Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Neno dikteta siku hizi limekosa maana kabisa, yaani ukiwa kinyume na wamagharibi basi we ni dikteta. Yaani mtu aliyechaguliwa Kwa kishindo na raia wake na kukubalika zaidi lakini utashangaa wamagharibi wanamwita dikteta. Wakati huo huo wanaotawala kimabavu na separists wenye kulinda maslahi ya Magharibi wataitwa wanademokrasia.

Hebu fikiria wamagharibi huiita china bara nchi ya kidikteta lakini huku wakiwaita serikali ya waliojitenga huko Taiwan na waleta chokochoko huko Hong Kong kuwa wanademokrasia.

Nikolas Madro huitwa dictator lakini mpinzani wake aliyeleta uasi ndani ya nchi eti mwanademokrasia.

Urusi Kwa kutetea maslahi yao huko Donbass wanaitwa madikteta lakini Israel Kwa wanayofanya Gaza wao ni wanademokrasia.

Putin aliyechaguliwa na warusi Katika uchaguzi wa hivi karibuni katika kipindi Cha vita anaitwa dictator lakini Zelensky ambaye muda wake kikatiba umeisha na bado kaamua kukalia hicho kiti bila kuitisha uchaguzi eti ni mwanademokrasia.
Serikali ya kifalme ya Saudi Arabia hawaitwi madikteta lakini utasikia Ayatollah wa Iran anaitwa dictator. Yaani ni full fallacies and bullshit
 
Urusi Kwa kutetea maslahi yao huko Donbass wanaitwa madikteta lakini Israel Kwa wanayofanya Gaza wao ni wanademokrasia.
Donbass ni ardhi ya Ukraine, hayo maslahi ya Urusi yanaingiaje hapo ?..


Yaani mtu aliyechaguliwa Kwa kishindo na raia wake na kukubalika zaidi lakini utashangaa wamagharibi wanamwita dikteta. Wakati huo huo wanaotawala kimabavu na separists wenye kulinda maslahi ya Magharibi wataitwa wanademokrasia.
Zelensky alichaguliwa kihalali na raia wake ila dikteta Putin kaivamia nchi yake, kauua maelfu ya raia wake na kumega ardhi yake.
 
Hili jambo mbona tumekuwa tukiwaambia humu mnakuwa wabishi. UKRAINE HAIJAWAHI KUMILIKI SILAHA ZA NYUKLIA
 
➡️US administration no longer sets deadline for end of Russian war against Ukraine

➡️US Secretary of State Rubio declined to guarantee that the war could be ended "in a week or a month"

➡️"Because it's not up to us. It's up to the Russians and the Ukrainians. It's also up to our partners in Europe, who have sanctions that have to be taken into account in any final deal."
 
Nilichopenda Putin wala hasemi sitaki anaweka tu vigezo vigumu katika ceasefire, wao ndio wakatae, sababu amesgajua west sio wa kuwaamini
 
Kikundi Cha askari maalumu wa Ukrainato wamefutiliwa mbali hata walipojaribu kukimbilia msituni,kazi hiyo imefanywa na vijana wa Putin.

29 Mar, 11:57

Russian troops wipe out Ukrainian special units in Guyevo — security forces​

"The enemy expects to hold off the advance of the Russian armed forces as long as possible, hoping to escape through the forest to the Sumy Region," the source said

KURSK, March 29. /TASS/. Russian servicemen wipe out Ukrainian special units in the Guyevo settlement of the Kursk Region to ensure that they don't escape to the Sumy Region, security forces told TASS.
"The fighters continue the liberation of Guyevo, where the Ukrainian special units are being eliminated. The enemy expects to hold off the advance of the Russian armed forces as long as possible, hoping to escape through the forest to the Sumy Region. But our servicemen are aware of the Ukrainian military plans and are taking retaliatory measures," the source said.
 
Nilichopenda Putin wala hasemi sitaki anaweka tu vigezo vigumu katika ceasefire, wao ndio wakatae, sababu amesgajua west sio wa kuwaamini
Trump atachanganyikiww kwa kweli maana alitaka masifa ila nachoona atafika muda bila hata kumaliza hiy vita lazima apate fastration na madini hatayapata
 
Pata shida upate akili!

Russian forces are reportedly employing more advanced long-range drones, complicating Ukrainian air defense operations and allowing more drones to penetrate Ukraine's air defense umbrella.

March 29, 2025

 
Yeyote yule anaepinga kuwa mtumwa wa Marekani, awe mzungu,mchina mrusi au mwafrika akinusurika kuitwa Dikteta basi ataitwa Gaidi. Juzijuzi tu rais Zele wa Ukreine aliitwa Dikteta mbele ya hadhira.
 
Donbass ni ardhi ya Ukraine, hayo maslahi ya Urusi yanaingiaje hapo ?..



