Mkulima Jr
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 298
- 396
Medved alishawai kuwa raisi wa RussiaWazungu wa Ulaya lazima wamaindi
Medvedev huwa ana maneno ya shombo sana zee la kuwakera
Halafu kuna yule mwanamama Foreign Ministry spokeperson Maria Zakharova she is very bright ana hoja halafu naye ana maneno ya shombo
Napenda Medvedev ndiye aje kuwa raisi baada ya Putin. Russia itakuwa kwenye mikono salama na Maria aendelee
Medved alishawai kuwa raisi wa Russia
True huyo mwanamama huwa namwelewa sana amenyooka haswaWazungu wa Ulaya lazima wamaindi
Medvedev huwa ana maneno ya shombo sana zee la kuwakera
Halafu kuna yule mwanamama Foreign Ministry spokeperson Maria Zakharova she is very bright ana hoja halafu naye ana maneno ya shombo
Napenda Medvedev ndiye aje kuwa raisi baada ya Putin. Russia itakuwa kwenye mikono salama na Maria aendelee
Wanajitekenya wenyewe na kucheka. Hiyo kitu hawawezi. Ukimwondoa US kwenye NATO then hakuna NATO.European NATO allies and Canada should limit the United States' role in the Alliance’s decision-making processes, as Washington's actions are already harming the bloc.
Stefanie Babst, former head of NATO's strategic planning staff stated this.
"I think the European allies + Canada should suspend the U.S. from NATO's political bodies and decision-making. It's crucial to send a strong signal to Washington -- Europe and Canada will not bend to cleptocratic authoritarians: neither in Moscow nor in Washington. […] I think the European allies should actively prepare for a NATO without [Trump]," Babst said.
kp kipanya44 aisome tena hii.Wanajitekenya wenyewe na kucheka. Hiyo kitu hawawezi. Ukimwondoa US kwenye NATO then hakuna NATO.
Alikuwa raisi wa Russia kuanzia 2008 hadi 2012Medved alishawai kuwa raisi wa Russia
Hawa jamaa Russia.. wako smart sana naona walianza kujijenga kipindi cha Medved wakati putin alikuwa PM ndio maana leo wako pamoja sana Wana chemistry yao kali sanaYeah na katiba yao inaruhusu kipindi Medvedev akiwa raisi Putin alikuwa PM
Wanabwabwaja tu lakini hawana ubavu huoEuropean NATO allies and Canada should limit the United States' role in the Alliance’s decision-making processes, as Washington's actions are already harming the bloc.
Stefanie Babst, former head of NATO's strategic planning staff stated this.
"I think the European allies + Canada should suspend the U.S. from NATO's political bodies and decision-making. It's crucial to send a strong signal to Washington -- Europe and Canada will not bend to cleptocratic authoritarians: neither in Moscow nor in Washington. […] I think the European allies should actively prepare for a NATO without [Trump]," Babst said.
Hapa Urusi wamecheza kete muhimu sana. Maana Ukraine akishambulia tu energy facility za Urusi, Urusi watawaonesha Marekani kuwa Ukraine huwa ndiye anayevunja makubaliano mbalimbali ikiwemo kusitisha mapigano (Ceasefire).Banning attacks on the energy system is a profitable compromise for Russia, as it will protect the Russian energy sector from attacks by Ukraine, which has just increased the range of its Neptune missiles from 200 to 1,000 km, — Politico
Kama kawaida yao Ukraine wameshambulia Kituo cha Kusafirisha Mafuta Ghafi ndani ya Urusi, tena Kituo chenyewe kinamilikiwa kwa ubia na Kampuni ya Marekani. Tayari Ukraine wameingia katika 18 za Trump. Yeye anawasaidia wasishambuliwe na Urusi wao wanamsubotage.Hapa Urusi wamecheza kete muhimu sana. Maana Ukraine akishambulia tu energy facility za Urusi, Urusi watawaonesha Marekani kuwa Ukraine huwa ndiye anayevunja makubaliano mbalimbali ikiwemo kusitisha mapigano (Ceasefire).
Hapa atatandikwa vizuri!!! Na hawa ni EU wanaomtia wazimu Ukraine.Kama kawaida yao Ukraine wameshambulia Kituo cha Kusafirisha Mafuta Ghafi ndani ya Urusi, tena Kituo chenyewe kinamilikiwa kwa ubia na Kampuni ya Marekani. Tayari Ukraine wameingia katika 18 za Trump. Yeye anawasaidia wasishambuliwe na Urusi wao wanamsubotage.