Russia analenga wanajeshi na miundominu ya kijeshi. Ndio maana unaona vifo vya raia wakawaida ni vichachee wanakua wapo maeneo ya karibu ya targets zao. Kule Gaza watu wanakufa wengi sababu israel wanafagia kila kituMakombora na Mamia ya Drones halafu waliodhurika ni nane(8) tu.
Wamedhurika wengi ila wamekufa 8 ila kikubwa ni kwamba silaha zenye uwezo wa kuua warusi zaidi ya 10000 zimehalibiwa ...katika vita vya tec kubwa.....kuangamiza silaha ndiyo muhimu zaidi kuliko kuua askari kwa sababu vita vya high tec avipigwanwi close combat zaidiMakombora na Mamia ya Drones halafu waliodhurika ni nane(8) tu.
Oooh, sawa kabisa. Kwa hiyo ni kama hii juzi jinsi ghala kubwa la silaha la Urusi lilivyolipuliwaWamedhurika wengi ila wamekufa 8 ila kikubwa ni kwamba silaha zenye uwezo wa kuua warusi zaidi ya 10000 zimehalibiwa ...katika vita vya tec kubwa.....kuangamiza silaha ndiyo muhimu zaidi kuliko kuua askari kwa sababu vita vya high tec avipigwanwi close combat zaidi
WakifufukaSiku Ukrain wakifanya mashambulizi, comments zitakua nyingi sana. Uzi utatembea
Mwisho wa siku apoteae hapo ni Ukraine kwani Russia na Marekani wao wataka warejeshe mahusiano yao ya zamani ili kumweka kati China.‼️After a three-hour meeting, Putin and Trump's envoy Witkoff discussed resuming direct talks with Ukraine. At the same time, Ukraine set clear peace conditions: Crimea and all occupied territories are Ukrainian, no restrictions on its military or defense sector, and NATO membership without any foreign veto.
Ni ngumu sana ndo maana Trump kawambia ukweliKatika mazingira kama haya, adui ataweza kweli kupambana na hawa warusi!
‼️After a three-hour meeting, Putin and Trump's envoy Witkoff discussed resuming direct talks with Ukraine. At the same time, Ukraine set clear peace conditions: Crimea and all occupied territories are Ukrainian, no restrictions on its military or defense sector, and NATO membership without any foreign veto.
Jamaa wepesi kupoteza kumbukumbu kk
Yah jamaa katolewa kafara ili waonekane awapo tayari kwa kumaliza vita.Zelensk kadri anavyochelewesha kukubali kuwapa ardhi Warusi,ndo ivyo ivyo anavyozidi kusogeza mbele mpaka wa Urusi.Kuna general wa Urusi amekufa kwa bomu lililotegwa kwenye gari.
Ni kama sabotage kwenye mazungumzo kati ya Urusi na US.
Maana yake Mrusi anapata justification ya kuendelea na vita
amani waliipoteza wenyewe kwa kushupaza shingo
Waliamini kuwa NATO ina nguvu ya kumzuia Mrusi. Hao Ukraine hawajui umuhimu wa kuishi vizuri na jirani zake.amani waliipoteza wenyewe kwa kushupaza shingo
wangekuwa wapole mbona mambo yasinge fika huku
Ukreni alidhani NATO na Marekani wana nia nzuri kwao. Kumbe ni walewale wasakatonge na wachumia-tumbo.Waliamini kuwa NATO ina nguvu ya kumzuia Mrusi. Hao Ukraine hawajui umuhimu wa kuishi vizuri na jirani zake.
Urusi haitaji kifo cha mrusi yoyote kuendeleza vita. Vita alianzisha yeye bila kuuliwa mrusi yoyote, na akiamuwa vita iishe inaisha mara 1. Russia ndo mvamizi.Kuna general wa Urusi amekufa kwa bomu lililotegwa kwenye gari.
Ni kama sabotage kwenye mazungumzo kati ya Urusi na US.
Maana yake Mrusi anapata justification ya kuendelea na vita
Sawa, endelea kubaki na imani yakoUrusi haitaji kifo cha mrusi yoyote kuendeleza vita. Vita alianzisha yeye bila kuuliwa mrusi yoyote, na akiamuwa vita iishe inaisha mara 1. Russia ndo mvamizi.
SahihiSawa, endelea kubaki na imani yako
Ila justification lazima iwepo hata kama ya false flag