Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndugu nilikuomba ushahidi wa kauli uliyoandika kuwa Urusi walisema watamaliza vita ndani ya masaa72.

Nimekuomba kauli ya Putin unipe kwa video kuna warusi wa mbagala rangi3 nataka niwapige nayo.

Ila naona kimya au bado unaitafuta video ndugu.
Wewe umeshindwa kitu gani kutafuta? Kwani wewe ni kinda la ndege kila kitu utafutiwe?
 
Nikupe shule ya bure wewe zuzu baada ya US kuwa huko Afghanistan waliweza kuweka Rais huko walikuwepo huko akina Karzai na wengine hivyo US huko walikuwa watawala tu na ndiyo maana walipotaka kutoka huko waliweza kuwaachia vifaa vya kijeshi vingi kupindukia ambavyo hakuna nchi yenye vifaa kama hivyo!!!

US haikutoka huko kwa mtutu wa bunduki kama MAZUZU mlivyoaminishwa. US walikuwa na uwezo wa kuvitoa vifaa hivyo kwa mataifa rafiki au kuviangamiza lakini kwa kuwa walitoka kwa amani waliamua kuwaachia Talleban silaha hizo za mabilion ya dollar.

Nakushangaa unaposema walitolewa kwa mtutu wa bunduki ni wajinga na wapumbavu tu kama wewe wanaweza kukubali uongo huo!!!


View: https://x.com/decameronshow/status/1432036934063308800?s=61

View: https://x.com/stevelovesammo/status/1824044720659534220?s=61

View: https://x.com/votetimscott/status/1565444556606377989?s=61

Chizi wewe hakuna unachokijua yani Taliban wamechukua nchi kwa Amani🤣🤣🤣
 
Mpaka leo hii hakuna Jimbo zima alilolichukua Russia!!!! Yote hayo wameyachukua nusu nusu tu na sasa yamegeuka kuwa mwiba kwao kwa askari wao kupukutika kama nzige, kwa kuwa hutaki nisitumie Nzige basi itanibidi nitumie Neno Askari wa Russia wanapukutika kama Kumbikumbi!!!

Wewe wadanganye Mazuzu wenzako tu!!
Screenshot_20250707-220528.png
 
Ile intake ya wale Pro UkraiNato wenye akili timamu walio wengi wameondoka kwenye Mada hii,sehemu kubwa ya hii intake iliyoingia safari hii ni full pumba.
Kwa kuwa wewe ni mjinga ukiwekewa ushahidi wewe unasema najaza Seva!!!
 
Huko Frontline askari wa Russia wanaendelea kupukutika kama nzige tuwaombee tu maana hawana namna tena.

Hiki ndicho kinachowafanya askari wa Russia kukimbilia kushambulia maeneo ya raia mjini maana kwenye uwanja wa vita walishashindwa toka siku ya kwanza!!
 

Attachments

  • IMG_9794.mp4
    24.3 MB
  • IMG_9793.mp4
    21 MB
🤣🤣🤣🤣 kwe kweli hamna kitu kabisa ni mtu wa mwisho kwenye hii dunia.iyo ni Source au mtu kandika tu kaweka, unajua maana ya source?
Wewe Ungekuwa na kitu ungeelezea maana ya source sasa kubwabwaja kote huko kumesaidia nini?
 
Back
Top Bottom