Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🫡🇨🇴🇺🇦 Askari wa kujitolea kutoka Kolombia katika Vikosi vya Wanajeshi vya Ukraine katika mwelekeo wa Kursk Waki Aliza mafunzo yao ya kijeshi tayari kupambana na majeshi ya Russia na Korea huko Kursk
———
🫡🇨🇴🇺🇦 SLAVA UKRAINE 🇺🇦
 

Attachments

  • IMG_5930.mp4
    6.8 MB
🇺🇦It is reported that SBU Colonel Ivan Voronich, who held the position of senior operational officer of the 1st department of the 16th department of the Special Operations Center, was killed in Kyiv this morning.

An unknown person approached Voronich and fired five shots from a pistol, presumably with a silencer, after which he fled the scene of the crime. The SBU officer died on the spot.
 

Attachments

  • IMG_20250710_134212_068.jpg
    IMG_20250710_134212_068.jpg
    204.3 KB · Views: 25
Sijui kama unajua maana ya ushabiki wewe hapo unashabikia ccm sidhani kama unaweza kuwasifia chadema!!

Vivyo hivyo na Mimi nashabikia Ukraine kwa sababu wanaonewa nchi yao imevamiwa na Russia kwa hiyo mimi siwezi kuwashabikia wavamizi wanaoua raia wasio na silaha wala hatia. Vivyo hivyo siwezi kushabikia Jeshi linaloitwa Supapawa lakini mwaka wa 4 sasa linahangaika na nchi ndogo kama Ukraine kwa hiyo mimi vita hiyo nailinganisha na ya Daudi na Dubwana Goliath.

Siwezi kushabikia nchi ambayo askari wake wanauwawa kama kumbikumbi kwenye uwanja wa mapambano na kusababisha hasira zao kuwageukia raia mijini ambao hawana silaha kwa kuyapiga mabomu makazi yao na kuwaua raia.

Russia kama Russia siwezi kuwasifia maana hawana lolote pamoja na kuwa na vifaa vingi vya kijeshi ambavyo kila Kukicha Ukraine inaviangamiza bila shida. Mpaka dakika hii mimi sijaona Usupapawa wao maana kama kupiga na wao wanapigwa kama kawaida tu!!
Tuliosoma hesabu na kuielewa vizuri tayari kazi ya kutafuta X kupitia maandishi yako tumeshapata jibu. X = 0.2ve @ IQ
 
Wengi tumeshatambua "hupo sawa mkuu;kwahiyo tunakuvumilia tu!.😂🤣
Upo sahihi. Jamaa kuna mambo anapitia magumu. Inaweza kuwa ni ndoa au ugumu tu wa maisha . Sehemu pekee ya faraja kwake ni humu mitandaoni kulipuka na kuongozwa na illusions tu kichwani kwake. Na ndio maana muda wote jamaa lipo humu kuandika comment na kujibu bila kuchoka.

Maandishi yake mengi yamejaa mihemko na based on illusions

Stress ni mbaya sana
 
Maneno ya kike hayo..eti.. Unajifaragua ...... We post mpaka utakapoona mwenyewe aibu utapumzika kama wenzako wengi ....
Ujinga kutwa unanijadili mimi!! Sikujui hunijui umeshindwa kujadili mada unahangaika na mimi!! Nakwambia safari utanyooka tu!!
Mada inasema

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?​

Jadili hiyo acha ujinga wa kunijadili. Sitakusaidia lolote!!
 
Upo sahihi. Jamaa kuna mambo anapitia magumu. Inaweza kuwa ni ndoa au ugumu tu wa maisha . Sehemu pekee ya faraja kwake ni humu mitandaoni kulipuka na kuongozwa na illusions tu kichwani kwake. Na ndio maana muda wote jamaa lipo humu kuandika comment na kujibu bila kuchoka.

Maandishi yake mengi yamejaa mihemko na based on illusions

Stress ni mbaya sana
Mada inasema

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?​

Kunijadili mimi kutawasaidia nini wajinga nyie? Hizo unazosema stress zangu wewe zinakuhusu nini?
 
Upo sahihi. Jamaa kuna mambo anapitia magumu. Inaweza kuwa ni ndoa au ugumu tu wa maisha . Sehemu pekee ya faraja kwake ni humu mitandaoni kulipuka na kuongozwa na illusions tu kichwani kwake. Na ndio maana muda wote jamaa lipo humu kuandika comment na kujibu bila kuchoka.

Maandishi yake mengi yamejaa mihemko na based on illusions

Stress ni mbaya sana
Mume hajamnunulia kijora 😄
 
Back
Top Bottom