Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Berlin is ready to purchase Patriot air defense systems from the United States and transfer them to Ukraine, German Chancellor Friedrich Merz said on July 10 amid an uptick in Russian aerial strikes, Sky News reported.
 
Ujinga kutwa unanijadili mimi!! Sikujui hunijui umeshindwa kujadili mada unahangaika na mimi!! Nakwambia safari utanyooka tu!!
Mada inasema

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?​

Jadili hiyo acha ujinga wa kunijadili. Sitakusaidia lolote!!
Nimekujadili wewe..wewe huyu... Huna uwezo huo ....
 
Kumbe we jamaa hauko serious kiasi hiki? 20% ya ardhi ya Ukraine inayokaliwa nq Urusi ilipatikana vp
Mkuu,mbali na 20%ya ardhi ya Ukraine,ni juzi TU,Urusi kajitwalia mgodi mkubwa kabisa barani Ulaya wa madini adimu kabisa ambao USA alikua ameingia makubaliano na Ukraine kuuchukua ili kulipa madeni ya Ukraine.
 
Mkuu,mbali na 20%ya ardhi ya Ukraine,ni juzi TU,Urusi kajitwalia mgodi mkubwa kabisa barani Ulaya wa madini adimu kabisa ambao USA alikua ameingia makubaliano na Ukraine kuuchukua ili kulipa madeni ya Ukraine.
Nimeomba mara nyingi kuwa Verified..lakini ma"Moderator"..hawajafanya Hilo .. ikinifaa kifukuzwa katika kweli... Nitapokea...
 
Tulidhani umeji Echolima1
Sasa tunajua huyo mwezetu fyuzi zimekata na kipondo cha Iran, tutamvumiliia
Haya leta updates zako..
Himars ngapi zimeaangamizwa?
 
Naona Urusi sasa kila siku anarusha drone sio chini ya 200, tangu mwezi uanze, jana amerusha drone na missile 415.
Maana yake hata kama ni Air deffence missile supply haiwezi kukidhi demand, na target zinakuwa destroyed. Hali hii itasababisha uhaba wa vifaa vya kijeshi frontline, hivyo kuko lapse.
 
Mkuu,mbali na 20%ya ardhi ya Ukraine,ni juzi TU,Urusi kajitwalia mgodi mkubwa kabisa barani Ulaya wa madini adimu kabisa ambao USA alikua ameingia makubaliano na Ukraine kuuchukua ili kulipa madeni ya Ukraine.
Ndio maana Trump ndani ya wiki moja anaongea hovyo... Mara akiba yao ya silaha inawatosha wao tu, mara yeye ni mkali kuliko Putin, mara tutapeleka silaha, mara vikwazo 😄
 
⚡Zelensky:

We will shoot down everything if our partners hear what I told them. We have found a solution – interceptor drones. We need funding.

Our people are not getting enough sleep. Putin wants to destabilize our society with these strikes. Their plan is 700-1000 drones per day.
 
⚡Russia carried out another large-scale Geran-2 drone attack on Odesa City. 11 Gerans flew to the city in 2 main groups.

6 impacted their targets, including 4 in the area of the city centre / port (all hitting the same target), and 2 in the southern suburbs. The other 5 Gerans were shot down by the heavy Ukrainian air defence activity.
 

Attachments

  • 19402030_gvjw364xuaauorg_jpegf240ade1a7f01617d276a09ed933ab53.jpeg
    19402030_gvjw364xuaauorg_jpegf240ade1a7f01617d276a09ed933ab53.jpeg
    18.9 KB · Views: 35
Kamanda wa Urusi wa Kikosi cha 155 cha Wanamaji wa Wanamaji, Sergey Ilyin, Amekufa - Huenda Aliuawa katika shambulizi Ila Kiukreni kwenye Mkoa wa Kursk.

Sergey Ilyin, kamanda wa Kikosi cha 155 cha Wanamaji cha Wanamaji cha Urusi, ameripotiwa kuuwawa, uwezekano mkubwa kutokana na shambulizi la Ukraine katika eneo la Kursk. Kifo chake kilitangazwa mnamo Julai 10 na Vasily Shigildeyev, mkuu wa wilaya ya manispaa ya Urmarsky.

Kulingana na chaneli za Telegraph za Urusi, Ilyin aliuawa wakati wa shambulio la Kiukreni huko Kursk mnamo Julai 2 - shambulio lifelike ambao uliripotiwa kumuua Makamu wa Admiral Mikhail Gudkov, Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Wanamaji la Urusi.

🪐 SLAVA UKRAINE 🇺🇦!!
 

Attachments

  • IMG_3619.jpeg
    IMG_3619.jpeg
    66.5 KB · Views: 29
Huyo siyo kipanya kaka.
Kipanya ni mtu muelewa na ukimuona anakaza fuvu unajua kabisa kama analeta mzaha.
Ila huyu jamaa ni zamwamwa fulani hivi la kipekee myahudi wa shirombo.
Haya mumkabili kwa hoja sasa akiweka ugoko weka chuma mpaka mtu akae sikainga mwenyewe ulingoni matusi atutaki maana upinzani lazima uwepo updates ziendelee
 
Haya mumkabili kwa hoja sasa akiweka ugoko weka chuma mpaka mtu akae sikainga mwenyewe ulingoni matusi atutaki maana upinzani lazima uwepo updates ziendelee
Wajinga hao hawana uwezo wa kunikabili kwa hoja najua sana silaha yao kuu ni UONGO,UPOTOSHAJI wa taarifa na MATUSI na kwa ujinga huo mimi lazima WANYOOKE tu!!!
 
Tunataka habari kutoka pande mbili leta vitu muache kutukana hata kama hatujuwani kimwili
mara nyingi kwenye vita huwa kuna propaganda kwahiyo msije mkazipa asilimia 💯
kuna zakuziamini 50 na 70 Kwaiyo kuna kuziamini na kutokuziamini.
Mimi nitatoa za kwangu zikiambatana na picha/Video jinsi askari wa Russia wanavyouwawa bila huruma huko Ukraine 🇺🇦
 

Attachments

  • IMG_9701.mp4
    21 MB
Back
Top Bottom