Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Unajua kwa kweli wewe Sasa hivi umekua mchekeshaji katika Uzi huu.Vichaa wakipeana ushauri kabla ya kupelekwa Milembe hospital kulazwa!!
Uko vizuri sana Mtaalamu.
Unajua kwa kweli wewe Sasa hivi umekua mchekeshaji katika Uzi huu.Vichaa wakipeana ushauri kabla ya kupelekwa Milembe hospital kulazwa!!
We jamaa Kipanya amekutoa wapi?Vichaa wakipeana ushauri kabla ya kupelekwa Milembe hospital kulazwa!!
Zuzu kama wewe ndiyo mnadanganywa sana. Russia askari wake wanapukutika kama kumbikumbi wana jitahidi sana kupika takwimu za jinsi wanavyopukutishwa huko Ukraine.Wewe ndo mwongo kuhusu, wepi wanauwawa Kwa wingi figure zipo wazi kwenye mabadilishano ya wafungwa wa kivita , urusi sio irani au Syria, pia mrusi anapigana vita vya kiutu ndo maana raia wanakufa ni wachache
Mtanyooka tu endeleeni tu kujitoa ufahamu huko frontline askari wa Urusi wanapukutishwa kama nzige!!!!Unajua kwa kweli wewe Sasa hivi umekua mchekeshaji katika Uzi huu.
Uko vizuri sana Mtaalamu.
Kubwabwaja alianza Zelensky eti vilianzia Crimea, wakaja viongozi wa West na NATO yao, kisha zikaja media zao eti askari wa Urusi hawana silaha za kutumia miezi mitatu wala chakula, Wakaja na Counter-offensive, Wakaja wakina Kipanya na T14-Armata wakibwabwaja sasa naona version nyingine ya Kp Kipanya aka Echolima1.Endelea kubwabwaja tu
Endeleeni kujifariji na kujipa moyo!! Safari hii mtasingizia media bure maana ushindi haupatikani kwenye media tu.Kubwabwaja alianza Zelensky eti vilianzia Crimea, wakaja viongozi wa West na NATO yao, kisha zikaja media zao eti askari wa Urusi hawana silaha za kutumia miezi mitatu wala chakula, Wakaja na Counter-offensive, Wakaja wakina Kipanya na T14-Armata wakibwabwaja sasa naona version nyingine ya Kp Kipanya aka Echolima1.
Kp Kipanya alikuwa na takwimu zake fake za kulambishwa mchanga kutoka Kyiv Independent.
Kuna huyu mpya aliyeibuka ndo bure kabisaa, ana kazi ya kutujazia seva tu na takataka zakeIle intake ya wale Pro UkraiNato wenye akili timamu walio wengi wameondoka kwenye Mada hii,sehemu kubwa ya hii intake iliyoingia safari hii ni full pumba.
Hakuna unachokijua wewe. Ivi kwa akili ya haraka hata kama ni wewe unapigana na Warusi alafu uwe na kambi ambazo Warusi hawawezi kuziona,si uwongo uwo. Ukraine kambi zao zipo kwenye makazi ya watu, wanaficha silaha kwenye makazi ya watu hata wao wanajifichia kwenye makazi ya watu.Watu wengine hamtumii akili zenu vizuri!! Russia kwenye uwanja wa vita kalemewa sana sasa anageukia kupiga miji na kuua raia kwa visingizio mbalimbali.
Na si kweli kuwa anapiga malengo ya kijeshi kambi za kijeshi zinajulikana hazikai mijini na tunaona anapiga makazi ya Raia ambao hawana silaha!!!
Ingekuwa kama unavyosema basi wanajeshi wa Ukraine wangekuwa kwenye ardhi ya Warusi.ila cha ajabu sio kurudisha ardhi yao bali kulinda tu waliyobaki nayo ni inshu.Urusi hata haioni aibu tena - inachapisha hadharani video zinazoonyesha ndege zake zisizo na rubani zikilenga waokoaji kimakusudi 🤯
Wale ambao hawapigani, ambao hawana silaha, lakini wanaokoa maisha baada ya mashambulio ya Urusi.
Huu sio ugaidi tu - ni maonyesho ya wazi ya unyama.
Kulenga watu wanaovuta wengine kutoka kwenye vifusi ni kupigana vita dhidi ya maisha yenyewe.
🪐 Hii inaonyesha wazi jinsi Russia walivyolemewa huko Frontline wanashambulia mijini kwa raia na waokoaji!,,
Endelea Kujitoa ufahamu tu lakini tambua kuwa Russia kazidiwa nguvu kwenye uwanja wa vita ndiyo maana hasira zake anazipeleka mjini kwa raia wasio na hatia wala silaha!!!Hakuna unachokijua wewe. Ivi kwa akili ya haraka hata kama ni wewe unapigana na Warusi alafu uwe na kambi ambazo Warusi hawawezi kuziona,si uwongo uwo. Ukraine kambi zao zipo kwenye makazi ya watu, wanaficha silaha kwenye makazi ya watu hata wao wanajifichia kwenye makazi ya watu.
Ingekuwa kama unavyosema basi wanajeshi wa Ukraine wangekuwa kwenye ardhi ya Warusi.ila cha ajabu sio kurudisha ardhi yao bali kulinda tu waliyobaki nayo ni inshu.
Elewa Ukraine si wavamizi kama Russia!! Hata hivyo maeneo aliyoyavamia kwake yamekuwa Shubiri askari wake wanakufa kama nzige waombeeni tu!!Ingekuwa kama unavyosema basi wanajeshi wa Ukraine wangekuwa kwenye ardhi ya Warusi.ila cha ajabu sio kurudisha ardhi yao bali kulinda tu waliyobaki nayo ni inshu.
Huyu ametolewa jalala gani?Elewa Ukraine si wavamizi kama Russia!! Hata hivyo maeneo aliyoyavamia kwake yamekuwa Shubiri askari wake wanakufa kama nzige waombeeni tu!!
Mpaka leo hii hakuna Jimbo zima alilolichukua Russia!!!! Yote hayo wameyachukua nusu nusu tu na sasa yamegeuka kuwa mwiba kwao kwa askari wao kupukutika kama nzige, kwa kuwa hutaki nisitumie Nzige basi itanibidi nitumie Neno Askari wa Russia wanapukutika kama Kumbikumbi!!!Huyu ametolewa jalala gani?
Hakuna ushahidi wowote
Neno maarufu limekuwa Nzige
Wakati Chasiv yar imebaki minor district moja Ili itangazwe rasmi liberated.
Toresk nayo Wakirene wanapigania outskirts ya mji.
Leo kupiansk, Konstanyvika imezingirwa nusu.
Lugansk oblast Iko full liberated, na jamaa wa kirusi wamesogea upande wa Kharkov oblast.
Warusi kwa mara ya kwanza wameingia Dniproprotevisk?
Mgodi mkubwa wa madini ya Lithium umeshabebwa na Warusi kule Shevchenko.
Sasa hao Waukrein wanashinda kwa ushahidi gani?
Hivyo ni vijiji kama vijiji nimesema Russia haijawahi kuweza kuteka jimbo lote kutoka mikono ya askari wa Ukraine!!Russia captures 2 villages near Dnipropetrovsk Oblast border, monitoring group says
July 5, 2025
![]()
Russia captures 2 villages near Dnipropetrovsk Oblast border, monitoring group says
Russian troops have been escalating their assaults in the area and are attempting to breach into Dnipropetrovsk Oblast, which has not seen significant Russian incursions since 2022.kyivindependent.com