Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Echolima ni mtu na robo tatu.
Au unaweza sema ni kipanya aliyechemshwa

Kwa sisi wasomaji tu wa huu Uzi tangu ugomvi umetokea kwa kweli anauvuruga huu Uzi

Angekuwa anashaurika tungemuomba arudi kule kwa Iran na Israel .
Natumaini nitatukanwa matusi zaidi 10000 Ila nipo tayari kuyabeba
 
Binafsi humu nikuja kugundua kuna watu wanapiga Propaganda na uongo mwingi na upotoshaji wa taarifa, Kingine kuna watu humu wanasifia warusi mpaka warusi wenyewe wanakataa sasa mimi ujinga kama huo sipendi nimeamua kukaa humu jamvini mpaka kieleweke sitoki leo wala sitoki kesho!!

Kwenye Uzi wa Israel na Iran huko nimewanyoosha uongo na Upotoshaji wao hauna nafasi kila anayeleta uongo na Upotoshaji nampa ukweli akileta habari za mitaani namwambia atupe source ya ujinga wake huo alikoutoa.

JF imetupa Majukwaa mazuri sana ya kubadirishana mawazo na uzoefu tatizo kubwa sana lipo kwa Wafuga Midevu na Majini wao kila kitu uongo na Upotoshaji tu hasa kuhusu Israel ukiwaambia watoe ushahidi wa madai yao wanaanza kubwabwaja tu. Kwa yeyote anayefikiri mimi nitachoka mimi sichoki waongo na wapotoshaji safari hii watanichukia sana tu lakini mimi sijali chuki zao!!
 
Sawa kuondoka huondoki .
Nina ombi lingine kwako unaonaje kama sio habari kutoka chanzo kinachoaminika
Comments zako ziwe fupi fupi
Pia kama hutojali kwanini haya maneno mawili wavaa kobazi na wafuga Majini usiyaondoe kwenye kinywa chako?
 
Hiyo haina shida kwangu lakini vilevile na wao midomo yao kuna maneno yamewajaa kila akitaka kusema lazima Maneno hayo wayaseme nasikitika sana hata wao hujawaambia kutoa maneno yao hayo machafu!!

Hata siku moja mimi sijawahi kuweka habari bila kielelezo cha Picha au source naweza ni siewkę Source lakini picha ni lazima hata kama sikuweka ukihitaji nakuwekea tu hilo kwangu si shida maana habari zenyewe ni za kweli.

Tatizo kubwa sana kwa hao ………….. wana matatizo makubwa sana hao ndiyo wameliharibu jukwaa hili kwa uongo wao na upotoshaji wao na UDINI wao!!! Kama huwaogopi wakemee waache tabia hizo chafu!!
 
🇺🇦🇻🇦 Rais Zelensky na Papa Leo XIV walifanya mkutano kujadili kurejea kwa watoto wa Ukraine waliotekwa nyara na Urusi.

🙏 Hivi sasa, takriban kesi 19,500 za kuibiwa watoto zimerekodiwa katika kanzidata rasmi.
———
 
Attachments

  • IMG_5845.mp4
    17.1 MB
  • IMG_3591.jpeg
    IMG_3591.jpeg
    176.3 KB · Views: 20
Hiyo haina shida kwangu lakini vilevile na wao midomo yao kuna maneno yamewajaa kila akitaka kusema lazima Maneno hayo wayaseme nasikitika sana hata wao hujawaambia kutoa maneno yao hayo machafu!!

Hata siku moja mimi sijawahi kuweka habari bila kielelezo cha Picha au source naweza ni siewkę Source lakini picha ni lazima hata kama sikuweka ukihitaji nakuwekea tu hilo kwangu si shida maana habari zenyewe ni za kweli.

Tatizo kubwa sana kwa hao ………….. wana matatizo makubwa sana hao ndiyo wameliharibu jukwaa hili kwa uongo wao na upotoshaji wao na UDINI wao!!! Kama huwaogopi wakemee waache tabia hizo chafu!!
Asante ndugu, nimekuwa msomaji tangu 2014 naweza kusema mtandao huu umenisaidia kwa mengi ila huwa sipendi pale napoona mtu kila baada ya neno moja anaweka matusi mfano alikuwepo Mk254

Taarifa hata kama ikiwa nzuri ukiishindikiza kwa matusi hupoteza ubora .
Nitolee mfano mtu anaitwa Denis ambae hutoa Mada za "kama nikiwa Raisi".
Yeye huwa anajikita kwenye kile anachokiamini na hata ukimtukana kamwe hakurudishii matusi.
Kwa kuwa umeniomba niwakemee na upande wa pili, nikwambie tu siwezi kuwakemea kama ambavyo sikuweza kukukea wewe.

Ila naomba niwashauri pande zote kuwa tupo wengi tunajiofunza kupitia maarifa yenu hivyo tunawaomba turithi maarifa yaliyo mema na sio yaliyochanganyikana na matusi .

Tunaheshimu michango yenu na muda wetu hatuna cha kuwalipa Ila pokeeni Asante zetu
Tuelimisheni kwa njia isiyo na matusi ndani yake.
 
🇮🇹🇺🇦 Rais wa mioyo ya watu wa Ukraine Volodomry Zelensky: Leo amekutana na Rais wa Italia Sergio Mattarella huko Roma.- Tulijadili kurejeshwa kwa watoto wa Kiukreni ambao walitekwa kwa nguvu hadi Urusi, ushirikiano wa Ulaya, shinikizo la vikwazo kwa Urusi, na kuanzishwa kwa Mahakama Maalum.
 
