russia'
A widely-used online Ukrainian battlefield map appeared to show that Ukrainian forces are no longer in control of Sudzha in Russia's Kursk region.
Wednesday 12 March 2025 16:41, UK
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com