Zero 2 Hero
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 649
- 1,461
Wanaogopa meat grinderHivi hao NATO mbona kama wana Mashauri mengi namna ya kuingiza troops Ukraine?
Si waingize tu majeshi kama walivyofanya Iraq, Libya na Afghanistan ?
Wanaogopa meat grinderHivi hao NATO mbona kama wana Mashauri mengi namna ya kuingiza troops Ukraine?
Si waingize tu majeshi kama walivyofanya Iraq, Libya na Afghanistan ?
Huko UK, kuna wimbi la askari hasa wazoefu wanaoomba ku retire, hadi serikali ineamua kubadilisha sera ya malipo ya pension, baada y hili Tangazo la kupelekwa Ukraine kama peace keeping envyoWajenzi wa Mnara wa Babeli wanaendelea kuongea Kila mmoja kwa lugha yake.
Baadhi ya makamanda wa UK wameshindwa kumuelewa PM wa UK kuhusu kupeleka wanajeshi wa UK kwenda kulinda amani Ukraine.
Ama kwa hakika Urusi sio Libya,
Maana sio Kwa wasiwasi huu.
UK military slams Ukraine ‘peacekeeping’ plan as ‘political theater’ – Telegraph
Prime Minister Keir Starmer earlier proposed sending troops to the conflict zone as part of a “coalition of the willing”
UK military officials have dismissed Prime Minister Keir Starmer’s proposal for deploying Western troops to Ukraine as part of a ‘peacekeeping force’ to oversee a potential ceasefire, The Telegraph reported on Sunday. Senior military sources told the outlet that Starmer had “got ahead of himself.”
Starmer announced the initiative earlier this month, aiming to build a “coalition of the willing” to support Ukraine militarily. Last week, he claimed that multiple countries backed the idea of sending in a peacekeeping force of up to 10,000 troops, despite Moscow’s opposition to any Western deployments in the conflict zone.
London hosted planning talks last week with military officials from partner nations. However, military sources dismissed the plans as premature and politically motivated.
“There is no defined military end-state or military-strategic planning assumptions. It’s all political theater,” one senior army official told the news outlet.
“Starmer got ahead of himself with talk of boots on the ground before he knew what he was talking about.”
The discussions have reportedly shifted their focus from boots on the ground to air and naval support. The Telegraph reported that RAF fighter jets could be deployed to patrol Ukrainian airspace, while British Typhoons could provide air cover for ground forces, though the size and role of any ground deployment remain unclear.
“It’s politics. There’s no military sense in it,” another defense source said, noting that neither Russia nor the US support the coalition. He also pointed to a lack of clarity on mission goals.
“What is a 10,000-international force based in the west of the country over 400km from the front line meant to do? It cannot even protect itself,” he argued. “What is the mission? What is its legitimacy? What are the rules of engagement? How is it commanded, supplied and housed? How long is it there for and why? No one knows.”
Further planning talks are expected in London on Monday between British and French defense officials. French President Emmanuel Macron is reportedly considering invoking the UN to authorize a European troop presence in Ukraine. However, Russia has repeatedly rejected the idea of Western peacekeepers in Ukraine, noting that it would require UN Security Council approval, where Moscow holds veto power.
Dah hawataki kustaafu na viungo nusuHuko UK, kuna wimbi la askari hasa wazoefu wanaoomba ku retire, hadi serikali ineamua kubadilisha sera ya malipo ya pension, baada y hili Tangazo la kupelekwa Ukraine kama peace keeping envyo

Ukraine's Special Operations Forces destroyed two Russian Ka-52 and two Mi-8 helicopters by missile strikes in the Russian rear in Belgorod Oblast, the military branch reported on March 24.Kipanya yupo?
Hawa wote watachomwa moto kama walioenda KurskBattles are underway in the Belgorod region. Ukrainian special forces stormed a Russian border outpost near Popovka. Russian troops report continuous assaults in small groups. FPV drones and aviation are engaged.
"Aviation continues to work on the plantings, there are too many Ukrainians," one of them reports.
Kiapo cha utii hata kufa.....Dah sometime ujeshi nao unakuwaga mgumu sana. Yaani unaamuriwa uingie ndani ya mpaka wa Russia na upigane na unakubali.
Mpaka Sasa zaidi ya warusi laki 9 wamechinjwa huko Ukraine.., lakini hakuna namna zaidi ya kuendelea tu kutii amriDah sometime ujeshi nao unakuwaga mgumu sana. Yaani unaamuriwa uingie ndani ya mpaka wa Russia na upigane na unakubali.
Tofauti na wakongoKiapo cha utii hata kufa.....
Nimeona video ya vijana wa Ukraine na mercenaries kutoka US wakijaribu ku-infiltrate mpaka huko Belgorod walichofanyiwa mungu ndo anajua. Ni ajabu kwamba viongozi wa kijeshi wa Ukraine wamekuwa waKiapo cha utii hata kufa.....
Mpaka Sasa zaidi ya warusi laki 9 wamechinjwa huko Ukraine.., lakini hakuna namna zaidi ya kuendelea tu kutii amripole
Pole mkuu Kwa kufiwa na warusi laki 9Mpaka Sasa zaidi ya warusi laki 9 wamechinjwa huko Ukraine.., lakini hakuna namna zaidi ya kuendelea tu kutii amri
Hao ni changamoto....Tofauti na wakongo
Mkuu Askari wangapi WA Ukraine wamekufa??Due to the professional combat work of all components of the Ukrainian Defense Forces, the enemy's total losses in personnel exceeded 900,000 people.
This was reported by the Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Oleksandr Syrskyi.
“Thanks to the professional combat work of all components of the Ukrainian Defense Forces, the enemy's total losses in personnel exceeded 900,000 people. Since the beginning of 2024, in a year and almost three months, the total losses of the Russian occupiers have amounted to more than half a million people (540,790),” said Syrskyi.
kp kipanya44 anasema hawazidi watatu😀😀😛 .Heshima kubwa kwako ndugu kp kipanya44, hakika uwepo wako kwenye huu uzi umeupendezesha na kuufanya uwe ni moja katika nyuzi zenye kufuatiliwa kwa wingi na kwa muda mrefu. Wengi walijitahidi kuja na habari zao, ndugu yetu kp aliwapokea na mwisho aliwasindikiza lakini yeye kp akawa Yupo na hata muda huu kp yupo. Vile vile lazima tukubali uwepo wake umesadia sana kubalance taarifa za vita kutokea upande mwingine wa mapambano.Kwenye mgogoro huu binafsi nimechota taarifa nyingi kutoka kwa kp kuliko media yeyote ile. Mungu akubariki sana kp.Mkuu Askari wangapi WA Ukraine wamekufa??