Zelensky alichaguliwa kihalali na raia wake ila dikteta Putin kaivamia nchi yake, kauua maelfu ya raia wake na kumega ardhi yake.
Ula kwa mujibu wa katiba yao kwa sasa sio Raisi halali ndio maana yoyote anayejaribu kuhoji, anaishia gerezani na wengine kukimbia nchi
 
Wataongea Kila kitu.Kuna watu humu wengi TU,wengine bado wapo na wengine wameona maji ni marefu kwao wamesepa,baada ya kuwalisha wenzako matango pori.
Hawa tuliwaambia Ukraine haipigani peke yake Bali inasaidiwa na Big Brother ambae ndie anaeipa Ukraine taarifa zote muhimu kijeshi,kivita na kijasusi wapi pa kupiga na wapi Kuna nini,wapi majeshi ya Urusi na vifaa vyao vipo,wapi meli vita za urusi zipobna umbali Gani ili kupiga.
Tuliwaambia Hawa waliojiona wajuaji kuliko mtu yoyote humu kua Ukraine inasaidiwa na nchi zaidi ya 40 ndani yake Kuna NATO,lkn wakaziba masikio.
Lakini sisi we ye Elimu ndogo tulikua tunaona kwa jicho la Tatu kua Ukraine peke yake hawezi kwa Might Russia.
Kuna watu humu walikua wanatoa maelezo meeeeeengi kwa swali Dogo TU.
Sasa Leo hii hata gazeti letu pendwa la New York Times limetanabahisha tulivyokua tuanawaambia wajuaji hao.
Achilia mbali NYY hata Rais wa USA Donald Trump nae amesema kua kama sio USA Ukraine ingeshaanguka siku nyingi.

Dunia Ina mengi ya ajabu mojawapo ni hili.
Jamani eeeh Urusi sio mchezo Sasa hebu oneni aliekua mfadhiri wa vita Leo hii amekua msulihishi wa vita hiyo hiyo.
Urusi sio Zimbabwe,Iraq wala Libya.

30 Mar, 2025

NYT reveals ‘secret history’ of US meddling in Ukraine conflict​

Washington became a “part of the kill chain” by providing invaluable intelligence and strategic support, one official told the paper

The administration of US President Joe Biden was far more deeply involved in backing Ukraine’s fight against Russia than previously acknowledged, a New York Times investigation has claimed, stressing that Washington’s intelligence was indispensable for Kiev's military operations.
The lengthy report released on Saturday offers a deep dive into an “extraordinary partnership of intelligence, strategy, planning and technology” that became Kiev’s “secret weapon” in countering Russia.
While the Pentagon supplied Ukraine with tens of billions of dollars in military aid, it also provided crucial intelligence that enabled Kiev to attack Russian command and control centers and other high-value targets starting in mid-2022, the NYT said.
According to the article, the heart of this partnership lay at the US Army facility in Wiesbaden, Germany, where American and Ukrainian officers set daily targeting priorities which they reportedly referred to as “points of interest,” for fear of appearing too provocative.

American and Ukrainian officers planned major counteroffensives together and launched large long-range high-precision strikes, using Western-supplied weapons on Russia’s Crimea, the NYT also claimed. The strikes using Western-supplied missiles have led to civilian casualties, with one ATACMS attack on a Sevastopol beach in June 2024 killing four and injuring more than 150.
The US has also dispatched dozens of military advisers to Ukraine, some of whom were allowed to travel close to the frontline.
In 2024, the US extended its permissions to allow Ukraine carry out limited long-range strikes using American-supplied weapons into internationally recognized Russian territory – for years considered a “red line.” Washington provided Kiev with the targeting data for the strikes.
One European intelligence official was shocked by the level of US involvement in the conflict, telling the Times, “they are part of the kill chain now.”
The cooperation, however, was at times tenuous due to disagreements over strategy and objectives, especially in the run-up to Ukraine’s botched counteroffensive in the southern sector of the front in the summer of 2023.
American officials reportedly viewed the Ukrainians as too ambitious and dismissive of strategic advice. The Ukrainians accused the Americans of being overly cautious. During the 2023 counteroffensive, the Ukrainian leadership was split between competing objectives – pursuing an assault toward Melitopol, and defending Artemovsk (Bakhmut). This reportedly undermined the unified strategy developed in Wiesbaden.
Russian President Vladimir Putin has said that Ukraine “cannot exist” without outside support. Moscow has repeatedly denounced Western involvement in the conflict, saying it would only prolong the hostilities without changing their outcome.
However, the administration of US President Donald Trump has engaged with Russia with the aim of ending the conflict, an engagement that Moscow has described as productive.
 

Thousands march in Paris against military aid to Ukraine (VIDEOS)​

French President Emmanuel Macron recently announced €2 billion more in arms for Kiev

Many could also be seen waving placards with the motto “Macron, we will not die for Ukraine.”
On Wednesday, Macron announced a new €2 billion ($2.16 billion) military aid package for Ukraine, after weeks of attempting to drum up support for his initiative to send Western troops as peacekeepers to the country. The new arms will include surface-to-air missiles, armored vehicles and drones, the French leader said.

Thousands of protesters could be seen marching through the French capital, chanting slogans such as “Macron, we don’t want your war!” and “Let's quickly leave NATO!” in video captured by RT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…