Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,693
- 3,597
Halafu Trump hatamsaidia ili atiwe adabu vizuri.Hapa atatandikwa vizuri!!! Na hawa ni EU wanaomtia wazimu Ukraine.
Halafu Trump hatamsaidia ili atiwe adabu vizuri.Hapa atatandikwa vizuri!!! Na hawa ni EU wanaomtia wazimu Ukraine.
Trump 'more measured' in Zelenskyy call descriptionI remember, at the very beginning of this conflict, Putin telling them that "let's see who'll blink first".
There are some idiots in Europe who think Trump can treat Putin the same way he treated Zelensky in the oval office.
Clearly you don't know what you're talking about.Trump has been easily fooled by Putin.
Waukraine 175Ukraine has brought home 175 Ukrainian soldiers in a one-for-one prisoner exchange with Russia, President Volodymyr Zelensky announced on March 18.
Additional F-16s arrived in Ukraine, — ZelenskyF-15, imeangushwa kwenye dog Fight na SU-35s huko sumy region
Subiri tuone kama kuna fighter nyingine itaenda Sumy kusaidia mashambulizi eneo la karibu na mpaka, hii itakupa picha kujua ni kweli au uongoAdditional F-16s arrived in Ukraine, — Zelensky
"The Russians lied that they shot down an F-16 in the Sumy region — that's not true. But several new F-16s arrivedView attachment 3277011."
Yeah!.... Utawala wa Trump umeidhibiti Ukraine mpaka kuilazimisha ikubali usitishwaji wa vita kwa siku 30, ila kwa Urusi imeshindwa kufanya hilo.Kimsingi hakuna ceasefire, ila ni makubaliano ya kutokushambulia miundombinu ya nishati. Ila kwingine ruksa kurusha missile
Ila hii agreemeny inambana sana Ukraine, maana sharti moja wapi ni west wasibadilishane taarifa za kijasusi za ukraine, na kusitisha msaada wa kijeshi na Urusi na US kuwa na monitoring team bila Ukraine.
Ishu mmoja hawezi kiendelea bila msaada, mwingine anatengenezaa silaa mwenyewe.
Umaskini sio mzuri
Yeah!.... Utawala wa Trump umeidhibiti Ukraine mpaka kuilazimisha ikubali usitishwaji wa vita kwa siku 30, ila kwa Urusi imeshindwa kufanya hilo.
Hakuna cha bure, na hakuna kitu kinaitwa msaada,=================
Trump anataka kuhodhi kila kitu cha Ukraine
Ambalo ni jambo jema kwa nchi iliyoamua kushindwa kujisimamia yenyewe, ikageuka kuwa kichaka kinachotumika kujaribu kuwadhoofisha wengine.Trump anataka kuhodhi kila kitu cha Ukraine
Kosa la Zelensky ni kukataa kusalimu amri alipovamiwa na PutinAmbalo ni jambo jema kwa nchi iliyoamua kushindwa kujisimamia yenyewe, ikageuka kuwa kichaka kinachotumika kujaribu kuwadhoofisha wengine.
Trump anawasaidia NATO na Ukreni angalau kubaki na kipande kidogo cha nchi yao, vinginevyo Urusi anajimegea ardhi yote.
Zelensky alidanganywa, akaingia kwenye mfumo. Sasa ni wakati wa kula jeuri yake. Ukishindwa kujitawala, unatawaliwa. Period!
Ukreni ingeamua kukaa mbali na NATO, yaani kuwa nyutro, haya yote yasingetokea.