Attachments

  • IMG_5868.mp4
    8.2 MB
Hiyo haina shida kwangu lakini vilevile na wao midomo yao kuna maneno yamewajaa kila akitaka kusema lazima Maneno hayo wayaseme nasikitika sana hata wao hujawaambia kutoa maneno yao hayo machafu!!

Hata siku moja mimi sijawahi kuweka habari bila kielelezo cha Picha au source naweza ni siewkę Source lakini picha ni lazima hata kama sikuweka ukihitaji nakuwekea tu hilo kwangu si shida maana habari zenyewe ni za kweli.

Tatizo kubwa sana kwa hao ………….. wana matatizo makubwa sana hao ndiyo wameliharibu jukwaa hili kwa uongo wao na upotoshaji wao na UDINI wao!!! Kama huwaogopi wakemee waache tabia hizo chafu!!
Ila habari zote na picha unazozileta pamoja na uchambuzi wako huwa ni za kishabiki sana kuusifia upande unaoupenda na kuukandia upande mwingine.
Kibaya zzidi unaweka chumvi kibao.

Bado nafuatilia kama wewe sio Jemedari Saidi kweli, maana mnaendana sana
 
Kwa kuwa umeniomba niwakemee na upande wa pili, nikwambie tu siwezi kuwakemea kama ambavyo sikuweza kukukea wewe.
Najua huwezi kuwakemea au kuwashauli maana utaoga matusi ya kutosha!!!
Hawa watu kuacha ni ngumu sana maana walishazoea!!! Yangu macho yangu masikio!!
 
Ila habari zote na picha unazozileta pamoja na uchambuzi wako huwa ni za kishabiki sana kuusifia upande unaoupenda na kuukandia upande mwingine.
Kibaya zzidi unaweka chumvi kibao.

Bado nafuatilia kama wewe sio Jemedari Saidi kweli, maana mnaendana sana
Sijui kama unajua maana ya ushabiki wewe hapo unashabikia ccm sidhani kama unaweza kuwasifia chadema!!

Vivyo hivyo na Mimi nashabikia Ukraine kwa sababu wanaonewa nchi yao imevamiwa na Russia kwa hiyo mimi siwezi kuwashabikia wavamizi wanaoua raia wasio na silaha wala hatia. Vivyo hivyo siwezi kushabikia Jeshi linaloitwa Supapawa lakini mwaka wa 4 sasa linahangaika na nchi ndogo kama Ukraine kwa hiyo mimi vita hiyo nailinganisha na ya Daudi na Dubwana Goliath.

Siwezi kushabikia nchi ambayo askari wake wanauwawa kama kumbikumbi kwenye uwanja wa mapambano na kusababisha hasira zao kuwageukia raia mijini ambao hawana silaha kwa kuyapiga mabomu makazi yao na kuwaua raia.

Russia kama Russia siwezi kuwasifia maana hawana lolote pamoja na kuwa na vifaa vingi vya kijeshi ambavyo kila Kukicha Ukraine inaviangamiza bila shida. Mpaka dakika hii mimi sijaona Usupapawa wao maana kama kupiga na wao wanapigwa kama kawaida tu!!
 
Wakati Askari wa Russia wakupukutishwa na Drones za Ukraine huko Frontline kuna🔥 Kituo cha Umeme ( Sub-Station ) kinawaka moto huko Veliky Novgorod, Urusi.

👀⚡️ Wenyeji wanasema walisikia milipuko mikubwa ikipiga kituo hicho na kusababisha moto huo. Jiji halina Umeme mida hii.
———
🔥 SLAVA UKRAINE!!!🇺🇦
 
Attachments

  • IMG_5877.mp4
    1.3 MB
  • IMG_5879.mp4
    3.2 MB
Haya sawa warusi wameshindwa vita
Safari hii mtanyooka tu!! Russia huko Frontline anapigika sana tu tatizo kuna watu humu wakiona kipondo hiki kwa Russia watachukia sana lakini acha wachukie tu maana ndivyo wanavyopigika.

Najua kabisa kuna watu walikuwa hawajaona askari wa Russia wakipigwa na vifaa vita vyao kuangamizwa hii ni kwa sababu kuna media haziweki video au picha za Russia akifumliwa!!!

Jiulize wewe hapo sasa hivi huu ni mwaka wa 4 Russia anahangaika tu na Ukraine!!! Kwenye uwanja wa vita Russia kazidiwa sana tu na ndiyo maana anakimbilia kupiga majengo ya raia huko mijini kupooza hasira za kushindwa kwake!!!
 
Attachments

  • IMG_5815.mp4
    18.3 MB

Wewe kichwa pumbu,lini umekuja huku kwenye hii siredi yetu tulioianzisha wenyewe,
Au ndio wewe ulikuwa unaitwa kipanya
Haya mwaga pumba....
 
Nimesema huo uongo uongo wenu sasa hivi hauna nafasi kwa sababu mmeliharibu jukwaa hili kwa maneno ya uongo na upotoshaji usiokuwa na maana yoyote ile.

Wewe mwenyewe hapo umekurupuka na matusi tu inaonyesha wazi wewe ni walewale walioliharibu jukwaa hili uongo uongo na upotoshaji na matusi. Sasa safari hii mimi nitawanyoosha. Kama una habari ya kweli sawa lakini kutuletea story za vijiweni itabidi utupe na. Chanzo cha ujinga huo!!! Bila hivyo nakuumbua kwa kukupa ukweli tu.!!!!

Eti unadai siredi yenu sijui ndiyo kitu gani!! Au una maana ya uzi huu ni wenu mliuanzisha wenyewe!!! Acheni ujinga huwezi kuanzisha kitu cha kueneza uongo na upotoshaji hatuwezi kukubali kutupotosha wote humu maana wote si mazuzu kama wewe!!
 
Back
Top Bottom