Balaa hili,hii ni hasara kwa west.Mzigo mpya wa air defense (Patriot) system kutoka German, ambao uliingia leo, umelipuliwa air port hata kabla ya kuwa deployed.
Inasemekana na cargo plane iliyoleta huo mzigo (Airbus A400M) na yenyewe imeteketezwa
Haya majibu nilikua nimeshawajibu NATO kimyakimya moyoni mwangu 😍😍Medvedev tells Trump ‘Russia isn’t Israel or Iran’
The former Russian president warned the US leader against issuing threats and ultimatums when dealing with Moscow.
Dmitry Medvedev has told US President Donald Trump that Russia is neither Israel nor Iran, and that every one of his threats is another step towards a potential conflict.
Trump threatened sweeping secondary sanctions against Russia's trade partners unless a deal was reached by autumn.
Medvedev, who serves as deputy chairman of the Russian Security Council, said that Trump was “playing the ultimatum game with Russia: 50 days or 10…”
In a post on X on Monday, he suggested Trump should remember two things: first, that “Russia isn’t Israel or even Iran,” and, second, that every new ultimatum constitutes a threat and a step toward hostilities between Russia and the US.
“Don’t go down the Sleepy Joe [Biden] road!” he wrote.
Tuwekee basi hata ka picha tuone kama kweli wameangusha Mirage au ukisema wewe tayari watakuwa wameiangusha hiyo mirage?US. baada ya kuona f-16 zinaanguka na kupoteza credibility + soko, baadhi zinarudishwa Romania na kuacha iwe zamu ya Mirage 2000.
Mirage 2000, moja tayari imeangushwa
Kila siku mnabwabwaja tu toka Feb 24,2022 mpaka leo hii mnasema NATO wamemchoka Zelenskyy hivi akili zenu zinawatosha kweli?Naona sasa west wamemchoka Zelensky na wanataka kumtoa kwa njia ya maandamano, matumizi yake yameisha.
Maana ofisi ya NABU aliyoivunja ilikuwa mkono wa west.
Structure ya ile ofisi kisheria kiliwekwa kipengele cha kutoa taarifa kwa mabalozi wa NATO
Hii ofisi ilianzishwa 2015 baada ya colour revolution
Wewe mmatumbi mwenzangu umejuaje kuwa hayo ni maandamano ya kumpinga Zelenskyy? Au ulipowekewa tu hiyo video na ukaaminishwa kuwa hayo ni maandamano na wewe ukazuzuka?
mmatumbi mimi nimejiridhisha kwa kuangalia vyanzo tofauti zaidi ya vitano!Wewe mmatumbi mwenzangu umejuaje kuwa hayo ni maandamano ya kumpinga Zelenskyy? Au ulipowekewa tu hiyo video na ukaaminishwa kuwa hayo ni maandamano na wewe ukazuzuka?
Wewe mmatumbi mwenzangu umejuaje kuwa hayo ni maandamano ya kumpinga Zelenskyy? Au ulipowekewa tu hiyo video na ukaaminishwa kuwa hayo ni maandamano na wewe ukazuzuka?
Mkuu unaheshimika acha kumjibu huyo mgonjwa wa akilinami "NIKAZUZUKA"????????
Kwa akili yako ndogo kama ya Panzi unafikiri Zelenskyy ataondolewa kwa Maandamano? Putin kushindwa kumuondoa kwa nguvu za kijeshi Leo hii hii wewe Pwahu unaamini ataondolewa kwa maandamano!! Inakubidi Sasa wewe ukapimwe Mkojo tu!!!
Wajinga na wapumbavu wakipeana ushauri wa Kijinga na kipumbavu!!Mkuu unaheshimika acha kumjibu huyo mgonjwa wa akili