Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,890
- 26,440
Updates: Russia na Ukraine wakubaliana kusitisha mashambulizi Katika Bahari Nyeusi.
Meli ya Russia ikipita katika mfereji wa Bosphorus nchini Uturuki kuelekea bahari nyeusi ikiongozwa na mitumbwi au tugboats. Picha na Reuters.
Russia na Ukraine wamefikia makubaliano kusitisha mashambulizi Katika Bahari nyeusi na makubaliano hayo ni kama yafuatavyo:
1. Marekani, Ukraine na Russia wamekubaliana kwamba meli zote zipite Katika Bahari hiyo bila kushambuliwa na kusipitishwe meli zenye kubeba silaha.
2. Marekani na Russia wamekubaliana kushirikiana Pamoja kuhakikisha hakuna mashambulizi yatayoelekzwa kwenye vyanzo vya nishati ya umeme.
3. Marekani itaisaidia Russia kuweza kurudisha soko lake la mbolea na mazao ya nafaka Katika soko la Dunia.
4. Marekani pia itaisaidia Russia kuweza kupeleka meli zake Katika bandari yoyote Duniani bila vizuizi na kuondoa vikwazo vote vilivyowekwa dhidi ya meli zake kupita Katika njia rasmi.