Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zelensky maivunja ant-corruption bureau,
Legal organ pekee iliyokuwa imebaki ambayo ilikuwa na power ya kumchunguza.
Kaenda mbali zaidi kwa kubadilisha sheria na kuifanya kuwa chini mwandesha mataka wa serikali sio huru tena.
Maana majaji wote waliokuwa wanahojaji uhalali wake baada ya kuisha president term wako jela
 
1753254518801.jpeg
 
Sa100 wa Ukraine
 
Naona sasa west wamemchoka Zelensky na wanataka kumtoa kwa njia ya maandamano, matumizi yake yameisha.

Maana ofisi ya NABU aliyoivunja ilikuwa mkono wa west.
Structure ya ile ofisi kisheria kiliwekwa kipengele cha kutoa taarifa kwa mabalozi wa NATO
Hii ofisi ilianzishwa 2015 baada ya colour revolution
 
Yeye nae amewachoka sababu aliwaomba waingie mazima wakamjibu" ungekuwa wewe ndio sisi ungeweza?"😄
 
Back
Top Bottom